Mpina umeteleza, huu siyo wakati wa kuomba huruma ya wananchi, nasimama na Rais Samia

Ni haki yake kulalamika kama ilivyo haki yangu kukosoa malalamiko yake
Utakasoaje malalamiko ya mbunge ambaye yeye ndio anajua hali halisi ya jimbo lake .
Mbunge masuala yote kaÿaongea bungeni ila hayajafanyiwa kazi.
Sasa na kama kila sehemu kazi ikifanyika anashukuriwa mama , mama katoa pesa ya hivi, asante mama tumefanya hivi.
Sasa kama mama kafika kwenye jimbo lake kwa nini asimwambie ukweli kwamba kuna sehemu wamesema hawamdai yeye kwenye jimbo lake wanamdai hivyo hukonambako hawamdai hela za huko ziamishiwe jimboni kwake.
Wewe mtoa post utakuwa mnafki ila mpina yupo sahihi .
Na mpina hategemei kugombea tena ubunge alishajua tokea zamani kwamba kwa mfumo wa ccm ulivyo hata akipitishwa atakatwa. Kwa hiyo hoja yako ya kuomba huruma ya wananchi ni mfu , kwani hao wananchi ndio wanaopitisha jina la mgombea kwenye kamati kuu ya ccm, wewe utakuwa akili zako fupi na hujielewi.
Mpina yupo sahihi tatizo Tanzania tumepata bahati mbaya sana ya kuongozwa na hili ghalasha linalopendwa kusifiwa uongo
 
Ana platforms nyingi sana za kuelezea hizo changamoto
Na ile ndio platform nzuri zaidi, kwakuwa "pesa ni zake" na wananchi wapo hapo. Ili aseme mwenyewe kwanini wananchi bado wanamdai na atawalipaje?
 
Na ile ndio platform nzuri zaidi, kwakuwa "pesa ni zake" na wananchi wapo hapo. Ili aseme mwenyewe kwanini wananchi bado wanamdai na atawalipaje?
Cheap popularity
 
Mbona kila mara katika ziara zake wabunge huwa wanatoa changamoto na rais anatoa ahadi au anamwita waziri aseme jambo. Imekuwa vipi kwa mpina ndo iwe nongwa?
 
Cheap popularity
Popularity gani anayoitaka kwa watu waliomchagua twice!!! Kazi yake ni kuwasemea wananchi wake, na pale ndio mahali pazuri zaidi maana mwenye "pesa zake" yuko live.

Si mnapenda sifa sana, ndio mtekeleze mahitaji ya wananchi ili wawasifie vizuri. Sio mnasifiwa kwenye hamna.
 
Hivi ni mara ya kwanza Mbunge kueleza shida za jimbo lake kwenye ziara ya viongozi wa kitaifa? Mbona hatujawahi kusikia vijembe kama vya leo?
Semeni tu ukweli, "sindano" za Mpina zimeuma.
Kabisa mkuu hata mimi nimeshangaa. Si mara ya kwanza ni kawaida kwa wabunge kutoa kero za wananchi katika ziara na huwa anatoa maagizo au ahadi. Hii ni personal tu ana hasira na mpina
 
Mbona kila mara katika ziara zake wabunge huwa wanatoa changamoto na rais anatoa ahadi au anamwita waziri aseme jambo. Imekuwa vipi kwa mpina ndo iwe nongwa?
Wao waseme tu wana nongwa na Mpina maana sio chawa.
 
Bosi wangu ndo vile comments mbaya zingekuwa zinauguza ulipaswa uwe ICU. Rais wetu, Mwenyekiti wetu wa Chama Cheti CCM alipotoka sana kufuata mkumbo wa jizi na fisadi Bashe, Bashe ni mwizi sana na kasababishia watu wengi vifo na maumivu, yaani kwa ufupi Bashe hawezi ku survive bila ufisadi na ukimtoa tu Dkt Samia Bashe anapaswa kufungwa. In short Dkt Samia kila kukicha anaharibu chama! Tunakoelekea tutachukua ushauri wa Dkt Kikwete wa mambo kuharibika tunamtoa na kumuweka Dkt Nchimbi kama mgombea.
 
Kabisa mkuu yani tena wawili yeye na bashe wana hasira sana naye. Shida ni kwamba hana kifua cha kujishikilia
Iko hivi Bashe ni fisadi na jizi, yule mjamaa aliyeleta mbolea ikabuma kisa Bashe anataka rushwa bil 20 mchaga wa watu akafa, leo Bashe ana uhalali gani???? In short Dkt Samia kaingizwa mkenge na Bashe
 
Afu km ulifuatilia hotuba ya mpina wananchi walimshangiria sana kulko mama yako ambae walimshangiria kinafiki na kwa makofi kidgo
 
Nilipaswa niwe icu? Si mchezo
 
Mpina ni popular kitambo anaongea vitu vya kweli hana unafki na uchawa .
Tatizo ccm imejaa machawa na wajingawajinga kama wewe rejea ripoti ya twaweza
Hao hao twaweza wakija na ripoti ya chama cha mapinduzi kinakubalika mnapinga ,yani sijui mnataka nn,mnapenda kusikia mnachokipenda
 
Ana platforms nyingi sana zakuwasemea wananchi zenye tija zaidi kuliko ili ya jana
 
Hao hao twaweza wakija na ripoti ya chama cha mapinduzi kinakubalika mnapinga ,yani sijui mnataka nn,mnapenda kusikia mnachokipenda
Ni muhimu sisi kama Chama dume tukubaliane na maoni ya wengi kwa maslahi ya wananchi. Dkt Samia anachukiwa kwa sababu ya kauli zake za kuchonganisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…