Lazima ukubali kwakuwa mashtaka yale waliyopunguza ni kwamba angekua tu jela indefinitely kama kina Ruge waliogoma kupleaAisee,bora asingekubali,maana unatoka jela unaanza moja du!
Jamhuri ipi ya kukupa hela? Hio ni ya ujenzi wa taifa la wadanganyika.Kwahio hio pesa ikichukuliwa na jamuhuri itawapatia waathirika wa huo upatu au ndio watakua wameshiriki kwenye ujenzi wa taifa?
Sijui etiKwani hana ndugu au marafiki wa kumsaidia kulipa hadi aende jela?
OK ndio maana upatu wa kuchangishana elfu 5 huku mtaani hata wakizulumiana wanakwenda polisi na wanasikikizwa wakati ilitakiwa wakifika polisi wawekwe lockupSisi Watanzania bhana!Ina maana hadi leo hujui lengo la serekali/lengo la hiyo sheria?Nia ya serekali ni kukusanya mshiko mkubwa kutoka kwa watu wenye hela ndefu na wala siyo kulinda sheria.Sasa hao wa forex wana hela gani ambazo ni significant kwa serekali?Yaani DPP apoteze muda wake kupambana kukusanya hela kwa mtu mwenye million sijui nne au moja?DPP amepewa jukumu maalum la kukusanya hela kutoka kwa watu wenye hela ndefu,yaani kama wewe ni bilionea Tanzania siyo sehemu salama kwa sasa!
Jamuhuri ya wanyang'anyiJamhuri ipi ya kukupa hela?hio ni ya ujenzi wa taifa la wadanganyika
halaf kijana bado anarudi anaanza arifu kwa ujiti
Hiyo 5.4 billioni ameshailipa kwa kitendo cha mahakama kuamuru kiasi hicho kihamishiwe kwenye account ya DPPChoice aliyopewa ni alipe faini ya 5million au jela 5years
Hiyo 5billion ya fidia kuilipa ni lazima;Bila kujali aende jela asiende ndomaana account zake wamezifreeze
Zamani Serikali Ilikuwa Inafanywa Chochote Na Wenye Pesa Lakini Awamu Ya Tano. Mwenye Pesa Anaweza Kufanywa Lolotebongo nyoso sana. mtu kakurupuka kucomment fasta fasta na hata paragraph ya kwanza ya taarifa hajaielewa. mhh kazi kweli kweli.
Choice aliyopewa ni alipe faini ya 5million au jela 5years
Hiyo 5billion ya fidia kuilipa ni lazima;Bila kujali aende jela asiende ndomaana account zake wamezifreeze
Hizi kesi sa kukubali mashitaka na kulipa fine ni mbinu za kuibia watu pesa.
Binafsi mpaka leo sijaelewa kosa la mr kuku. Maana kama mradi ulikuwa active na watu wanawekeza kwa free consent sasa kosa lipo wapi?
Hakuwa na leseniHizi kesi sa kukubali mashitaka na kulipa fine ni mbinu za kuibia watu pesa.
Binafsi mpaka leo sijaelewa kosa la mr kuku. Maana kama mradi ulikuwa active na watu wanawekeza kwa free consent sasa kosa lipo wapi?
Fine hizo huwezi kulipa mahakamani papo kwa papo kuna process za kufatwa na zinaweza chukua muda mpaka muda wa mahakama kuishaKhaaaa.
Kwahio Mr kuku kashindwa kulipa Faini ya 5million?
Duuu kweli upepo umemgeukia.
Hivi wale wa deci walilipwaKwahio hio pesa ikichukuliwa na jamuhuri itawapatia waathirika wa huo upatu au ndio watakua wameshiriki kwenye ujenzi wa taifa?