Mhadzabe
JF-Expert Member
- May 20, 2009
- 3,236
- 4,746
Forex imekula watu sana aiseee hahahahawee mie huko huwezi nikuta
forex ilinifundisha nidhamu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Forex imekula watu sana aiseee hahahahawee mie huko huwezi nikuta
forex ilinifundisha nidhamu
Hii ya tanesco noma sanaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Huwaga wanataja pesa hiyo unaweza zimiaaaShida ni kwamba serikali ni waongo waongo sana hasa hawa wa huku mahakamani
wanamsema mtoto wa watu kasepa na 17B lkn ukute hela zote hizo ni wamemkadiria
sioni ukweli kwenye 17B huyu mtoto angekua kweli bank ana hata B.1 asingekamatwa
hayo mahela yote wamemuongezea tu namba, n sawa na tanesco au dawasco wakudake
umechezea mita yako,bili watakayokukadiria Hutoamini macho yako,ila watakukazia na utaitoa.
This how they did...Huyu hata 1B hajawahi ishika kwa mkupuoMnaosema kakusanya 17 bilion na kwanini amebaki bongo inabidi mjue hizi hela hajazipata kwa mkupuo mmoja yaan amehesabiwa hela alizokuwa anakusanya kidogo kidogo tokea 2017 huko mpaka leo
😀 😀 😀 😀 😀Mi mwenyewe ningekua Rais hizo b.17 nachukua 10 namuachia muhusika 7
aende mbele huko akatafute jinsi ya kuishi,b.10 naziingiza kwenye ma flyover
siwezi mfunga mtu wa namna hii ambae hajamwibia mtu,walimpa wenyewe kwann nimfunge sasa?
wakimfunga au kumuwekea vikwazo n kumuonea tu chalii wa watu,wao wenyewe wezi tu vile vile.
Wanajidanganya hakuna mwanasheria yeyote atakayeshinda hii kesi , kosa la kwanza ni kuendesha upatu kukusanya fedha bila kuwa na kibali/leseni kwahiyo hapo anaangukia kwenye utakatishaji fedha,watu wanasema sijui analipa kodi mara bla bla ,anaweza akawa analipa kodi kama mfanyabiashara wa kuuza kuku kama kampuni alivyoisajili ila kodi kwa ajili ya kufanya upatu halipi.Anashindaje? Wakati vipengele vya wazi kabisa kavivunja.
Mi mwenyewe ningekua Rais hizo b.17 nachukua 10 namuachia muhusika 7
aende mbele huko akatafute jinsi ya kuishi,b.10 naziingiza kwenye ma flyover
siwezi mfunga mtu wa namna hii ambae hajamwibia mtu,walimpa wenyewe kwann nimfunge sasa?
wakimfunga au kumuwekea vikwazo n kumuonea tu chalii wa watu,wao wenyewe wezi tu vile vile.
Mimi ndio zangu hizo nakumbuka nilidakwa nikakadiriwa nmetumia umeme waHii ya tanesco noma sanaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Huwaga wanataja pesa hiyo unaweza zimiaaa
Mfanyabiashara, Tariq Machibya (29) maarufu kama Mr. Kuku, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashtaka saba likiwemo la kufanya biashara ya haramu ya upatu kwa kukusanya fedha za Umma zaidi ya Tsh. 17 bilioni.
Machibya ambaye ni mkazi wa Oysterbay amesomewa mashtaka yake leo 10/08/2020 na Wakili wa Serikali muandamizi mbele ya hakimu mfawidhi wa mahakama hiyo Godfrey Isaya. Akisomewa mashitaka yake, mshtakiwa anakabiliwa na kesi ya Uhujumu Uchumi na 60/2020, kati ya mashitaka hayo 7 yapo ya kusimamia na kuendesha biashara haramu ya upatu, kupokea maingizo ya fedha za umma bila ya kuwa na leseni na kutakatisha fedha.
Mfahamu zaidi Mr. Kuku:
Mr. Kuku Farm ni aina mpya ya DESI?
