Lazima fedha itumike, fedha ambazo ata USA, China na Russia wanazo lakini soccer la wanaume limewashinda...
Mpira una faida sana kwa taifa kama wenyewe utakupenda na sio wewe kuupenda alafu unakukataa. Tazama nchi kama Spain, Italy na nchi za South America jinsi vijana wanavyokula pesa ya soccer.
Unatania au? Mtaani tunapanga mawe tu (magoli) sehemu yenye tambarare tayari unaita uwanja na linapigwa kabumbu vizuri tu, niambie basketball unaweza fanya hivyo,? Tunaposema miundombinu hatumaanishi kwa vile viwanja vya kucheza 'professionals' bali tunaanzia mtaani ambapo ndio mapenzi/ushabiki wa mchezo husika huanziaMiondombinu ya basketball ni rahisi zaidi kuliko ya mpira wa miguu.
Wao ndio super power wenye pesa kuliko nchi yoyote hapa duniani...Ni nchi nane tu duniani zilizowahi kutwaa kombe la dunia, tatu za Amerika ya Kusini na tano za Ulaya.
Kwa nini umeikomalia Marekani
Wao ndio super power wenye pesa kuliko nchi yoyote hapa duniani...
Unatania au? Mtaani tunapanga mawe tu (magoli) sehemu yenye tambarare tayari unaita uwanja na linapigwa kabumbu vizuri tu, niambie basketball unaweza fanya hivyo,? Tunaposema miundombinu hatumaanishi kwa vile viwanja vya kucheza 'professionals' bali tunaanzia mtaani ambapo ndio mapenzi/ushabiki wa mchezo husika huanzia
Mkuu, nimehoji kuhusiana na soka kwa sababu ndio mchezo number moja duniani. Kwa hiyo hata kama Marekani hawaupendi hiyo haiondoi ukweli kwa kandanda ndio mchezo wenye mashabiki wote kuzidi hizo baseball na american football...
Kwanini?
Wanapenda Basketball kwa sababu ndio wanachoweza kumudu, soccer hawana akili hizoKwa sababu wamarekani wengi wanapenda basketball zaidi kuliko michezo mengine.
Sasa na wewe ndio maana wanakwambia unalazimisha mambo,US hawakutaka kurithi kila kitu kutoka kwa mkoloni wao Muingereza,wao US wali invent American football inachezwa kama Rugby na basketball,hii ndio michezo famous US na imekuwa kama utamaduni wao.Sasa unalazimisha eti wanaume wa US wameshindwa kucheza football wkati wamezaliwa wakakuta nchi haina utamaduni wa football.Ni sawa na leo useme wanaume wa India wameshindwa kucheza football,wakati utamaduni wao ni Crickets..Mkuu, soccer liliwashindwa wanaume wa Marekani ndio maana wakaamua kuanzisha michezo yao wenyewe?...
Soccer ina akili gani kucheza??.Zile ni basics tu unajengewa toka mdogo.Ukitaka kujua ni basics tu,angalia wachezaji wa kiingereza,hawana vipaji sana ila wanamudu tu kucheza mpira.Issue hapa sio kuweza au kutoweza,issue ni preference na utamaduniWanapenda Basketball kwa sababu ndio wanachoweza kumudu, soccer hawana akili hizo
Kama walikataa kurithi soccer, basi lipigwe marufuku nchini Marekani...Sasa na wewe ndio maana wanakwambia unalazimisha mambo,US hawakutaka kurithi kila kitu kutoka kwa mkoloni wao Muingereza,wao US wali invent American football inachezwa kama Rugby na basketball,hii ndio michezo famous US na imekuwa kama utamaduni wao.
Mbona muziki unapendwa zaidi duniani na Wamarekani wanaumudu? Hii ni sababu dhaifu sana mkuu...Wamarekani sio watu wa kujali nini kinapendwa zaidi duniani.
Mbona muziki unapendwa zaidi duniani na Wamarekani wanaumudu? Hii ni sababu dhaifu sana mkuu...
Wanapenda Basketball kwa sababu ndio wanachoweza kumudu, soccer hawana akili hizo
Kama walikataa kurithi soccer, basi lipigwe marufuku nchini Marekani...
Mpira ni nini? Pesa au vipaji?Watanzania wanapenda burudani za nyimbo na ndio maana matamasha kama fiesta, wasafi festival yanafanikiwa sana. Ni bora nguvu ikaelekezwa kwenye hizo zinazoitwa ngoma za asili na zenyewe zikarecordiwa kwa mfumo wa kisasa ili zisikike kirahisi na sio mpaka aje mgeni wa rais ndio tuone wasandawe wakitumbuiza airport.
Bongo si mpira, si ngumi, si kuogelea, si mbio, si kikapu, si tennis, si maigizo
Bongo ni Burudani tena za ngoma kali tu,