reyzzap
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 6,813
- 21,807
Tatizo kwa aina ya kosa lake, hata mtu wa kujitolea amsaidie hio 5M ni ngumu.Ubaya ni kwamba alikua na makosa ya sh bil17 so kwa muda wote huu wako wananegotiate ni pamoja na kuuza kila kitu alichonunua kwa hiyo hela. Ndo wamebahatika kupata hiyo bil5.4
Wakaona sasa inatosha hakuna kitu tena alichoficha basi mnakubaliana wanazikwapua
Swala la Million 5 wanaacha upambane nalo mwenyewe huko na ndugu zako. Dogo kakosa hio hela saizi karudi kulala na nyapala. Kulala kugeuka kwa filimbi
Hasa kama kipindi anaongelea hizo 17b hakula na wenzake.