Mr. Paul Makonda, kama Rais hajakuachia hata mlinzi mmoja akulinde, basi teuzi utazisikia kwenye Tv tu

Mr. Paul Makonda, kama Rais hajakuachia hata mlinzi mmoja akulinde, basi teuzi utazisikia kwenye Tv tu

Hakuna anaye teseka kwa Makonda kuendelea kuwepo kwenye uongozi, bali watu wanacho hitaji ni kuona anaongoza kwa weledi pasipo ubaguzi na kuwabeza wananchi wanao mkosoa.
Habari wakuu!

Huyu Makonda aliyesifiwa kukamata wauza madawa ya kulevya na kutikisa jiji na nchi aliongezewa ulinzi ghafla na Rais(serikali) mpaka pale hali ilipotulia.

Baadaye aliendelea kuwa na ulinzi kiasi kutoka Vyombo mbalimbali vya Ulinzi vya mkoa wa Dar es Salaam mpaka alipoachia ngazi, au niseme mpaka alipoachishwa kazi.

Kama Mh.Magufuli anakupenda na ana mpango na wewe basi cha kwanza atahakikisha usamala (ulinzi) wako. Serikali ina walinzi wengi kutoka katika Vyombo mbalimbali vya ulinzi na usalama.

Ukiona hujaachiwa hata mgambo mmoja basi hapo panga plan B tu. Ushatemwa Mr. na kama kakuachia angalau city auxiliary police man au mgambo mmoja basi utaula na kung'ara tena na sisi tunaofurahia anguko lako tutateseka tena.
 
Cyprian Musiba na Le mutuz wamemletea Waganga wa kienyeji na ndumba kibao wanataka ndiyo wawe walinzi wake kwa mda mpaka fitna zao za kumhujumu ndungulile kumpakazia uongo zitimie jina la Bashite lilejeshwe Kigamboni wafanye uchakachuaji waibe kura awe mbunge baadae awe waziri ama Naibu spika apewe Ulinzi mkubwa zaidi. hilo ni lengo la kwanza na lengo lao la pili ni kuomba Teuzi ya kuwa Balozi South Africa, au Namibia au Botswana ikishindikana apewe kitengo ikulu kabsa au awe mkuu wa mkoa wa Dodoma ingawa cyprian Musiba kasema anaweza kufanya muujiza wa Dunia ukashangaa Bashite anarejeshwa kuwa RC wa Dsm tena, Le mutuz sasa wanakula pesa za Bashite kwa bidii kubwa huku wakiendelea kumpa matumaini yasiyo na uhakika.
 
Siku hizi Dar iko poa kabisa. Hatimaye wana-Dar es Salaam tumepata kiongozi anaye anyejua kazi yake.

Mhe Kunenge Abubakar mkuu mpya wa mkoa wa Dsm ni kiongozi msomi(learned), mwenye ujuzi na kipaji cha utawala, mpole, msikivu, mcha Mungu, huheshimu marika yote! Hana kinyongo wala kiburi, hajawahi kulewa madaraka na kuyatumia vibaya (he is industrious, laborious, mannered, dutiful, ready to listen and act on issues and many more)!
 
Uzuri Makonda alishapata Neema, ni kwa mwema tu ya Bwana Yesu kujua kuwa Mlinzi wa Kweli ni Mwenyezi Mungu.

Hakuna aliyekuwa na mbwembwe za ulinzi wa binadamu kama Khadaffi. Kiko wapi hali ilipokuwa ngumu wakamtelekeza chini ya kalvati. Ima yule sheikh wa ulinzi usio onekana aka majini. Ulisha msikia tena??'!!
Ni sheikh gani huyo mwenye ulinzi wa majini?
 
Back
Top Bottom