Parabolic
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 2,922
- 3,252
Kiongozi wa upinzani nchini Cameroon Maurice Kamto ameondolewa kwenye orodha ya wagombea katika uchaguzi wa urais wa Oktoba 12, 2025.
Ni majina 13 tu kati ya 83 yaliyowasilishwa kwa baraza la uchaguzi nchini humo yalikubaliwa.
Hakuna sababu iliyotolewa kwa uamuzi wa kutomruhusu Kamto kusimama.
Kamto alishika nafasi ya pili katika uchaguzi wa 2018 huku kukiwa na madai ya udanganyifu.
Rais Paul Biya, 92, rais mkongwe zaidi duniani, alijumuishwa kwenye orodha hiyo na atawania muhula wa nane madarakani.
Akikaidi wito wa kujiuzulu, anasema bado ana mengi ya kuwapa raia wa Cameroon licha ya kuwa madarakani kwa takriban miaka 43.
Biya atapingwa na washirika wawili wa zamani, Issa Tchiroma Bakary na Bello Bouba Maigari, ambao wote wanatoka katika eneo lenye kura nyingi kaskazini mwa nchi.
---
YAOUNDE, July 26 (Reuters) - Cameroon's electoral commission has rejected the candidacy of Maurice Kamto, the main rival to President Paul Biya, in an upcoming presidential election, raising the risks of protests and the likelihood of another win for the incumbent.
The chief of the electoral commission, ELECAM, announced the decision in a press conference on Saturday when he read out a list of 13 approved candidates which did not include Kamto. No reasons were given. Those not listed have two days to appeal.
The Reuters Daily Briefing newsletter provides all the news you need to start your day. Sign up here.
Biya, 92, has been in power for 43 years and is the world's oldest-serving head of state. He announced his intention earlier this month to seek re-election in the October 12 vote.
Kamto had come in second place with 14% of the vote in the last election in 2018, which Biya won by a landslide amid allegations of fraud.
"In case of the rejection of certain candidates in this election, it is possible there will be protests in the centre of Yaounde and near the seat of ELECAM," the United Nations Department of Safety and Security said in a statement on Friday.
Source: https://www.reuters.com/world/afric...s-candidacy-presidents-main-rival-2025-07-26/