KERO Mpwapwa Mjini tuna kero kubwa ya kuwa na dampo lango la Stendi ya Mabasi

KERO Mpwapwa Mjini tuna kero kubwa ya kuwa na dampo lango la Stendi ya Mabasi

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Hapa Mpwapwa Mjini tuna kero kubwa ya kuwa na dampo lango la stendi ya mabasi taka zinakaa muda mrefu sana na imekuwa changamoto ya muda mrefu sana harufu kali inahatarisha afya za watumiaji wa eneo hili gari la taka haliji kwa wakati kubeba taka mpaka imekuwa kero.

Mda mwingine inapita hadi mwezi hakuna gari ya taka au wiki mbili. mfano hapo walitoa taka wiki mbili zilizopita lakini mpaka sasa zinazidi kuongezeka siku hadi siku mpaka ndani ya stendi wauza vyakula wanakaa na taka hawana sehemu ya kuzitupa gari halipiti.
photo_2026-05-22_19-31-19.jpg
photo_2026-05-22_19-31-15.jpg
photo_2026-05-22_19-31-11.jpg
 
Back
Top Bottom