Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Mtoto wa babaIli asitoroke ujui kwamba ni mfungwa mtarajiwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtoto wa babaIli asitoroke ujui kwamba ni mfungwa mtarajiwa
Habari wakuu!
Huyu Makonda aliyesifiwa kukamata wauza madawa ya kulevya na kutikisa jiji na nchi aliongezewa ulinzi ghafla na Rais(serikali) mpaka pale hali ilipotulia.
Baadaye aliendelea kuwa na ulinzi kiasi kutoka Vyombo mbalimbali vya Ulinzi vya mkoa wa Dar es Salaam mpaka alipoachia ngazi, au niseme mpaka alipoachishwa kazi.
Kama Mh.Magufuli anakupenda na ana mpango na wewe basi cha kwanza atahakikisha usamala (ulinzi) wako. Serikali ina walinzi wengi kutoka katika Vyombo mbalimbali vya ulinzi na usalama.
Ukiona hujaachiwa hata mgambo mmoja basi hapo panga plan B tu. Ushatemwa Mr. na kama kakuachia angalau city auxiliary police man au mgambo mmoja basi utaula na kung'ara tena na sisi tunaofurahia anguko lako tutateseka tena.
Yupo kama alivyozaliwa ova
Kwani koromije iko wilaya gani mkuu?Mheshimiwa Paul Makonda aje huku tumpe kazi ya uenyekiti wa sungusungu wilaya ya misungwi, ale Raha zaidi ya watu wote
Ehehehehehee.
Vipi ana platoon inamlinda au yuko na Bible tu?
Mlinzi wa nini wakati sio kiongozi tena?
Jamaa alikuwa na dharau.
Ilibaki kidogo sana aanzishe siku ya kumwabudu yeye na baba yake
Sasa amerudi kuwa Daudi Albert Bashite orijino.
Tena atafute kazi za kufanya au arudi kalomije bila hivyo tutamkamata uzururaji.
Mtoto wa mfalmeMwananchi wa kawaida analindwaje?! [emoji23][emoji23][emoji23]
We akili zako unazijua mwenyewe.
Kajinyonge basi ili tujue kuwa kweli umechukiaCCM haihitaji heshima yako we bakuli!
Unauliza au unathibitisha hana mlinzi
Hawezi kumtupa maana alikuwa right hand man wake kwa deal zake nyingi, clean na chafu. Anajua mengi huyo dogo usione kiburi liko juu
Dont talk too much,,that man is a comeback kid...
Cyprian Musiba na Le mutuz wamemletea Waganga wa kienyeji na ndumba kibao wanataka ndiyo wawe walinzi wake kwa mda mpaka fitna zao za kumhujumu ndungulile kumpakazia uongo zitimie jina la Bashite lilejeshwe Kigamboni wafanye uchakachuaji waibe kura awe mbunge baadae awe waziri ama Naibu spika apewe Ulinzi mkubwa zaidi. hilo ni lengo la kwanza na lengo lao la pili ni kuomba Teuzi ya kuwa Balozi South Africa, au Namibia au Botswana ikishindikana apewe kitengo ikulu kabsa au awe mkuu wa mkoa wa Dodoma ingawa cyprian Musiba kasema anaweza kufanya muujiza wa Dunia ukashangaa Bashite anarejeshwa kuwa RC wa Dsm tena, Le mutuz sasa wanakula pesa za Bashite kwa bidii kubwa huku wakiendelea kumpa matumaini yasiyo na uhakika.Habari wakuu!
Huyu Makonda aliyesifiwa kukamata wauza madawa ya kulevya na kutikisa jiji na nchi aliongezewa ulinzi ghafla na Rais(serikali) mpaka pale hali ilipotulia.
Baadaye aliendelea kuwa na ulinzi kiasi kutoka Vyombo mbalimbali vya Ulinzi vya mkoa wa Dar es Salaam mpaka alipoachia ngazi, au niseme mpaka alipoachishwa kazi.
Kama Mh.Magufuli anakupenda na ana mpango na wewe basi cha kwanza atahakikisha usamala (ulinzi) wako. Serikali ina walinzi wengi kutoka katika Vyombo mbalimbali vya ulinzi na usalama.
Ukiona hujaachiwa hata mgambo mmoja basi hapo panga plan B tu. Ushatemwa Mr. na kama kakuachia angalau city auxiliary police man au mgambo mmoja basi utaula na kung'ara tena na sisi tunaofurahia anguko lako tutateseka tena.
Siku hizi Dar iko poa kabisa. Hatimaye wana-Dar es Salaam tumepata kiongozi anaye anyejua kazi yake.
Le mutuz na cyprian Musiba wanamlia pesa wakmdanganya kuwa watamsaidia kupata madaraka tenaHakuna anaye jali kurudi kwake kazini, bali tunacho shukuru ni kuwa sisi wananchi tume waonyesha wateuzi wake kuwa hatumtaki.
Ni sheikh gani huyo mwenye ulinzi wa majini?Uzuri Makonda alishapata Neema, ni kwa mwema tu ya Bwana Yesu kujua kuwa Mlinzi wa Kweli ni Mwenyezi Mungu.
Hakuna aliyekuwa na mbwembwe za ulinzi wa binadamu kama Khadaffi. Kiko wapi hali ilipokuwa ngumu wakamtelekeza chini ya kalvati. Ima yule sheikh wa ulinzi usio onekana aka majini. Ulisha msikia tena??'!!