Uchaguzi 2020 Mr. Much know na Kachero waamsha wenge upinzani: Vurugu zimeanza tayari

Wadokeze kuna fursa huku >> 😅 Fursa ya ufugaji wa nyoka
 
Basi nchi hii kuna "Mr I know it all" wengi sana. Wengine wanasema sio hapa duniani tu hata kule mbinguni watakua pamoja na malaika

Na wengine wanadhani Mungu ni mwanachama mwenzao.

Mungu hoyeeeee!!!!!
 
Upinzani walishindwa nini kuungana mapema? Ubinafsi unawagharimu
 
Huyo atakuwa ni bundi wa kichina, huku kwetu ni yeye tu. Kampeni zinazidi kupamba moto mpaka yule fisadi wa ndege bp imepanda
Cheamani na KM wanajuta kumfahamu Bwana Mjua Vyote vya chini na juu, kushoto na kulia
 
Wamuache aendelee na kampeni zake atavuna alichopanda
Umeona eehh! Mtu kajipanga mara baada ya kupigwa mwereka anakuja huko wanataka tena kumpiga kwa stress kipandauso. Jamani, hamna hata huruma na wazee? Mwacheni tuu atengeneze CV ya kuwa aliwahi kugombea.
 
Mwepes km unyoya wa kuku yanapokuja mambo ya kikaisari" [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
 
Umeona eehh! Mtu kajipanga mara baada ya kupigwa mwereka anakuja huko wanataka tena kumpiga kwa stress kipandauso. Jamani, hamna hata huruma na wazee? Mwacheni tuu atengeneze CV ya kuwa aliwahi kugombea.
Mm nakosa imani na watu wa upinzani kabisa.Tumekubaliana ,kwenye mkutano mkuu kwamba mm nigombee .Leo ukiwa barabarani tu,unasema unamuunga mkono Lissu.Yaani unafanya chama ni chako binafsi.Vyama hivi vinadai kuwa ,ni vya watanzania lakini ukweli ni vya watu binafsi. Vyama hivi vinadai katiba mpya.He ,katiba zao zimeshabadilishwa na kuwa ,vyama vya umma?Vyama hivi vimekuwa vyama vya ruzuku.
 
Siku mbili zijazo tegemea kumwonaTundu na Kachelo jukwaani wakifanya mambo ndio utajua kuwa hujui
 
Umelipwa hapa tayari..?! CCM acheni kuchezea kodi zetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…