Mpoki ni balaa

Mpoki ni balaa

Bonny Love alichukia kuitwa bahili na alijionyesha wazi jukwaani,
Jamaa ni bonny love kweli pengine aliona kitu akawa anajenga mazingila mpoki akamharibia, or kwa heshima aliyojizolea ktk Tasnia ya u DJ aliona ameshushiwa heshima sana.

Hahahah...lile jicho lile..angempa mapunch na ma uppercut kama alivyofanya mayweather kwa maidana leo
.
 
Chido hakusema HIV kama ugonjwa alimaanisha Hatari Imeingia Vitandani (HIV) ni utani tuu
 
Hahahah...lile jicho lile..angempa mapunch na ma uppercut kama alivyofanya mayweather kwa maidana leo
.

Mpoki alichangamsha sana ila alikuwa hafanyi utani bali alikuwa anawapa makavu live.
Hata ASHA Baraka alikosa uchangamfu wake.
 
Kwa upande wa wachekeshaji wa maneno mpoki hakuna wa shindana nae hapa Bongo ila kwa watu wanavyomponda si shangai mana hata wahenga walishasema nabii hakubaliki nyumbani kwake!!

Hahahaha...unajua ukisikiliza comedy huku una lako moyoni huwezi enjoy hata kidogo. .utaishia kuona kila lisemwalo ni too offensive..life is too short to be too serious...
 
Kwa upande wa wachekeshaji wa maneno mpoki hakuna wa shindana nae hapa Bongo ila kwa watu wanavyomponda si shangai mana hata wahenga walishasema nabii hakubaliki nyumbani kwake!!

Kuna watu wanawasemea moyo baadhi ya waliotaniwa wakati wenyewe wamechukulia poa tu..
 
Kwa upande wa wachekeshaji wa maneno mpoki hakuna wa shindana nae hapa Bongo ila kwa watu wanavyomponda si shangai mana hata wahenga walishasema nabii hakubaliki nyumbani kwake!!
Hebu badilisha jina lako kwanza jiite mbumbumbu halafu ndiyo urudi kuchangia.
 
Kuna watu kuwachekesha ni mtihani..hata ufanye nn yy sura ya mbuzi...

Mara nyingi ni watu wenye njaa, matatizo au msongo wa mawazo... kuwachekesha ni kaaaz kwelkwel.
 
Kiukweli jokes hizi zinategemea na mazingira uliyopo. Hata maraisi hutaniana wanapokutana wakiongea. Lakini jokes watakazofanya wakia on-air ni tofauti kabisa na zile watakazofanya off-air. Mfano, kitendo cha Mpoki leo kusema familia ya kina Bonny kuwa ni ya wabahili kuliko watu wote sijakifurahia kabisa. Tena bila kutaja ubahili wao ni upi!! Hata Bonny mwenyewe amekwazika sana. Si yeye tu na wengine pia. Ni bora angemtania Bonny pekee yake kuliko kuweka na wadogo zake wote.
Bonny ni miongoni wa ma dj wachache sana hapa Bongo wenye heshima kubwa kutokana na sanaa yake. Hivyo kusema tu ni bahiri mkubwa bila kuelezea walau kidogo ni kwa vipi ni bahiri. Kwa kweli unakuwa hujamtendea haki. Kwa hili la Bonny limenikwaza hata mimi, kwa sababu namjua Bonny in personal.

na wewe dont take it[jokes] personal.....si utani kwani mbahili kweli?? kila mtu anajua Mpoki alikuwa anatania watu?? btw kama kweli mbahili namsifu.
 
Binafsi uMC wa Mpoki kwa jana ulikua 50 50 ila kwa yule mdada jina lake silikumbuki pale waandaaji walizengua sana kumuweka.
 
Hahahah...lile jicho lile..angempa mapunch na ma uppercut kama alivyofanya mayweather kwa maidana leo
.

haha nadhan alipandisha jazba maana alimwangalia,kama c hekma angemtwanga mangumi
 
Hahahaha...unajua ukisikiliza comedy huku una lako moyoni huwezi enjoy hata kidogo. .utaishia kuona kila lisemwalo ni too offensive..life is too short to be too serious...

alizd anazungumza mpaka ya uvunguni! loh
 
Ukiona unachukia alichofanya mpoki jana, ujue ushazeeka.

Mie pia nawashangaa,watu wapo serious na mpoki kuwa alizingua,jamaa alifanya vizuri sana mbona,tatizo wametoka nje ya mada na kusahau kuwa jamaa ni mchekeshaji,ndo kazi yake na aliitendea haki,mlitaka afanyaje sasa,sie wabongo hakika hatunaga jema,kila kitu kwetu kina kasoro,ni shida sana.
 
Yaani we ulikuwa unasubiria who is next...una moyo..

Ndo ujue jamaa anachekesha,hao wanaolalamika alikuwa anaumbua watu ndo walikaa hadi mwisho wa show..unadhani bila mpoki pale kuna mtu angebaki pale kwa hali ilivokuwepo?
Hakika wabongo ni wanafiki.
 
Binafsi uMC wa Mpoki kwa jana ulikua 50 50 ila kwa yule mdada jina lake silikumbuki pale waandaaji walizengua sana kumuweka.

Anaitwa shadee,lkn wengi humu kwa maelezo yao ya kumponda mpoki inawezekana yule ndo aliichangamsha ile shughuli..
 
Back
Top Bottom