Mr. Kuku afikishwa Mahakamani akikabiliwa na mashtaka saba ikiwemo kufanya Biashara Haramu ya Upatu kwa kukusanya bilioni 17

Haa ha ha..Jamaa yule hapana aisee yani ukimwamini umeenda walahi...!! Ana story kama mil za mafanikioo na ujasiriamali wa kutapeli watu yani ile ishu ya laki ni mpango kabambe kabisaa pale kuna manyumbu watalia tuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
GT wa JF sikuhizi wa hovyo hawawezi ku Reason, kuhoji mkumbo ukianza na mmoja wote.

Kupigwa kupigwa nani kapigwa mtu haelewi kesi ni nini na ahoji yumbishwa kama kondoo.
Hamna aliepigwa, watu wametoa hela kwa hiari zao.
 
Na wewe ukapigwaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Jamaa labda alikataa kuhonga wakaamua kumchomaa
 
Hahaha jamaa na mradi gani sahivi baada ya kuwatwanga wana JF kwenye kipengele cha Forex? Ina maana kahamia mtaa wa twitter huko?
 
Nini kinachokufanya umfatilie tangu aondoke humu ??
 
Hahaha jamaa na mradi gani sahivi baada ya kuwatwanga wana JF kwenye kipengele cha Forex? Ina maana kahamia mtaa wa twitter huko?
Kaja kaleta story ilikuwaje Alikawazima mil 50 wabongo wenzie aliowafundisha Forex na mastory kibao ya kufanya wenzie waonekane walimzunguka so pesa alichukua lakini baada ya kuzungukwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Watu wanampa polee na masympath kama yote wamesahau ONCE A TAPELI ALWAYS TAPELI...wale wa twitter wataliaaa nasema watalia..
 
Jamaa kwahio ana deal na mradi gani? Niliwahi kumuona Instagram kuna darasa kaanzisha tena sijui la kufanya nini bana ila kuna kiingilio kama kawaida.🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kama upo twitter kitu kikitrend utakiona tu kijanaa...!! Au unataka uanze vita ya kumtetea hapaa???
Nikihoji imekuwa dhambi GT wasikuhizi mbona munatengeneza kizazi cha kondoo kufata mikumbo.
 
Jamaa kwahio ana deal na mradi gani? Niliwahi kumuona Instagram kuna darasa kaanzisha tena sijui la kufanya nini bana ila kuna kiingilio kama kawaida.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hapo pia itakuwa kuna manyumbu walijaa Jf hawezi rudi tenaa
 
Sasa yule ana nini cha kufanya afatiliwe??? Tapeli nimfatilie ili shida ni kuona wengine wanataka kuingizwa mkenge akati unaweza wasaidia manyumbu wachache kama hii ya Mr.Kuku watu waliambiwa lakini wabongo sikio la kufa
Sawa tuzungumzie Mrkuku kwani watu waliambiwa nini ??
 
Rugemalila na seth wamejaza mawakili kibao wazuri,ila kwenye utakatishaji ni ngumu kuchomoa mana hapo unakuta anakesi karibia 20 kapewa
Nimekusoma mkuu, issue siyo kuchomoa ni to do a small amount of time kujifunza siku nyingine usifanye mistake,ndiyo maana nimeweka mifano kama kina Don king na Aden Rage.Rage leo yupo kitaa freekwa hiyo akuiba pesa za FAT au TFF?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…