Mpira wa "Anao anao" wa Fiston Mayele unamkosesha soko

Unaijua kilomita au unajitoa ufahamu...kutoka goli mpaka goli ni umbali gani .... Uwana Gani huo wenye hata MITA 500!!?? Ficha ujinga wako
Na wewe mtoto wa nzi kwa akili zako za ki inzi inzi unadhani nilimaanisha kilomita moja kweli?
 
Unajua huu uzi wako nilikua naupita kila siku ila nikaamua leo niupitie pengine kuna jambo la maana umeadress. Nasikitika kusema nimepoteza muda wangu. Mkuu huwezi kutumia nguvu kujibu hoja kwa sababu sio hoja ni pointless.

Kuhusu mahusiano ya Mayele na Musonda uwanjani kiukweli nimewafuatilia kwa pamoja toka Musonda kafika kwakweli sijaona tofauti yoyote mpaka sasa. Hocho unachokisema ni hisia zako Mayele hana shida Musonda akifunga na mara zote huwa wanashangilia pamoja vizuri. Labda huko mbeleni waje watofautiane lakini sio sasa hivi hiyo habari ni hisia zako zimekudanganya mkuu.

Kuhusu mpira unaouongelea jamaa sijui kama ulishawahi kucheza mpira au unajua chochote kuhusu mpira. Kwa sababu kwa kilichotokea Mayele kaona space na amebaki na beki akisema aanze kudrible itakua rahisi kuwavuta mabeki waje kufanya kucover space so alichoamua ni kuutangaliza mpira halafu waka sprint na beki hiyo ikasaidia hiyo ikasaidia kuwa na mabeki wachache wanaoweza kuziba nafasi mwisho anatoa pass huku Musonda akifunga goli la wazi hiyo ni kwa sababu ya maamuzi sahihi ya Mayele.
 
Ukimchukia Mayele ni kujitafutia Sonoma tu, maana huyu jamaa goli likimuona linamuita.
 
Msimu ujao siyo mbali. Najua kwa upande wenu mtakuwa busy kwa mara nyingine tena kukifumua kikosi chenu, na hivyo kukisuka upya.
Mimi naombea tupangwe kwenye kundi moja kwenye CAF CL baada ya kufuzu mechi za mtoano.
 
Mechi ya Simba na Kaizer kulikua na mashabiki? kua na aibu hata kidogo basi
 
Niko bize na maandaliazi ya fainali; nitajibu maoni yako baada ya fainali.
 
Lini ulipima ukapata hiyo 1km?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…