Cyprian Musiba na Le mutuz wamemletea Waganga wa kienyeji na ndumba kibao wanataka ndiyo wawe walinzi wake kwa mda mpaka fitna zao za kumhujumu ndungulile kumpakazia uongo zitimie jina la Bashite lilejeshwe Kigamboni wafanye uchakachuaji waibe kura awe mbunge baadae awe waziri ama Naibu spika apewe Ulinzi mkubwa zaidi. hilo ni lengo la kwanza na lengo lao la pili ni kuomba Teuzi ya kuwa Balozi South Africa, au Namibia au Botswana ikishindikana apewe kitengo ikulu kabsa au awe mkuu wa mkoa wa Dodoma ingawa cyprian Musiba kasema anaweza kufanya muujiza wa Dunia ukashangaa Bashite anarejeshwa kuwa RC wa Dsm tena, Le mutuz sasa wanakula pesa za Bashite kwa bidii kubwa huku wakiendelea kumpa matumaini yasiyo na uhakika.