MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Hahaahaha mimi naona pia dogo kwasababu raia kibao wanamdai kaona ajifanye hata 5m hana.🤣🤣🤣🤣🤣 hamna namna ingine, mzigo anao DPP sasa mwenye uchungu akamfungulie kesi DPP ili tupate la kujifunza😁
Investment funding, hakuna aliyetapeliwa alikuwa anakusanya anawekeza faida ikipatikana anagawa, tatizo hakufuata sheria za nchi zinavyotakaHiyo pesa waliyoichukua 5billion + na kuihamishia bot ni pesa waliyotapeliwa watu.inaonekana watu wengi wamepigwa sana hapa.
Kifupi watz wengi wanapenda mteremko kitonga.akitokea mjanja mwingine lazima wapigwe maboya wengine.kweli wajinga hawaishi.
Itakua kwako muda si pesa.Mimi hata ingekua nilipe 1b & 10 years, ningeenda 10 yrs.
Oky kama nikweli unachosema, basi serikali imeamua wagawane mabilioni, wenyewe wachukue cash. Mr kuku abaki na asset maana kigamboni jamaa anaekari zaidi ya 34 ,Godown za kufugia zaidi ya 15 tena za kisasa, mabasi, na vigari vidogo vidogo zaidi ya 10 vyakusambazia bidhaa. Ile investment aliyoifanya ni zaidi ya 1.5 billionHapana. Sio rahisi kuuza hivyo vitu vingine kimyakimya bila kujulisha mahakama. Alichonyang'anywa ni huo mpunga tu. Kama kuna kingine mahakama ingesema.
Soma bandiko vizuri, bilioni 5.4 ya faini wameshachukua, mbona hivyo?Man, unamaanisha akitoka jela atafute BILIONI TANO za kulipa fidia?
Aisee. Hiyo hawezi pata kizembe aisee.
Nyamaza tu sasa kwani inaonekana wewe ni mzito sana kuelewa! si usome taratibu ili uelewe?Sasa si kwenye akaunti kuna iyo Billion 5.4 sasa iyo 5 itumike kama Fidia hafu iyo pont 4 (Mil 400) jamaa awape Mahakama Mil 5 yao hafu ibaki Mil 395.
Mil 100 hivi aende vacation viwanja vya mbele kama week 2 hivi hafu arudi kuanza upya.
Atawapata wajinga wengine tu.
Ulitaka washtaki mpaka kwa rais au??Hao waliotapeliwa na Q net walienda kushtaki? Au wanaandika tu mitandaoni
Akaunti zimeshiliwa na mamlaka labda ndiyo sababuMr kuku leo hii ameshindwa lipa faini ya 5million?
Hata kama wamepita na hizo za kwenye account,inamaana hakua na upande wa pili ...
Duh! Dogo ana talent ya mambo ya biashara , serikali ingetafuta namna ya Kudili nae bila kuathiri biashara yake.Someni muelewe vizuri ni kwamba ameshakubaliana na DPP. Kwa mfumo mpya wa Plea Bargain
Wameshaangalia kwenye akaunti ana 5.4billion wamekubaliana unakiri kosa tunazichukua hizi halafu tunapunguza mashtaka
So 5.4 ya FIDIA washachukua
Halafu wanakupa adhabu ndogo ya FAINI ya million 5 au Jela miaka mi5
So wameshampukutisha kila kitu dogo hadi hiyo mil5 kashindwa kulipa kaenda rumande
Crowd funding sio utapeli usimsingizie dogo! Wawekezaji wote walikuwa wanalipwa hela zao kwa wakati sasa utapeli hpo uko wapi?Hiyo pesa waliyoichukua 5billion + na kuihamishia bot ni pesa waliyotapeliwa watu.inaonekana watu wengi wamepigwa sana hapa.
Kifupi watz wengi wanapenda mteremko kitonga.akitokea mjanja mwingine lazima wapigwe maboya wengine.kweli wajinga hawaishi.
True mkuu! Mabenki yenyewe kutoa mikopo yenye riba nafuu ni ishu!Hakuna lolote ni wivu na kuona watu wamebuni namna ya kuendesha miradi huku wakisaka wawekezaji wadogo
Mkuu, nadhani hata Ulaya kuna kuzuia na kunyang'anya mali na maslahi, interest and asset seizure and forfeiture.Kuweka hela benki za Tanzania ni risk.
Muda wowote wakizitaka wanazichukua.
Bila mjadala mrefu.
Aliuza hisa bila kusajiliwa soko la hisa!!!@Hizi kesi sa kukubali mashitaka na kulipa fine ni mbinu za kuibia watu pesa.
Binafsi mpaka leo sijaelewa kosa la mr kuku. Maana kama mradi ulikuwa active na watu wanawekeza kwa free consent sasa kosa lipo wapi?
Jamaa alikuwa alishapata tenda za kusupply kuku kwenye balozi , mahotel na international school .Yaani sijui tunaishi nchi gani. Baada ya jamaa kuzinguliwa soko la kuku liliyumba sana. Yaani wameua mradi mkubwa ambao huko mbele huenda ungekua na manufaa. Tatizo wivu watanzania tukiona mtu katoboa bila sugu mikononi tunaanza kuita wizi na majina mengine yasiyofaa
Sio kurubuni ni kushawishi, ukisema kurubuni maana yake jamaa alikuwa tapeli wakati ukweli ni kuwa kila aliwekeza alipewa mgao wake kwa mujibu wa makubaliano.Pamoja na hivyo dogo alitumia akili nyingi sana kuweza rubuni watu wote hao
Amemdanganya Nani wakati kila mwekezaji alikuwa akipata gawio lake km kawaida?IQ yako kiduchu sana. Mtu akikwapua fedha ya mwingine kwa udanganyifu jua ingeweza kutumika kwa mambo muhimu ikiwemo kuokoa maisha. Fikiria out of the box. Akili yako ibamue kidogo.
Hivi hizi habari za kutapeliwa mnazitoa wapi?Hazitatosha, inabidi BOT wakae nazo wakati tathmini ya waliotapeliwa ikiendelea ili kuhakiki nani katapeliwa kiasi gani, na kila mtu apate asilimia ngapi ya alichotapeliwa, maana kamwe haziwezi tosha
Ndiyo maana Africa ukimuona kijana ana miaka 30 halafu ni milionea muheshimu Sana.Mr. kuku ni MWAFRIKA LAITI KAMA ANGEKUWA MZUNGU ANGEPETA KAMA QNET NA FOREVER LIVING.