Mpina umeteleza, huu siyo wakati wa kuomba huruma ya wananchi, nasimama na Rais Samia

Mpuuzi Mmoja wewe..

Kwan umemfatilia MPINA Jana ??.


Kila siku Bungeni Mpina amekua akisimama akiyasema hayo, anayasema Bungeni, anayasema Kwa Waandishi habari .



Kaone ulivyo kajinga
 
Acha hizo, kokote anakopita Rais maneno ni hayo hata wale waliokaa bungeni miaka zaidi ya 20 siku Rais akiwa na ziara kwenye majimbo hotuba zao ni hizohizo hiyo ndio tradition ya wabunge wa CCM. Kwa hiyo Mpina usimulaumu kwa alichokisema kwenye ziara.
 
chawa
 
Yani kwann chawa siyo mbu,mchwa?
Kama hilo tuu huelewi, unapata wapi ujasiri wa kuandika humu, inakubidi ulipende, ulielewe na ulikumbatie jina lako la_uchawa kwa nguvu zoooote.
 
NDUGAI, GWAJIMA sasa ni MPINA.
 

Ni kwamba tu akili huna
 
Hii nchi ovyo sana na sioni tukipiga hatua yoyote hata miaka 50 ijayo!
Akiteleza Rais ni sawa ila akiteleza mtu mwingine ni dhambi!? Hivi yale majibu yq Rais kwa Mpina mnaona ni sahihi? Hiyo busara mnayotaka awe nayo Mpina kwanini msiombe awe nayo presidaah? HEKIMA HEKIMA HEKIMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…