tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Jamaa hakua na pesa alichokua anafanya wewe ukiwekeza yeye anamlipa anaedai,lini uliona biashara ya faida 70% kwenye kufuga kuku wa kideriHapo no alichemsha,kumbe pesa alikuwa ananunulia mpaka Jaguar. Ila angekuwa anafuata aliyoyasema. Jamaa angekuwa millionea. Sema watu aliowadhulumu ndo walianza peleka malalamiko serikalini.
Labda hujanielewa maana yangu haiwezekani izae mara mbili,istoshe hata kuzaa 2bn ni ngumu...hapo utakuta jamaa hata pesa kabisa zote ameishia kuwalipa watu mitaji yao na ribaWa naleta mchezo.
Ukusanye bilioni 17 za watu ALAFU NDANI YA HIZO BILIONI 17 ZIZAE ZINGINE KAMA HIZO NA ZAIDI KWA KUFUGA KUKU TU?
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Labda hujanielewa maana yangu haiwezekani izae mara mbili,istoshe hata kuzaa 2bn ni ngumu...hapo utakuta jamaa hata pesa kabisa zote ameishia kuwalipa watu mitaji yao na riba
Lazima awe shujaaa maana mtaji wake ni wajingaaJamaa ni shujaa Kweli kweli
Ndo maana watu wanasema hii ni Pyramid scheme...!!Labda hujanielewa maana yangu haiwezekani izae mara mbili,istoshe hata kuzaa 2bn ni ngumu...hapo utakuta jamaa hata pesa kabisa zote ameishia kuwalipa watu mitaji yao na riba
Itakua kuku wa dhahabu[emoji16]Nipo pamoja na wewe.nauliza hao wanaomtetea..
yaani kuku tu ndo warudishe bilioni 17 na mafaida juu?kama sio baadae aje kuwaambia mtaji umekata
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Itakua kuku wa dhahabu[emoji16]
Jamaa kazingua sana, ila all in all bhana, nyumbani kuzuri sana aisee..Sasa b17 unabakiaje bongo tena?
Hivi bado tuna watu wajinga kiasi hichi wanaoamini kuna hela rahisi kiasi hicho? yani mtu anakwambia uweke laki 5 upate 5m na wewe unaamini kweli?
Poleni sana! ingekua rahisi hivyo kila mtu angekua bilionea na tungekua uchumi wa juu....Mo angeweka bilioni mia ili apate trilioni kumi!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wee mie huko huwezi nikuta
forex ilinifundisha nidhamu
wee mie huko huwezi nikuta
forex ilinifundisha nidhamu
Wewe una reasoning kwenye ubongo wako kweli.Jamaa hakua na pesa alichokua anafanya wewe ukiwekeza yeye anamlipa anaedai,lini uliona biashara ya faida 70% kwenye kufuga kuku wa kideri
Huyu naye ananiangusha kabisa! Makabila mawili Tanzania ambayo yako smart sana wakiamua kuwa matapeli / criminal ni wachagga na wasukuma! Kabila moja ambalo watu huwa wanakamatwa kirahisi sana wakiamua kuwa matapeli au criminal ni Wahaya
Mfanyabiashara, Tariq Machibya (29) maarufu kama Mr. Kuku, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashtaka saba likiwemo la kufanya biashara ya haramu ya upatu kwa kukusanya fedha za Umma zaidi ya Tsh. 17 bilioni.
Machibya ambaye ni mkazi wa Oysterbay amesomewa mashtaka yake leo 10/08/2020 na Wakili wa Serikali muandamizi mbele ya hakimu mfawidhi wa mahakama hiyo Godfrey Isaya. Akisomewa mashitaka yake, mshtakiwa anakabiliwa na kesi ya Uhujumu Uchumi na 60/2020, kati ya mashitaka hayo 7 yapo ya kusimamia na kuendesha biashara haramu ya upatu, kupokea maingizo ya fedha za umma bila ya kuwa na leseni na kutakatisha fedha.
Mfahamu zaidi Mr. Kuku:
Mr. Kuku Farm ni aina mpya ya DESI?
Fahamu zaidi kuhusu Mr Kuku
inamaana regulator hawakuiona hii mapema au ilikuwa wanasubiri kibunda kinone kwanzaDah from Hero to Zero real quick!
Hawasomi hivi vitu kwenye media?Unatakiwa kufahamu kuwa kipindi cha DESI kuna wana jf wengi na wengine walikuwa hawajazaliwa, hawaelewi hayo mambo
Wapo busy na bongo fleva..Hawasomi hivi vitu kwenye media?