Mr. Kuku afikishwa Mahakamani akikabiliwa na mashtaka saba ikiwemo kufanya Biashara Haramu ya Upatu kwa kukusanya bilioni 17

Mr. Kuku afikishwa Mahakamani akikabiliwa na mashtaka saba ikiwemo kufanya Biashara Haramu ya Upatu kwa kukusanya bilioni 17

Hapo no alichemsha,kumbe pesa alikuwa ananunulia mpaka Jaguar. Ila angekuwa anafuata aliyoyasema. Jamaa angekuwa millionea. Sema watu aliowadhulumu ndo walianza peleka malalamiko serikalini.
Jamaa hakua na pesa alichokua anafanya wewe ukiwekeza yeye anamlipa anaedai,lini uliona biashara ya faida 70% kwenye kufuga kuku wa kideri
 
Wa naleta mchezo.
Ukusanye bilioni 17 za watu ALAFU NDANI YA HIZO BILIONI 17 ZIZAE ZINGINE KAMA HIZO NA ZAIDI KWA KUFUGA KUKU TU?

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Labda hujanielewa maana yangu haiwezekani izae mara mbili,istoshe hata kuzaa 2bn ni ngumu...hapo utakuta jamaa hata pesa kabisa zote ameishia kuwalipa watu mitaji yao na riba
 
Nipo pamoja na wewe.nauliza hao wanaomtetea..
yaani kuku tu ndo warudishe bilioni 17 na mafaida juu?kama sio baadae aje kuwaambia mtaji umekata
Labda hujanielewa maana yangu haiwezekani izae mara mbili,istoshe hata kuzaa 2bn ni ngumu...hapo utakuta jamaa hata pesa kabisa zote ameishia kuwalipa watu mitaji yao na riba

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Hivi bado tuna watu wajinga kiasi hichi wanaoamini kuna hela rahisi kiasi hicho? yani mtu anakwambia uweke laki 5 upate 5m na wewe unaamini kweli?

Poleni sana! ingekua rahisi hivyo kila mtu angekua bilionea na tungekua uchumi wa juu....Mo angeweka bilioni mia ili apate trilioni kumi!
 
Wajinga walitengenezwa na ccm na ndio hao wanaamini kuwa Kuna million 50 mgao kwa kila kijiji cha ajabu imetimu miaka 5 tangu ahadi hiyo itolewe na ccm wala hawajawahi hata kuleta elfu 5.

Wajinga wapo na wataipigia kura CCM kisa anko Magu kajenga flyover huko kwa mfugale 😂😂😂
Hivi bado tuna watu wajinga kiasi hichi wanaoamini kuna hela rahisi kiasi hicho? yani mtu anakwambia uweke laki 5 upate 5m na wewe unaamini kweli?

Poleni sana! ingekua rahisi hivyo kila mtu angekua bilionea na tungekua uchumi wa juu....Mo angeweka bilioni mia ili apate trilioni kumi!
 
Jamaa hakua na pesa alichokua anafanya wewe ukiwekeza yeye anamlipa anaedai,lini uliona biashara ya faida 70% kwenye kufuga kuku wa kideri
Wewe una reasoning kwenye ubongo wako kweli.

Ukinipa 500,000 mwezi wa kwanza nikulipe baada ya miezi 6 akija mwengine ndani ya muda huo anipe 500,000 nimlipe mwezi wa 12.

Aliye nipa mwezi wa kwanza natakiwa kumlipa 1M nitachukua 500K aliyenipa mwengine 500K ya kujazia ili iwe 1M natoa wapi na je yele wa pili namlioaje.

JF mbona imekuwa ya hovyo hivi.
 
Mfanyabiashara, Tariq Machibya (29) maarufu kama Mr. Kuku, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashtaka saba likiwemo la kufanya biashara ya haramu ya upatu kwa kukusanya fedha za Umma zaidi ya Tsh. 17 bilioni.

Machibya ambaye ni mkazi wa Oysterbay amesomewa mashtaka yake leo 10/08/2020 na Wakili wa Serikali muandamizi mbele ya hakimu mfawidhi wa mahakama hiyo Godfrey Isaya. Akisomewa mashitaka yake, mshtakiwa anakabiliwa na kesi ya Uhujumu Uchumi na 60/2020, kati ya mashitaka hayo 7 yapo ya kusimamia na kuendesha biashara haramu ya upatu, kupokea maingizo ya fedha za umma bila ya kuwa na leseni na kutakatisha fedha.

Mfahamu zaidi Mr. Kuku:
Mr. Kuku Farm ni aina mpya ya DESI?
Fahamu zaidi kuhusu Mr Kuku

Huyu naye ananiangusha kabisa! Makabila mawili Tanzania ambayo yako smart sana wakiamua kuwa matapeli / criminal ni wachagga na wasukuma! Kabila moja ambalo watu huwa wanakamatwa kirahisi sana wakiamua kuwa matapeli au criminal ni Wahaya
 
Watanzania wengi wajinga kupenda mafanikio ya harakaharaka wacha wapigwe.
 
Back
Top Bottom