Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
-
- #121
Bado haijajulikana mpira ni niniNadhani kama mpira ungetegemea pesa basi waarabu wangekuwa wanachukua kombe la dunia mara kwa mara, kwani wana invest pesa nyingi sana katika mpira lakini hawana timu nzuri.
Kwanini sio Marekani wala Nigeria waliowahi kuonesha ushindani na kutwaa kombe la dunia?Mpira ni ushindani
Marekani Au Nigeria kuna ushindani wa mpira kama ilivyo Ulaya au south America?Kwanini sio Marekani wala Nigeria waliowahi kuonesha ushindani na kutwaa kombe la dunia?
Huenda tukasema kuna vitu vinavyoweza kuchangia katika mchezo huu wa mpira ambavyo vinaweza vikakuza na kuufanya mpira uwe mchezo mzuri.Bado haijajulikana mpira ni nini
Lazima fedha itumike, fedha ambazo ata USA, China na Russia wanazo lakini soccer la wanaume limewashinda...Huenda tukasema kuna vitu vinavyoweza kuchangia katika mchezo huu wa mpira ambavyo vinaweza vikakuza na kuufanya mpira uwe mchezo mzuri.
Kitu cha kwanza ni wachezaji wenyewe wa mpira, hawa lazima wajengwe na wapatikane wachezaji wenye vipaji, afya njema, stamina, flexibility, nidhamu na passion.
Kitu cha pili wakufunzi wazuri wenye kujua mbinu mbalimbali za mpira kutokana na wachezaji wake, ambaye ataweza kufundisha mpira wa kisasa wenye ushindani.
Cha tatu ni viwanja na vifaa vya mchezo, lazima tuwe na viwanja vizuri vya kuchezea mpira kuanzia ngazi za mashule hadi kwenye vyuo vya kufundishia mpira wenyewe na wachezaji wawe na vifaa muhimu vya kuchezea ili waweze kuzoea kuvitumia pindi watakapo weza kucheza mpira wa kulipwa na pia ili waweze kujihifadhi na madhara yatokanayo na mchezo huo.
Ili haya mambo yote yafanikiwe lazima fedha itumike.
Badala ya kunijibu swali langu na wewe pia unanitwanga swali...!!! Daaah, sisi waafrika bhana.Marekani Au Nigeria kuna ushindani wa mpira kama ilivyo Ulaya au south America?
Jib la hilo swali ndo jibu lako.Badala ya kunijibu swali langu na wewe pia unanitwanga swali...!!! Daaah, sisi waafrika bhana.
Unaona sasa namna unavyozidi kujichanganya mkuu. Ninaongea na wewe unaaanza kuleta masuala ya Yesu matokeo yake wakija wafia dini hapa wataugeuzi mjadala huu kuwa wa kidini badala ya soccer.Jib la hilo swali ndo jibu lako.
Yesu alikuwa muafrika?
2 wakamwuliza, “Tuambie, unafanya mambo haya kwa mamlaka gani? Ni nani aliyekupa mamlaka haya?”
3 Akawajibu, “Na mimi nitawauliza swali. 4 Je, mamlaka ya Yohana ya kubatiza yalitoka kwa Mungu au kwa wanadamu? ”
Basi ngoja nirudieUnaona sasa namna unavyozidi kujichanganya mkuu. Ninaongea na wewe unaaanza kuleta masuala ya Yesu matokeo yake wakija wafia dini hapa wataugeuzi mjadala huu kuwa wa kidini badala ya soccer.
Unatoka nje kabisa ya mada boss.
Marekani na Nigeria hawana ushindani wa kisoka nchini mwaoKwanini sio Marekani wala Nigeria waliowahi kuonesha ushindani na kutwaa kombe la dunia?
SawaBasi ngoja nirudie
Marekani na Nigeria hawana ushindani wa kisoka nchini mwao
Mpira una faida sana kwa taifa kama wenyewe utakupenda na sio wewe kuupenda alafu unakukataa. Tazama nchi kama Spain, Italy na nchi za South America jinsi vijana wanavyokula pesa ya soccer.Huenda tukasema kuna vitu vinavyoweza kuchangia katika mchezo huu wa mpira ambavyo vinaweza vikakuza na kuufanya mpira uwe mchezo mzuri.
Kitu cha kwanza ni wachezaji wenyewe wa mpira, hawa lazima wajengwe na wapatikane wachezaji wenye vipaji, afya njema, stamina, flexibility, nidhamu na passion.
Kitu cha pili wakufunzi wazuri wenye kujua mbinu mbalimbali za mpira kutokana na wachezaji wake, ambaye ataweza kufundisha mpira wa kisasa wenye ushindani.
Cha tatu ni viwanja na vifaa vya mchezo, lazima tuwe na viwanja vizuri vya kuchezea mpira kuanzia ngazi za mashule hadi kwenye vyuo vya kufundishia mpira wenyewe na wachezaji wawe na vifaa muhimu vya kuchezea ili waweze kuzoea kuvitumia pindi watakapo weza kucheza mpira wa kulipwa na pia ili waweze kujihifadhi na madhara yatokanayo na mchezo huo.
Ili haya mambo yote yafanikiwe lazima fedha itumike.
Mambo ambayo ya kuyapiga vita katika michezo yetu ni:-
1-Ushirikina
2-Roho mbaya
3-Utovu wa nidhamu.
Tukizingatia mambo haya basi mpira kwetu utakuwa:-
1-Ajira
2-Burudani
3-Mazoezi ya kujenga mwili.
4-Njia ya kuwaunganisha wana jamii.
5-Kusaidia baadhi ya jamii katika michezo ya hisani.
6-Matangazo ya biashara
7-Kuwaepusha vijana na kujiingiza katika mambo ya wizi, utumiaji wa madawa ya kulevya, ulevi wa pombe, uasharati.
Haya ni mawazo yangu ambayo yanaweza kuchangia katika mada hii.
MO sio mtu wa mpira ila anataka kuutumia mpira kwenye mambo yakeMarekani na mipesa yake yote yu wapi katika ramani ya soka
Azam yu wapi pia
Mo na mipesa yake aliinunua Ashanti iliishia wapi?
Mpira ni utamaduni lazima uwe damuni na kuwa sehemu ya maisha hapo ndo utaona matokeo chanya......... Cricket ni sehemu ya maisha na utamaduni wa India, Pakistan, England, South Afrika na Zimbabwe kama ilivyo Basketball Marekani vivyo hivyo kama uchawi ulivyo sehemu ya maisha yetu kwa hiyo mkuu mpira sio hela kama unavyodhani angalia mchina anavyohustle kutengeneza huo utamaduni hadi ananunua wachezaji kwa bei za kutupwa
Mkuu, soccer liliwashindwa wanaume wa Marekani ndio maana wakaamua kuanzisha michezo yao wenyewe?...
Daaah jibu la huyo mwamba kweli ni kiboko mkuu wakati mimi hapa sijui hata sheria moja ya basketball
Kwa hii statement yako ina maana wanalipenda soccer ila soccer lenyewe haliwapendi
Basketball haina wapenzi wengi sana kutokana na miundombinu hususan kwa nchi masikini.
Kwanini sio Marekani wala Nigeria waliowahi kuonesha ushindani na kutwaa kombe la dunia?