Mpira ni nini? Kama ni pesa, mbona Marekani wanazo na hawajawahi kutwaa kombe la dunia? Kama ni vipaji, mbona vimejaa Afrika na hatufanyi maajabu?

Mpira ni nini? Kama ni pesa, mbona Marekani wanazo na hawajawahi kutwaa kombe la dunia? Kama ni vipaji, mbona vimejaa Afrika na hatufanyi maajabu?

Unamaanisha nini haswa ukisema soccer la wanaume "limewashinda"?

Uholanzi na Ureno soccer la wanaume halijawashinda?
Lazima fedha itumike, fedha ambazo ata USA, China na Russia wanazo lakini soccer la wanaume limewashinda...
 
Mpira hauna uwezo wa kumpenda yoyote,acha lugha za wachambuzi uchwara.
Mpira una faida sana kwa taifa kama wenyewe utakupenda na sio wewe kuupenda alafu unakukataa. Tazama nchi kama Spain, Italy na nchi za South America jinsi vijana wanavyokula pesa ya soccer.
 
Miondombinu ya basketball ni rahisi zaidi kuliko ya mpira wa miguu.
Unatania au? Mtaani tunapanga mawe tu (magoli) sehemu yenye tambarare tayari unaita uwanja na linapigwa kabumbu vizuri tu, niambie basketball unaweza fanya hivyo,? Tunaposema miundombinu hatumaanishi kwa vile viwanja vya kucheza 'professionals' bali tunaanzia mtaani ambapo ndio mapenzi/ushabiki wa mchezo husika huanzia
 
Ni nchi nane tu duniani zilizowahi kutwaa kombe la dunia, tatu za Amerika ya Kusini na tano za Ulaya.

Kwa nini umeikomalia Marekani
Wao ndio super power wenye pesa kuliko nchi yoyote hapa duniani...
 
Kabumbu halipigiwi vizuri kwenye viwanja vya magoli ya mawe, ni upotezaji wa muda tu. Kote walipofanikiwa kwenye mpira wamewekeza kwenye miondombinu kuanzia mitaani hadi taifa,watu binafsi,makampuni na serikali.
Unatania au? Mtaani tunapanga mawe tu (magoli) sehemu yenye tambarare tayari unaita uwanja na linapigwa kabumbu vizuri tu, niambie basketball unaweza fanya hivyo,? Tunaposema miundombinu hatumaanishi kwa vile viwanja vya kucheza 'professionals' bali tunaanzia mtaani ambapo ndio mapenzi/ushabiki wa mchezo husika huanzia
 
Mpira ni mchezo wa pata potea. Ni mchezo wa kubahatisha. Ndio maana mashabiki huchechea KAMARI
 
Wamarekani sio watu wa kujali nini kinapendwa zaidi duniani. Wanachojali ni wapi kwenye maslahi zaidi na kipi kitawatofautisha na wengine waonekane ni wa kipekee.Ni kituko kutaka waupende mpira wa miguu wakati basketball na michezo mengine ina faida kubwa kwao kuliko hiyo football.
Mkuu, nimehoji kuhusiana na soka kwa sababu ndio mchezo number moja duniani. Kwa hiyo hata kama Marekani hawaupendi hiyo haiondoi ukweli kwa kandanda ndio mchezo wenye mashabiki wote kuzidi hizo baseball na american football...
 
Mkuu, soccer liliwashindwa wanaume wa Marekani ndio maana wakaamua kuanzisha michezo yao wenyewe?...
Sasa na wewe ndio maana wanakwambia unalazimisha mambo,US hawakutaka kurithi kila kitu kutoka kwa mkoloni wao Muingereza,wao US wali invent American football inachezwa kama Rugby na basketball,hii ndio michezo famous US na imekuwa kama utamaduni wao.Sasa unalazimisha eti wanaume wa US wameshindwa kucheza football wkati wamezaliwa wakakuta nchi haina utamaduni wa football.Ni sawa na leo useme wanaume wa India wameshindwa kucheza football,wakati utamaduni wao ni Crickets..
 
Wanapenda Basketball kwa sababu ndio wanachoweza kumudu, soccer hawana akili hizo
Soccer ina akili gani kucheza??.Zile ni basics tu unajengewa toka mdogo.Ukitaka kujua ni basics tu,angalia wachezaji wa kiingereza,hawana vipaji sana ila wanamudu tu kucheza mpira.Issue hapa sio kuweza au kutoweza,issue ni preference na utamaduni
 
Sasa na wewe ndio maana wanakwambia unalazimisha mambo,US hawakutaka kurithi kila kitu kutoka kwa mkoloni wao Muingereza,wao US wali invent American football inachezwa kama Rugby na basketball,hii ndio michezo famous US na imekuwa kama utamaduni wao.
Kama walikataa kurithi soccer, basi lipigwe marufuku nchini Marekani...
 
Ongela aina ya muziki kama vile unavyoongelea aina ya michezo na kwa mantiki hiyo sehemu kubwa ya aina ya muziki unaopendwa duniani na Wamarekani wanaamudu chimbuko lake ni Marekani.
Mbona muziki unapendwa zaidi duniani na Wamarekani wanaumudu? Hii ni sababu dhaifu sana mkuu...
 
Kama walikataa kurithi soccer, basi lipigwe marufuku nchini Marekani...
 
Watanzania wanapenda burudani za nyimbo na ndio maana matamasha kama fiesta, wasafi festival yanafanikiwa sana. Ni bora nguvu ikaelekezwa kwenye hizo zinazoitwa ngoma za asili na zenyewe zikarecordiwa kwa mfumo wa kisasa ili zisikike kirahisi na sio mpaka aje mgeni wa rais ndio tuone wasandawe wakitumbuiza airport.
Bongo si mpira, si ngumi, si kuogelea, si mbio, si kikapu, si tennis, si maigizo
Bongo ni Burudani tena za ngoma kali tu,
 
Mpira ni nini? Pesa au vipaji?
 
Back
Top Bottom