Mr. Kuku afikishwa Mahakamani akikabiliwa na mashtaka saba ikiwemo kufanya Biashara Haramu ya Upatu kwa kukusanya bilioni 17

Mr. Kuku afikishwa Mahakamani akikabiliwa na mashtaka saba ikiwemo kufanya Biashara Haramu ya Upatu kwa kukusanya bilioni 17

Shida ni kwamba serikali ni waongo waongo sana hasa hawa wa huku mahakamani

wanamsema mtoto wa watu kasepa na 17B lkn ukute hela zote hizo ni wamemkadiria

sioni ukweli kwenye 17B huyu mtoto angekua kweli bank ana hata B.1 asingekamatwa

hayo mahela yote wamemuongezea tu namba, n sawa na tanesco au dawasco wakudake

umechezea mita yako,bili watakayokukadiria Hutoamini macho yako,ila watakukazia na utaitoa.
Hii ya tanesco noma sanaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Huwaga wanataja pesa hiyo unaweza zimiaaa
 
Mnaosema kakusanya 17 bilion na kwanini amebaki bongo inabidi mjue hizi hela hajazipata kwa mkupuo mmoja yaan amehesabiwa hela alizokuwa anakusanya kidogo kidogo tokea 2017 huko mpaka leo
This how they did...Huyu hata 1B hajawahi ishika kwa mkupuo

ila serikali kwakujua kujiongeza wakamjumlishia,wakazidisha mwsho

wakamgawanyia kwa mbili wakatoa nane,wakapata jibu ni 17B,***** zao.
 
Mi mwenyewe ningekua Rais hizo b.17 nachukua 10 namuachia muhusika 7

aende mbele huko akatafute jinsi ya kuishi,b.10 naziingiza kwenye ma flyover

siwezi mfunga mtu wa namna hii ambae hajamwibia mtu,walimpa wenyewe kwann nimfunge sasa?

wakimfunga au kumuwekea vikwazo n kumuonea tu chalii wa watu,wao wenyewe wezi tu vile vile.
😀 😀 😀 😀 😀
Tena naweza hata kumsafirisha huyo bwana akakae huko Bahamas..Mkuu nimecheka saana
 
Anashindaje? Wakati vipengele vya wazi kabisa kavivunja.
Wanajidanganya hakuna mwanasheria yeyote atakayeshinda hii kesi , kosa la kwanza ni kuendesha upatu kukusanya fedha bila kuwa na kibali/leseni kwahiyo hapo anaangukia kwenye utakatishaji fedha,watu wanasema sijui analipa kodi mara bla bla ,anaweza akawa analipa kodi kama mfanyabiashara wa kuuza kuku kama kampuni alivyoisajili ila kodi kwa ajili ya kufanya upatu halipi.

Ili kukusanya fedha kwa watu kama wafanyavyo bank ilitakiwa atafute leseni ya kufanya hivyo hapo ndipo kosa lilipo,jamaa ataozea ndani,hatoki leo huyo na utakatishaji pesa.
 
Mi mwenyewe ningekua Rais hizo b.17 nachukua 10 namuachia muhusika 7

aende mbele huko akatafute jinsi ya kuishi,b.10 naziingiza kwenye ma flyover

siwezi mfunga mtu wa namna hii ambae hajamwibia mtu,walimpa wenyewe kwann nimfunge sasa?

wakimfunga au kumuwekea vikwazo n kumuonea tu chalii wa watu,wao wenyewe wezi tu vile vile.

Watu kama hawa ni potential sana, wabunifu na wathubutu ni wa kuwasapoti na si kuwafunga.

Eti wao wenyewe wezi vile vile! [emoji1][emoji1][emoji1]
 
Hii ya tanesco noma sanaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Huwaga wanataja pesa hiyo unaweza zimiaaa
Mimi ndio zangu hizo nakumbuka nilidakwa nikakadiriwa nmetumia umeme wa

M.70 huwezi amini wale shenzi eti ktk mabishano wakasema basi tutakufanyia m.65

nikawambia sawa sawa Hiyo atleast,nipeni acc. nikalipie wakanipa nikasepa zangu mbele

kesho yake nikamtafuta meneja wa kanda Nikamlisha 500k kitu ikaisha hiyoooo,nivyorudi

site kesho yake nilikuta nimebadilishiwa meter nimewekewa meter mupyaaaa ,Toka 70m to 500k.

Nina uhakika kwa huyu dogo wameingia wale makanjanja wajuaji kukokotoa hadi kwa siku unaweza ukawa

umetembea hatua ngapi ndio wamekokotoa mpunga wa chalii angu wakaona wabandike namba 17B manyau nyau wale.
 
Mfanyabiashara, Tariq Machibya (29) maarufu kama Mr. Kuku, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashtaka saba likiwemo la kufanya biashara ya haramu ya upatu kwa kukusanya fedha za Umma zaidi ya Tsh. 17 bilioni.

