Tyta
JF-Expert Member
- May 21, 2011
- 12,767
- 10,528
Mwaka kesho anakuja busket mouth all the way from naija..
Tatizo English. ..watacheka wachache...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwaka kesho anakuja busket mouth all the way from naija..
Bonny Love alichukia kuitwa bahili na alijionyesha wazi jukwaani,
Jamaa ni bonny love kweli pengine aliona kitu akawa anajenga mazingila mpoki akamharibia, or kwa heshima aliyojizolea ktk Tasnia ya u DJ aliona ameshushiwa heshima sana.
Aliboa sana. Niliangalia ili tu nijue yupi ni next kuumbuliwa!
Hahahah...lile jicho lile..angempa mapunch na ma uppercut kama alivyofanya mayweather kwa maidana leo
.
Kwa upande wa wachekeshaji wa maneno mpoki hakuna wa shindana nae hapa Bongo ila kwa watu wanavyomponda si shangai mana hata wahenga walishasema nabii hakubaliki nyumbani kwake!!
Kwa upande wa wachekeshaji wa maneno mpoki hakuna wa shindana nae hapa Bongo ila kwa watu wanavyomponda si shangai mana hata wahenga walishasema nabii hakubaliki nyumbani kwake!!
kuchekesha!
Na utani unatoka kwenye maisha yako ya kila siku, lengo la mpoki kuchekesha, ameamu kutumia njia ya "UTANI".
Hebu badilisha jina lako kwanza jiite mbumbumbu halafu ndiyo urudi kuchangia.Kwa upande wa wachekeshaji wa maneno mpoki hakuna wa shindana nae hapa Bongo ila kwa watu wanavyomponda si shangai mana hata wahenga walishasema nabii hakubaliki nyumbani kwake!!
Kuna watu kuwachekesha ni mtihani..hata ufanye nn yy sura ya mbuzi...
Kiukweli jokes hizi zinategemea na mazingira uliyopo. Hata maraisi hutaniana wanapokutana wakiongea. Lakini jokes watakazofanya wakia on-air ni tofauti kabisa na zile watakazofanya off-air. Mfano, kitendo cha Mpoki leo kusema familia ya kina Bonny kuwa ni ya wabahili kuliko watu wote sijakifurahia kabisa. Tena bila kutaja ubahili wao ni upi!! Hata Bonny mwenyewe amekwazika sana. Si yeye tu na wengine pia. Ni bora angemtania Bonny pekee yake kuliko kuweka na wadogo zake wote.
Bonny ni miongoni wa ma dj wachache sana hapa Bongo wenye heshima kubwa kutokana na sanaa yake. Hivyo kusema tu ni bahiri mkubwa bila kuelezea walau kidogo ni kwa vipi ni bahiri. Kwa kweli unakuwa hujamtendea haki. Kwa hili la Bonny limenikwaza hata mimi, kwa sababu namjua Bonny in personal.
eh" eti shemeji ana vigezo.
Hahahah...lile jicho lile..angempa mapunch na ma uppercut kama alivyofanya mayweather kwa maidana leo
.
Hahahaha...unajua ukisikiliza comedy huku una lako moyoni huwezi enjoy hata kidogo. .utaishia kuona kila lisemwalo ni too offensive..life is too short to be too serious...
Mi huwa hata sioni mpoki anachochekeshaga zaidi ya kuongea mautumbo
Ukiona unachukia alichofanya mpoki jana, ujue ushazeeka.
Mi namshukuru sana Mungu kwa kuniepusha na mahaba ya upuuzu unaoitwa Bongo fleva, comedi za kibongo na mitaarabu yenu ya hovyo
Yaani we ulikuwa unasubiria who is next...una moyo..
Binafsi uMC wa Mpoki kwa jana ulikua 50 50 ila kwa yule mdada jina lake silikumbuki pale waandaaji walizengua sana kumuweka.