Mr. Kuku afikishwa Mahakamani akikabiliwa na mashtaka saba ikiwemo kufanya Biashara Haramu ya Upatu kwa kukusanya bilioni 17

Mr. Kuku afikishwa Mahakamani akikabiliwa na mashtaka saba ikiwemo kufanya Biashara Haramu ya Upatu kwa kukusanya bilioni 17

Haya makampun ya kitapeli yamejaa,kuna moja inaitawa VKP INVESTMEST wauza viwanja kwa mkopo,watu tuliwaamini sababu ni registerd tumemaliza mikopo hakuna cha viwanja,mashamba wala kurudishiwa hela mwaka wa tatu kesi ipo mahakamani zaidi ya bilioni moja watz tumepigwa watu zaidi ya 300.Mmiliki wa kampuni hana pesa wala kiwanja cha kumpa mtu.
 
Biashara ya kuku gani uweke 3m badae upate faida ya 3m zingine,ni kuku wa dhahabu hao?
Na hao kuku hapo wanahitaji chakula + umeme + watu wa kuwatunza na mambo kibao. Hizo huduma mtu akufanyie tu bure we umerelax ndani kwako ukisubiri faida ya 100%, hivi watu wanajielewa kwel??
Ndo maana JPM anasema watu wafanye kazi, anawajua wabongo wengi wavivu. Na hii kupenda raha ndo inawacost wengi.
 
Watu wengi waliweka pesa huko hasa wastaafu,chukulia alikua na wateja 1000 labda waliovuna ni 300 tu waliobaki ndio hawa wanaolia wamepigwa....nimesoma mkataba wake kua ukiwekeza baada ya siku 120 unapata 70%...hii faida hata barrick gold hawajawahi kupata 70% faida kwenye dhahabu iweje mr kokoliko apate kwa kufunga
Kesi yake mbona haihusu kupigwa watu.

Una ushahidi kuna watu walipigwa ??
 
Duh, hii ndio bongo! Hatimae jibu limepatikana, kwa mnaokumbuka nilileta bandiko kuulizia uhalali wa ile biashara. Michango ilikuwa ya kutosha but all-in-all bwana alitoa na bwana ametwaa!!!
Mkuu unahis mr kuku kadakwa et kwa kuibia watu hzo lak lak na asirudishe...hapana....dogo watu walikua wanatakatisha fedha pale kwa jina la mr kuku...watu walimuaproach wakawa wanaweka pesa..kama wnaavyofanya kwa masanja ..wajanja wa serikalin ndo wanakofichia pesa huko skuhiz...mtu anapiga serikalin au kwenye mirad anatupia kwenye account ya masanja tu..na nyie mkiona masanja anauza mchele mnaamin.hahaha...
 
Hata kama wamelipwa ni wachache istoshe anachofanya wewe ukilipa nae anamlipa mtu mwingine,sidhani kama hiyo biashara imetengeneza faida ya 70% kama mkataba wake unavyosema
Faida anajua yeye sisi hatujua mimi najua Biashara ina Operate tangu 2017 mpaka sasa ni almost miaka 3.5 kuna yeyote ambae alipigwa ndani ya muda huo.

Je kesi yake kupiga watu ??
 
Mkuu unahis mr kuku kadakwa et kwa kuibia watu hzo lak lak na asirudishe...hapana....dogo watu walikua wanatakatisha fedha pale kwa jina la mr kuku...watu walimuaproach wakawa wanaweka pesa..kama wnaavyofanya kwa masanja ..wajanja wa serikalin ndo wanakofichia pesa huko skuhiz...mtu anapiga serikalin au kwenye mirad anatupia kwenye account ya masanja tu..na nyie mkiona masanja anauza mchele mnaamin.hahaha...
Wewe ndio nimeona ukomavu wako kati ya waliochangia uzi mzima.

Watu wanachangia kimkumbo sijasikia mtu aliye taperiwa mpaka sasa watu wanaulizia kuwekeza hawa GT wasikuhizi wameshilia tu kupigwa kupigwa nani kagipwa.

Kama ishu ilikuwa njia ya kutakatisha pesa hapa ndio nakupata maana nimehoji sana kesi yake ni nini.
 
Duh kweli dunia hadaa ulimwengu shujaa.
 
Ila waliahidiwa marejesho mkuu na waliotangulia.
GT wa JF sikuhizi wa hovyo hawawezi ku Reason, kuhoji mkumbo ukianza na mmoja wote.

Kupigwa kupigwa nani kapigwa mtu haelewi kesi ni nini na ahoji yumbishwa kama kondoo.
 
Wewe ndio nimeona ukomavu wako kati ya waliochangia uzi mzima.

Watu wanachangia kimkumbo sijasikia mtu aliye taperiwa mpaka sasa watu wanaulizia kuwekeza hawa GT wasikuhizi wameshilia tu kupigwa kupigwa nani kagipwa.

Kama ishu ilikuwa njia ya kutakatisha pesa hapa ndio nakupata maana nimehoji sana kesi yake ni nini.
mkuu pitia vizuri comment za nyuma kuna mdau anasema alitapeliw na huyo dogo kwenye mradi huhuu
 
Ila jamaa kacheza kizembe Sana. Staki kuamini Kama alikuwa hajui sheria za nchi za kukusanya mitaji kutoka kwa public.
Hakujua yani, angejua angekuwa ame exit mapema sana. Inaonekana ni wale machalii much know wakishika hela. Inaonesha hakuwa benet na wanasheria!
 
Back
Top Bottom