Mpina umeteleza, huu siyo wakati wa kuomba huruma ya wananchi, nasimama na Rais Samia

Majibu yapo sawa yule ni Rais
 
Unasimama na aliyeanguka anashikiliwa tu. Mpina ndo amesimama na wananchi. Wewe kiazi unajishikiza kwa mtu kilaza
 
Na huu si wakati w uchawa nasimama na MPINA n wananchi wake (jimboni).
Kazi ni kipimo cha utu
 
Ni haki yake kulalamika kama ilivyo haki yangu kukosoa malalamiko yake
Ww ata ukikosoa huna madhara yyte tutakao soma utumbo wako ni watu wa jamii forum tu.
Wakati mpina kapiga kwenye mshono maneno yake yamerekodiwa yatasikilizwa leo kesho na hata milele .
Na mpina kafikisha ujumbe kwa watanzania na wageni toka nje ya Tanzania walikua wameharikwa kuja kushuhudia.
 
Sasa kama sina madhara una comment nn
 
KATELEZA CHANGAMOTO NIKUSEMA KISESA IWE DISTRICT NDIO HE'S WRONG,? UMEANGALIA HUO MKUTANO MWANZ MWISHO?
UMESAHAU KWAMBA ANGEMSIFIA NDIO ANGEPIGIWA MAKOFI?
KAZI YA MBUNGE NIKUWA ACCOUNTABLE NA RESPONSIBLE KWA WATU WALIOMCHAGUA NA SIO KWA RAISI..HILO NALOO MACHAWA HAMLIJUI?
 
Hivi kwa akili ya kawaida tu Alichokuwa akikisimamia mpina toka awamu ya sita imeanza ulitegemea kwenye ubunge ma ccm yatampitisha?!!hata yeye alikuwa analijua hilo mawazo ya namnanile huwezi kuwa na maisha ndani ya CCM hata siku moja!!na ndio tunasema kama chaguzi za nchi hii zingekuwa huru jamaa angeweza kuhama chama na akashinda kiti cha ubunge
 
October tunatiki
 
October tunatiki
 
Mbunge ana nafasi nyingi za kuelezea hoja zake kuanzia bungeni, kwenye kamati na hata moja kwa moja kwenye wizara husika. Kusubiria Rais aje ndio udai maendeleo kunamaanisha uzembe au hofu ya kuanguka kisiasa.
🚮
Nyie si huwa mnasema pesa zote za maendeleo anatoa rais, sasa kuna shida gani akielezwa juu ya shida, kero na mahitaji ya wananchi?!!
 
October tunatiki
Ku tick tu au kuzilundika?!!hiyo pesa ya uchafuzi mngewasaidia tu hao mnaowabeba kwenye malori japo wawe na maji tu!!uchaguzi niliouona senegal eti na huu wetu tunauita uchaguzi?!!
 
🚮
Nyie si huwa mnasema pesa zote za maendeleo anatoa rais, sasa kuna shida gani akielezwa juu ya shida, kero na mahitaji ya wananchi?!!
Tatizo siyo kuelezea shida tatizo unaelezea kwa kutumia jukwaa lipi
 
Ku tick tu au kuzilundika?!!hiyo pesa ya uchafuzi mngewasaidia tu hao mnaowabeba kwenye malori japo wawe na maji tu!!uchaguzi niliouona senegal eti na huu wetu tunauita uchaguzi?!!
Basi Samia 5 tena
 
Mpina kaonewa,
Unataka kusema wilaya yake haikua na miradi ya maendeleo?
Ama hakuna alilohitaji lifanyike kipindi chote hicho?
Ccm mkiguswa kwenye mshono huwa mnahangaika sana,mnashindwa kuona maovu yanayoendelea kwa raia na serikalini kwa ujumla mnabeba mambo ya kijinga kabisa,
Watu wameila nchi na hadi kesho wanatamani kuendelea kula,matumbo yao hayajai
Maendeleo ya wilaya yoyote mkurugenzi wa halmashauri ana nafasi kubwa ya kuyaleta kuliko mbunge

Usimba na yanga,burudani na umbea ndio vitu vinavyoiharibu Tanganyika(vijana)
Hii ligi bora Fifa waifungie uchunguzi ukikamilika ili vijana wafanye mambo ya msingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…