changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
[emoji1666]Kwa kuongeza Musonda alienda upande usio na mashabiki wa Yanga ambao Mayele aliwafata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1666]Kwa kuongeza Musonda alienda upande usio na mashabiki wa Yanga ambao Mayele aliwafata
Wewe tafuta gemu Musonda amefunga goli la kwanza kwa Yanga, mimi mechi zenu nizikumbuke ili iweje? Alistruggle mechi zake za mwanzo kufunga ndiyo akaja kupata goli hilo la kwanza.Niambie kwenye mechi ya Yanga dhidi ya timu ipi? Twende kwa uhalisia sio hisia. Taja mechi
Mkuu labda uwe na shida binafsi FKM.Najua ninachokiongea na naamini wengi mmeshakiona. Hii ilianza toka goli la kwanza Musonda amefunga kwa Yanga pale kwa Mkapa. Alienda akalala chini, nakumbuka alivyonyanyuka akageuka akakuta mchezaji mmoja tu amemfuata. Kuna magoli kadhaa hilo lilitokea na sijasema magoli yote Musonda aliyofunga Mayele alikausha ila ni idadi ya kutosha kuona kuna jambo ukizingatia ni partner wake pale mbele.
Mimi naona hawana shida wanafurahia wakati wao na wanaona ndoto zinaenda Kutimia halafu wote bado wapo sana pale YangaLile tukio nililiangalia kwa makini sana. Hata Musonda alivyomfikia Mayele, reaction ya Mayele ilikuwa ya kujitutumua zaidi.
Nakuelewa mkuu. Big up✌️Ni mtazamo tu kiroho safi. Nimetaja mambo mawili ambayo yote nimeyaona uwanjani, sijaongelea maisha yake binafsi.
Kumbe kiazi kiasi huki? Hukumbuki mechi umefungua uzi wa nini kama hauna uthibitisho? Unakuwa kawa wale wanawake wanataka waume za watu kwa kwenda kupeleka umbea kwa muhusika. Acha hizo mkuu.Wewe tafuta gemu Musonda amefunga goli la kwanza kwa Yanga, mimi mechi zenu nizikumbuke ili iweje? Alistruggle mechi zake za mwanzo kufunga ndiyo akaja kupata goli hilo la kwanza.
Mngebaki kuchambua dagaa ingefaa SanaKwanza niwapongeze utopolo kwa kufika fainali. Huyo mganga wenu msimuache na akifa endeleeni na atakayemrithisha matunguli yake.
Leo nazungumzia goli la pili alilofunga Mayele. Nimpongeze kwa kuwa mshambuliaji mwenye kasi ya ajabu. Ananikumbusha wachezaji wa zamani kina Lunyamila na hata Ronaldo de Lima. Kilichonishangaza katika goli lile ni alivyouvuta ule mpira, dah kweli kasi anayo ila style hii ya kucheza hapana aisee, ule ni mpira wa kizamani sana.
Pia kwa nini toka Kennedy Musonda amekuja pale Yanga, Mayele anaonekana kama hajamkubali? Mara nyingi Musonda akifunga, Mayele huwa hamfuati kushangilia naye, najua mashabiki wa utopolo wanaliona ila wanakausha kwa kuwa timu inashinda. Kuna wakati Musonda anafunga goli anaenda kushangilia anajikuta yuko mwenyewe, hii haijakaa poa wanangu.
Namalizia kwa kuwapongeza tena kwa kuwa timu ya pili ya Tanzania kufika fainali za mashindano ya CAF.
Kuna siku isiyo na jina mtakuja kuleta hii mada nyie wenyewe na mimi nitakachofanya nitalink tu uzi huu.Kumbe kiazi kiasi huki? Hukumbukumbuki mechi umefungua uzi wa nini kama hauna uthibitisho? Unakuwa kawa wale wanawake wanataka waume za watu kwa kwenda kupeleka umbea kwa muhusika. Acha hizo mkuu.
Ukishindwaga hoja unakimbiaga sasa kwa nini nihangaike kukupa information yoyote?Kumbe kiazi kiasi huki? Hukumbuki mechi umefungua uzi wa nini kama hauna uthibitisho? Unakuwa kawa wale wanawake wanataka waume za watu kwa kwenda kupeleka umbea kwa muhusika. Acha hizo mkuu.
