Mr. Kuku afikishwa Mahakamani akikabiliwa na mashtaka saba ikiwemo kufanya Biashara Haramu ya Upatu kwa kukusanya bilioni 17

Mwingine huyu.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Dhambi ni kwako wewe unayeamini dini,serikali haina dini
Napozungumzia dhambi brother sizungumzii dhambi ya dini..

Nazungumzia human morals...ambazo haziangalii dini....

To kill somebody ni morally wrong,to take somebody's property by force is morally wrong,etc....haziangalii dini...

Infact mimi ni atheist,siamini mungu wala shetani....

Too bad serikali haina dini ila inaongozwa na watu wenye dini...no difference to me!
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]kwani viwanja nyie wenyewe hamvioni?
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Zilitaifishwa ZOTE na Serikali na kwenda MFUKO MKUU WA SERIKALI
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Daah Pesa haramu tena wanazitaifisha na kutumiaa..
 
Watu walishaambiwa Mr.Kuku ni deci au D9 yani ni pyramid scheme na kuna siku wataliaa...!! Leo jamaa kapelekwa mahakamani kwa utapeli...
Hicho ndicho kilichompeleka mahakamani kweli ??

Be serious jifunze kuhoji Mkuu ukondoo sio mishe.
 
Si ushaambiwa kesi yake ni kuchezesha UPATU ambao haujasajiliwa.unaweka laki 3 Zina rudi laki 6.sasa omba arudishe kweli zisiporudi imekula kwako.
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Huyu kijana ni balaa.Kawa bilionea kwa sababu ya kuwalaghai watu wengine wazima na mvi zao.Hivi mtu uweke laki saba halafu ndani ya miezi mitatu una million na laki nne.Tena kwenye kuku😪.Jamani watu wanapenda slope.
 
Duuh..
17 BTsh.. Kweli ukiwa mjinga unakua mtaji wa wajanja
Watanzania hatutatoboa kwa majungu. Mtu ameanza kidogo kodogo, sasa ametoboa na anasaidia wengi, badala umfanyie promo watu wainuke, unamwekea vikwazo.

Ameajiri wangapi?
Kodi kiasi gani kinalipwa?
Maisha ya wangapi yamenyooka kwa juhudi zake?

Kama halipi kodi ipasavyo, aelimishwe alipe kodi hizo siyo kumfunga.

Ujinga na kukomoana. Halafu sisi watumishi wa serikali tunaotegemea mishahara na rushwa za wananchi hatuwawazii mema wahangaikaji. Wakitoboa tunanuna.

Tuanzishe kazi za mikataba tu, nadhani tutaheshimiana
 
Duh, hii ndio bongo! Hatimae jibu limepatikana, kwa mnaokumbuka nilileta bandiko kuulizia uhalali wa ile biashara. Michango ilikuwa ya kutosha but all-in-all bwana alitoa na bwana ametwaa!!!

imeisha hiyo!!!!!!!!!!!!!!!!!....wazee wakazi walikuwa wanasubiri mzigo ufike wa kutosha ndo waanze wenge.....
 
Nakumbuka hiyo thread uliyoanzisha. Nilichangia na kusema huu ni utapeli lakini walikuwepo watu wengi walionitukana. Hili wala halihitaji u-genious kuelewa. Kwangu naona waliotapeliwa ni wajinga sana.
Ili kuuita ni utapeli, njoo na takwimu halisi.

1. Watanzania wangapi wameweka pesa zao kufuga kuku na baada ya kufikisha miezi sita hawakulipwa?

2. Wangapi wamelalamika kudhurumiwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…