Mpira wa "Anao anao" wa Fiston Mayele unamkosesha soko

Niambie kwenye mechi ya Yanga dhidi ya timu ipi? Twende kwa uhalisia sio hisia. Taja mechi
Wewe tafuta gemu Musonda amefunga goli la kwanza kwa Yanga, mimi mechi zenu nizikumbuke ili iweje? Alistruggle mechi zake za mwanzo kufunga ndiyo akaja kupata goli hilo la kwanza.
 
Mkuu labda uwe na shida binafsi FKM.
 
Lile tukio nililiangalia kwa makini sana. Hata Musonda alivyomfikia Mayele, reaction ya Mayele ilikuwa ya kujitutumua zaidi.
Mimi naona hawana shida wanafurahia wakati wao na wanaona ndoto zinaenda Kutimia halafu wote bado wapo sana pale Yanga
 
Wewe tafuta gemu Musonda amefunga goli la kwanza kwa Yanga, mimi mechi zenu nizikumbuke ili iweje? Alistruggle mechi zake za mwanzo kufunga ndiyo akaja kupata goli hilo la kwanza.
Kumbe kiazi kiasi huki? Hukumbuki mechi umefungua uzi wa nini kama hauna uthibitisho? Unakuwa kawa wale wanawake wanataka waume za watu kwa kwenda kupeleka umbea kwa muhusika. Acha hizo mkuu.
 
Mngebaki kuchambua dagaa ingefaa Sana
 
Kumbe kiazi kiasi huki? Hukumbukumbuki mechi umefungua uzi wa nini kama hauna uthibitisho? Unakuwa kawa wale wanawake wanataka waume za watu kwa kwenda kupeleka umbea kwa muhusika. Acha hizo mkuu.
Kuna siku isiyo na jina mtakuja kuleta hii mada nyie wenyewe na mimi nitakachofanya nitalink tu uzi huu.

Juzi niliwaambia ile Marumo ni timu changa na haina mashabiki kabisa, kuna watu wakaleta ubishi na walitegemea eti uwanja ungekuwa full house kisa kiingilio ni bure, wote tuliona jinsi juzi Marumo haikuwa na mshabiki hata mmoja wa kusakizia pale uwanjani.

Siku hizi situmii nguvu kutoa hoja, naongea halafu nakaa pembeni.
 
Kumbe kiazi kiasi huki? Hukumbuki mechi umefungua uzi wa nini kama hauna uthibitisho? Unakuwa kawa wale wanawake wanataka waume za watu kwa kwenda kupeleka umbea kwa muhusika. Acha hizo mkuu.
Ukishindwaga hoja unakimbiaga sasa kwa nini nihangaike kukupa information yoyote?
 
Sasa hivi tuko bize na kujiandaa na fainali, tutakujibu baada ya fainali. OK?
 
Mayele tunajua we ni Mbappe vua kinyago hicho
 
Mashabiki ndio wanaocheza mpira uwanjani? Alivyowafunga USM Alger goli mbili walikuwa wamewafunga wakiwa na mashabiki? Ni Tanzania na timu za kiarabu ndio tunakuwa na mzuka wa kwenda uwanjani ila kuna nchi nyingi sana ushabiki wa kwenda viwanjani umewakalia mbali kabisa.
 

Wanajifanya tu hawakuelewi. Marumo ni timu mbovu, ndiyo maana aliweza kufunga goli kama lile.
 
O
South Afrika wana mzuka wa kutosha kwenye mpira ni kwamba Marumo ndiyo haina mashabiki.

Derby ya Kaizer Chiefs na Orlando Pirates inajaza uwanja wa 70,000, Simba alipocheza na Chiefs, tuliona mashabiki wao wa kutosha, Simba vs Pirates, tuliona mashabiki wa kutosha wa Pirates, ila juzi hatukuona hata mashabiki 5 wa kusingizia wa Marumo kwenye mechi ya nusu fainali na kiingilio ni bure.

Acha kukaza fuvu hilo bwashee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…