Hivi nyie mpira mmeanza kufuatilia kipindi cha Mayele nini?! Anayofanya Mayele, Samatta alifanya mara tatu yake.Maajabu ya soka MAYELE anacheza bongo SAMATA anacheza ulaya
Sasa hivi tuko bize na kujiandaa na fainali, tutakujibu baada ya fainali. OK?Kwanza niwapongeze utopolo kwa kufika fainali. Huyo mganga wenu msimuache na akifa endeleeni na atakayemrithisha matunguli yake.
Leo nazungumzia goli la pili alilofunga Mayele. Nimpongeze kwa kuwa mshambuliaji mwenye kasi ya ajabu. Ananikumbusha wachezaji wa zamani kina Lunyamila na hata Ronaldo de Lima. Kilichonishangaza katika goli lile ni alivyouvuta ule mpira, dah kweli kasi anayo ila style hii ya kucheza hapana aisee, ule ni mpira wa kizamani sana.
Pia kwa nini toka Kennedy Musonda amekuja pale Yanga, Mayele anaonekana kama hajamkubali? Mara nyingi Musonda akifunga, Mayele huwa hamfuati kushangilia naye, najua mashabiki wa utopolo wanaliona ila wanakausha kwa kuwa timu inashinda. Kuna wakati Musonda anafunga goli anaenda kushangilia anajikuta yuko mwenyewe, hii haijakaa poa wanangu.
Namalizia kwa kuwapongeza tena kwa kuwa timu ya pili ya Tanzania kufika fainali za mashindano ya CAF.
Mayele tunajua we ni Mbappe vua kinyago hichoElewa nimachosema, siongelei kukimbia tu na mpira maana washambuliaji wengi wanafanya pale inapobidi na nimewahi kusema moja ya mapungufu ya Baleke ni kutokuwa na uwezo wa kukimbia na mpira. Hapa naongelea kitendo cha Mayele kuupiga mpira kilomita moja mbele na kuanza kuukimbilia. Usijifanye hamnazo.
Huu ndio uongo sasaHivi nyie mpira mmeanza kufuatilia kipindi cha Mayele nini?! Anayofanya Mayele, Samatta alifanya mara tatu yake.
Mashabiki ndio wanaocheza mpira uwanjani? Alivyowafunga USM Alger goli mbili walikuwa wamewafunga wakiwa na mashabiki? Ni Tanzania na timu za kiarabu ndio tunakuwa na mzuka wa kwenda uwanjani ila kuna nchi nyingi sana ushabiki wa kwenda viwanjani umewakalia mbali kabisa.Kuna siku isiyo na jina mtakuja kuleta hii mada nyie wenyewe na mimi nitakachofanya nitalink tu uzi huu.
Juzi niliwaambia ile Marumo ni timu changa na haina mashabiki kabisa, kuna watu wakaleta ubishi na walitegemea eti uwanja ungekuwa full house kisa kiingilio ni bure, wote tuliona jinsi juzi Marumo haikuwa na mshabiki hata mmoja wa kusakizia pale uwanjani.
Siku hizi situmii nguvu kutoa hoja, naongea halafu nakaa pembeni.
Bora ubakie kuandika comment tu ila kwenye kuanzisha nyuzi huwa nyuzi zako huwa hazina maana kabisa. Yaani unajiabisha tuUkishindwaga hoja unakimbiaga sasa kwa nini nihangaike kukupa information yoyote?
Elewa nimachosema, siongelei kukimbia tu na mpira maana washambuliaji wengi wanafanya pale inapobidi na nimewahi kusema moja ya mapungufu ya Baleke ni kutokuwa na uwezo wa kukimbia na mpira. Hapa naongelea kitendo cha Mayele kuupiga mpira kilomita moja mbele na kuanza kuukimbilia. Usijifanye hamnazo.
South Afrika wana mzuka wa kutosha kwenye mpira ni kwamba Marumo ndiyo haina mashabiki.Mashabiki ndio wanaocheza mpira uwanjani? Alivyowafunga USM Alger goli mbili walikuwa wamewafunga wakiwa na mashabiki? Ni Tanzania na timu za kiarabu ndio tunakuwa na mzuka wa kwenda uwanjani ila kuna nchi nyingi sana ushabiki wa kwenda viwanjani umewakalia mbali kabisa.