Mr. Paul Makonda, kama Rais hajakuachia hata mlinzi mmoja akulinde, basi teuzi utazisikia kwenye Tv tu

Mr. Paul Makonda, kama Rais hajakuachia hata mlinzi mmoja akulinde, basi teuzi utazisikia kwenye Tv tu

Unasema ana neema??!! Neema toka kwa nani? Neema hutoka kwa Mungu tu. Na Mungu hatoi neema kwa muuaji anayewanyima watu haki ya kuishi.

Laana humwandama muuaji, yeye na kizazi chake. Hata kama si leo, kuna siku asiyoijua ataishuhudia laana ya matendo yake.

Sent using Jamii Forums mobile app

Tatizo hujui kuwa Mama wa Mfalme Sulemani aliye kuwa Mtoto wa Mfalme Daudi wa ukoo wa Bwana Yesu alikuwa mke wa Huria Mhiti.
Huria Mhiti alikuwa mmoja wa Makomando 30 hatari, waliokuwa Makamanda watiifu na walioaminiwa sana na Mfalme Daudi.
 
De
Habari wakuu!

Huyu Makonda aliyesifiwa kukamata wauza madawa ya kulevya na kutikisa jiji na nchi aliongezewa ulinzi ghafla na Rais(serikali) mpaka pale hali ilipotulia.

Baadaye aliendelea kuwa na ulinzi kiasi kutoka Vyombo mbalimbali vya Ulinzi vya mkoa wa Dar es Salaam mpaka alipoachia ngazi, au niseme mpaka alipoachishwa kazi.

Kama Mh.Magufuli anakupenda na ana mpango na wewe basi cha kwanza atahakikisha usamala (ulinzi) wako. Serikali ina walinzi wengi kutoka katika Vyombo mbalimbali vya ulinzi na usalama.

Ukiona hujaachiwa hata mgambo mmoja basi hapo panga plan B tu. Ushatemwa Mr. na kama kakuachia angalau city auxiliary police man au mgambo mmoja basi utaula na kung'ara tena na sisi tunaofurahia anguko lako tutateseka tena.
Deep state at work!
 
Daudi Bashite was a pathetic ruler if not a leader who was getting 100% support from his dad until their long-term relationship & friendship broke apart.
 
Huyu jamaa atarudi tena, mnavyomsema babaake atamrudisha.
 
Dah..mwamba yupo kwenye huu uzi na anachangia vizuri tu.
 
Daudi Bashite was a pathetic ruler if not a leader who was getting 100% support from his dad until their long-term relationship & friendship broke apart.
Because of the common denominator they share together, the son and the dad will never fall apart! Use a golden mark to maintain my words in this wall
 
Huyu jamaa aliajirika sana kipindi cha madawa ya kulevya, matajiri wa madawa walimpatia feza nyingi sana. Inasemekana ana miradi mikubwa mikubwa kule RSA,.
 
Back
Top Bottom