mgunga pori
JF-Expert Member
- Jul 23, 2016
- 4,092
- 4,896
Mkuu huko duniani si lazima uonyeshe chanzo cha huo mpungaSasa b17 unabakiaje bongo tena?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu huko duniani si lazima uonyeshe chanzo cha huo mpungaSasa b17 unabakiaje bongo tena?
Hata kama wamelipwa ni wachache istoshe anachofanya wewe ukilipa nae anamlipa mtu mwingine,sidhani kama hiyo biashara imetengeneza faida ya 70% kama mkataba wake unavyosemaIlianza tangu 2017 je katika miaka hiyo yote mitatu kuna mtu hakulipwa ??
Tuliwaambia kudadeki zenu
Mr kuku ni Ontario aliechangamka
Na hao kuku hapo wanahitaji chakula + umeme + watu wa kuwatunza na mambo kibao. Hizo huduma mtu akufanyie tu bure we umerelax ndani kwako ukisubiri faida ya 100%, hivi watu wanajielewa kwel??Biashara ya kuku gani uweke 3m badae upate faida ya 3m zingine,ni kuku wa dhahabu hao?
Kesi yake mbona haihusu kupigwa watu.Watu wengi waliweka pesa huko hasa wastaafu,chukulia alikua na wateja 1000 labda waliovuna ni 300 tu waliobaki ndio hawa wanaolia wamepigwa....nimesoma mkataba wake kua ukiwekeza baada ya siku 120 unapata 70%...hii faida hata barrick gold hawajawahi kupata 70% faida kwenye dhahabu iweje mr kokoliko apate kwa kufunga
Hisa! Kwani hiyo kampuni ipo pale Soko la Hisa (DSE)?Kwani ilikuwa Ni upatu??
Nikivyoielewa ilikuwa Ni uwekezaji wa pamoja, kwamba anakusanya mtaji, anafuga kuku Kisha anauza na kurudisha faida au niliielewa vibaya??
Mkuu unahis mr kuku kadakwa et kwa kuibia watu hzo lak lak na asirudishe...hapana....dogo watu walikua wanatakatisha fedha pale kwa jina la mr kuku...watu walimuaproach wakawa wanaweka pesa..kama wnaavyofanya kwa masanja ..wajanja wa serikalin ndo wanakofichia pesa huko skuhiz...mtu anapiga serikalin au kwenye mirad anatupia kwenye account ya masanja tu..na nyie mkiona masanja anauza mchele mnaamin.hahaha...Duh, hii ndio bongo! Hatimae jibu limepatikana, kwa mnaokumbuka nilileta bandiko kuulizia uhalali wa ile biashara. Michango ilikuwa ya kutosha but all-in-all bwana alitoa na bwana ametwaa!!!
Faida anajua yeye sisi hatujua mimi najua Biashara ina Operate tangu 2017 mpaka sasa ni almost miaka 3.5 kuna yeyote ambae alipigwa ndani ya muda huo.Hata kama wamelipwa ni wachache istoshe anachofanya wewe ukilipa nae anamlipa mtu mwingine,sidhani kama hiyo biashara imetengeneza faida ya 70% kama mkataba wake unavyosema
Wewe ndio nimeona ukomavu wako kati ya waliochangia uzi mzima.Mkuu unahis mr kuku kadakwa et kwa kuibia watu hzo lak lak na asirudishe...hapana....dogo watu walikua wanatakatisha fedha pale kwa jina la mr kuku...watu walimuaproach wakawa wanaweka pesa..kama wnaavyofanya kwa masanja ..wajanja wa serikalin ndo wanakofichia pesa huko skuhiz...mtu anapiga serikalin au kwenye mirad anatupia kwenye account ya masanja tu..na nyie mkiona masanja anauza mchele mnaamin.hahaha...
Duh kweli dunia hadaa ulimwengu shujaa.Mkuu unahis mr kuku kadakwa et kwa kuibia watu hzo lak lak na asirudishe...hapana....dogo watu walikua wanatakatisha fedha pale kwa jina la mr kuku...watu walimuaproach wakawa wanaweka pesa..kama wnaavyofanya kwa masanja ..wajanja wa serikalin ndo wanakofichia pesa huko skuhiz...mtu anapiga serikalin au kwenye mirad anatupia kwenye account ya masanja tu..na nyie mkiona masanja anauza mchele mnaamin.hahaha...
Ila waliahidiwa marejesho mkuu na waliotangulia.Watanzania wengi wajinga, acha wapigwe tu. Hivi mtu pamoja na watu kulizwa bado wanajipeleka kwenye mchezo wa kitapeli.
Vv
Hahahah zama hizi sio za kumuamini mtu katika hela. Kama hamna usajili unaoeleweka ni hatari 🤣🤣🤣Hiki ki saccos cha ofisini kwetu, kimenipa mashaka, nichomoe vimilioni vyangu nini mkuu?
Maana mi fata mkumbo[emoji28]
Mr.Kuku farmsAnajiitaje insta?
GT wa JF sikuhizi wa hovyo hawawezi ku Reason, kuhoji mkumbo ukianza na mmoja wote.Ila waliahidiwa marejesho mkuu na waliotangulia.
mkuu pitia vizuri comment za nyuma kuna mdau anasema alitapeliw na huyo dogo kwenye mradi huhuuWewe ndio nimeona ukomavu wako kati ya waliochangia uzi mzima.
Watu wanachangia kimkumbo sijasikia mtu aliye taperiwa mpaka sasa watu wanaulizia kuwekeza hawa GT wasikuhizi wameshilia tu kupigwa kupigwa nani kagipwa.
Kama ishu ilikuwa njia ya kutakatisha pesa hapa ndio nakupata maana nimehoji sana kesi yake ni nini.
Una akili kubwa sanaMjadala na mabishano kuhusu haya ya Mr Kuku yalisababisha nimtende mama watoto yale bwana Uchebe aliyomtendea mkewe.
Hakujua yani, angejua angekuwa ame exit mapema sana. Inaonekana ni wale machalii much know wakishika hela. Inaonesha hakuwa benet na wanasheria!Ila jamaa kacheza kizembe Sana. Staki kuamini Kama alikuwa hajui sheria za nchi za kukusanya mitaji kutoka kwa public.
So bado wapo ndani????Sasa hivi wanafreeze account zako zote hadi kesi iishe na huo mpunga qote wanachukua. Hubaki na kitu.