Fahamu zaidi kuhusu Mr Kuku
Shida ni kwamba serikali ni waongo waongo sana hasa hawa wa huku mahakamani
wanamsema mtoto wa watu kasepa na 17B lkn ukute hela zote hizo ni wamemkadiria
sioni ukweli kwenye 17B huyu mtoto angekua kweli bank ana hata B.1 asingekamatwa
hayo mahela yote wamemuongezea tu namba, n sawa na tanesco au dawasco wakudake
umechezea mita yako,bili watakayokukadiria Hutoamini macho yako,ila watakukazia na utaitoa.
Mimi ndio zangu hizo nakumbuka nilidakwa nikakadiriwa nmetumia umeme wa
M.70 huwezi amini wale shenzi eti ktk mabishano wakasema basi tutakufanyia m.65
nikawambia sawa sawa Hiyo atleast,nipeni acc. nikalipie wakanipa nikasepa zangu mbele
kesho yake nikamtafuta meneja wa kanda Nikamlisha 500k kitu ikaisha hiyoooo,nivyorudi
site kesho yake nilikuta nimebadilishiwa meter nimewekewa meter mupyaaaa ,Toka 70m to 500k.
Uwiii[emoji28]Haya makampun ya kitapeli yamejaa,kuna moja inaitawa VKP INVESTMEST wauza viwanja kwa mkopo,watu tuliwaamini sababu ni registerd tumemaliza mikopo hakuna cha viwanja,mashamba wala kurudishiwa hela mwaka wa tatu kesi ipo mahakamani zaidi ya bilioni moja watz tumepigwa watu zaidi ya 300.Mmiliki wa kampuni hana pesa wala kiwanja cha kumpa mtu.
Weee na yale marange ya masanja sio yake?Mkuu unahis mr kuku kadakwa et kwa kuibia watu hzo lak lak na asirudishe...hapana....dogo watu walikua wanatakatisha fedha pale kwa jina la mr kuku...watu walimuaproach wakawa wanaweka pesa..kama wnaavyofanya kwa masanja ..wajanja wa serikalin ndo wanakofichia pesa huko skuhiz...mtu anapiga serikalin au kwenye mirad anatupia kwenye account ya masanja tu..na nyie mkiona masanja anauza mchele mnaamin.hahaha...
Kimesajiliwa, nao storee kama hizi za Mr. Kuku eti Wana 12b zimelala so tukope kwa wingiHahahah zama hizi sio za kumuamini mtu katika hela. Kama hamna usajili unaoeleweka ni hatari [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hata ikiwa hivyo bado ni hela ndefu pia.Mnaosema kakusanya 17 bilion na kwanini amebaki bongo inabidi mjue hizi hela hajazipata kwa mkupuo mmoja yaan amehesabiwa hela alizokuwa anakusanya kidogo kidogo tokea 2017 huko mpaka leo
Wapi hukoo ulitaka kujitoa???1Kimesajiliwa, nao storee kama hizi za Mr. Kuku eti Wana 12b zimelala so tukope kwa wingi
Mwezi wa tano nilitaka kujitoa wakanigomea balaaa
Hao walianza na 1M wana accumulate hewaWeee Umesikiaa wapiii??? Mil 17 pesa ndogo sana hapa Jf kuna watu tu wameshatoa zaidi ya Mil 5...
Wastaafu, watu wa ofisini ila watu wa dili kama sisi mishen town kutupata huwa ni ngumu sananinaamini wengi walioingia ktk huu mkenge ni wadada[emoji1787]
Ndio hivyo, lazima uoneshe umeitoa wapiDuuh msala sanaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hii Bongo leo hii ukitoa hata Mil 100 na huna vithibitisho vya biashara inayoendana na pesa hizo msalaaa.
Ukiangalia vizuri, kwenye karatasi za benki za kuweka pesa kuna sehemu inauliza dhumuni. Kitu lingine ukitaka kutoa pesa ndefu lazima uwape taarifa ili waitaarifu benki kuu na hapo ndio kizazaa huanziaIla watu wa benki nao ni wanafiki tu,wakati unaingiza hela kwenye benki yao hawaulizi wanakuacha tu halafu siku ya kutoa wanakurengesha kwa polisi.