Messenger RNA
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 1,411
- 3,712
Katika harakati za Mh.rais Samia za kumtua mama ndoo kichwani, leo mradi mkubwa wa maji utakao maliza kabisa tatizo la maji jijini mbeya na viunga vyake umesainiwa mbele ya waziri wa maji Mh.Jumaa aweso huku mbunge wa jimbo hilo Dr.Tulia akidokeza kuwa ujenzi wa barabara ya njia nne kuanza muda mfupi ujao.
HONGERENI WANA MBEYA KWA KULETEWA MAENDELEO.
Mkuu kwani tafsiri yako mradi mkubwa unaanzia kiasi gani?Mradi wa maji wa 17b sio mradi mkubwa, labda kama hujui mradi mkubwa maana yake ni nini.
Mkuu kwani tafsiri yako mradi mkubwa unaanzia kiasi gani?
Sio mkubwa kivip hyo ni coverage ya sehemu ndogo..unafikiria mbeyu nzima Haina majiMradi wa maji wa 17b sio mradi mkubwa, labda kama hujui mradi mkubwa maana yake ni nini.
Mkuu ukubwa na udogo hutegemea na mtazamo wa mtu,lakini mimi naona huo ni mradi mkubwa kwa sababu tatizo maji kwenye jiji hilo na viunga vyake linakuwa historia.Ungekuwa wa 50b+ wangalau. Mradi wa maji wa kiwango hicho sio mradi mkubwa tafadhali.
17bilioni sio mradi mkubwa?Mradi wa maji wa 17b sio mradi mkubwa, labda kama hujui mradi mkubwa maana yake ni nini.
17bilioni sio mradi mkubwa?
Kwani chadema 30 yrs bila kuwa hata na kiwanja cha kujenga ofisi ya makao makuu ni afadhali?Ama kweli ccm ni chama kichovu. Miaka 60+ ya Uhuru bado tunaongelea miradi ya maji na barabara?
Shubamiti!
Mkuu ukubwa na udogo hutegemea na mtazamo wa mtu,lakini mimi naona huo ni mradi mkubwa kwa sababu tatizo maji kwenye jiji hilo na viunga vyake linakuwa historia.
60+ yrs ya ukusanyaji kodi halafu bado tunaimba wimbo wa maji, barabara, shule na madawati.Kwani chadema 30 yrs bila kuwa hata na kiwanja cha kujenga ofisi ya makao makuu ni afadhali?
Hahahaaa, umeme kila siku tunaahidiwa utakuwa historia vipi wameweza? Usihadaike na wanasiasaMkuu ukubwa na udogo hutegemea na mtazamo wa mtu,lakini mimi naona huo ni mradi mkubwa kwa sababu tatizo maji kwenye jiji hilo na viunga vyake linakuwa historia.
Fanya editing wewe,mradi una bil.117.5 sio 17Katika harakati za Mh.rais Samia za kumtua mama ndoo kichwani, leo mradi mkubwa wa maji utakao maliza kabisa tatizo la maji jijini mbeya na viunga vyake umesainiwa mbele ya waziri wa maji Mh.Jumaa aweso huku mbunge wa jimbo hilo Dr.
Tulia akidokeza kuwa ujenzi wa barabara ya njia nne kuanza muda mfupi ujao.
HONGERENI WANA MBEYA KWA KULETEWA MAENDELEO.