Machibya ambaye ni mkazi wa Oysterbay amesomewa mashtaka yake leo 10/08/2020 na Wakili wa Serikali muandamizi mbele ya hakimu mfawidhi wa mahakama hiyo Godfrey Isaya. Akisomewa mashitaka yake, mshtakiwa anakabiliwa na kesi ya Uhujumu Uchumi na 60/2020, kati ya mashitaka hayo 7 yapo ya kusimamia na kuendesha biashara haramu ya upatu, kupokea maingizo ya fedha za umma bila ya kuwa na leseni na kutakatisha fedha.

Mfahamu zaidi Mr. Kuku:
Mr. Kuku Farm ni aina mpya ya DESI?
Fahamu zaidi kuhusu Mr Kuku

Bado yule wa weku na yule wa kilimo cha avacado njombe
 
Shida ni kwamba serikali ni waongo waongo sana hasa hawa wa huku mahakamani

wanamsema mtoto wa watu kasepa na 17B lkn ukute hela zote hizo ni wamemkadiria

sioni ukweli kwenye 17B huyu mtoto angekua kweli bank ana hata B.1 asingekamatwa

hayo mahela yote wamemuongezea tu namba, n sawa na tanesco au dawasco wakudake

umechezea mita yako,bili watakayokukadiria Hutoamini macho yako,ila watakukazia na utaitoa.

Watakuwa wameangalia mihamala yake yote tangia aanze biashara,yaani pesa iliyokuwa inaingia kwenye accounts zake.
 
Mimi ndio zangu hizo nakumbuka nilidakwa nikakadiriwa nmetumia umeme wa

M.70 huwezi amini wale shenzi eti ktk mabishano wakasema basi tutakufanyia m.65

nikawambia sawa sawa Hiyo atleast,nipeni acc. nikalipie wakanipa nikasepa zangu mbele

kesho yake nikamtafuta meneja wa kanda Nikamlisha 500k kitu ikaisha hiyoooo,nivyorudi

site kesho yake nilikuta nimebadilishiwa meter nimewekewa meter mupyaaaa ,Toka 70m to 500k.

Nimejifunza kitu hapo mlamu!
 
Haya makampun ya kitapeli yamejaa,kuna moja inaitawa VKP INVESTMEST wauza viwanja kwa mkopo,watu tuliwaamini sababu ni registerd tumemaliza mikopo hakuna cha viwanja,mashamba wala kurudishiwa hela mwaka wa tatu kesi ipo mahakamani zaidi ya bilioni moja watz tumepigwa watu zaidi ya 300.Mmiliki wa kampuni hana pesa wala kiwanja cha kumpa mtu.
Uwiii[emoji28]
 
Mkuu unahis mr kuku kadakwa et kwa kuibia watu hzo lak lak na asirudishe...hapana....dogo watu walikua wanatakatisha fedha pale kwa jina la mr kuku...watu walimuaproach wakawa wanaweka pesa..kama wnaavyofanya kwa masanja ..wajanja wa serikalin ndo wanakofichia pesa huko skuhiz...mtu anapiga serikalin au kwenye mirad anatupia kwenye account ya masanja tu..na nyie mkiona masanja anauza mchele mnaamin.hahaha...
Weee na yale marange ya masanja sio yake?

Na zile chopa zinaziokagua mashamba ya mipunga
 
Hahahah zama hizi sio za kumuamini mtu katika hela. Kama hamna usajili unaoeleweka ni hatari [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kimesajiliwa, nao storee kama hizi za Mr. Kuku eti Wana 12b zimelala so tukope kwa wingi

Mwezi wa tano nilitaka kujitoa wakanigomea balaaa
 
Mnaosema kakusanya 17 bilion na kwanini amebaki bongo inabidi mjue hizi hela hajazipata kwa mkupuo mmoja yaan amehesabiwa hela alizokuwa anakusanya kidogo kidogo tokea 2017 huko mpaka leo
Hata ikiwa hivyo bado ni hela ndefu pia.
 
Duuh msala sanaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hii Bongo leo hii ukitoa hata Mil 100 na huna vithibitisho vya biashara inayoendana na pesa hizo msalaaa.
Ndio hivyo, lazima uoneshe umeitoa wapi
 
Ila watu wa benki nao ni wanafiki tu,wakati unaingiza hela kwenye benki yao hawaulizi wanakuacha tu halafu siku ya kutoa wanakurengesha kwa polisi.
Ukiangalia vizuri, kwenye karatasi za benki za kuweka pesa kuna sehemu inauliza dhumuni. Kitu lingine ukitaka kutoa pesa ndefu lazima uwape taarifa ili waitaarifu benki kuu na hapo ndio kizazaa huanzia
 
Back
Top Bottom