Mradi mkubwa wa maji wenye thamani ya bil 17.5 wasainiwa jijini mbeya, barabara ya njia nne kuanza kujengwa upesi

Mradi mkubwa wa maji wenye thamani ya bil 17.5 wasainiwa jijini mbeya, barabara ya njia nne kuanza kujengwa upesi

Messenger RNA

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2022
Posts
1,411
Reaction score
3,712
Katika harakati za Mh.rais Samia za kumtua mama ndoo kichwani, leo mradi mkubwa wa maji utakao maliza kabisa tatizo la maji jijini mbeya na viunga vyake umesainiwa mbele ya waziri wa maji Mh.Jumaa aweso huku mbunge wa jimbo hilo Dr.

Tulia akidokeza kuwa ujenzi wa barabara ya njia nne kuanza muda mfupi ujao.
HONGERENI WANA MBEYA KWA KULETEWA MAENDELEO.
 
Katika harakati za Mh.rais Samia za kumtua mama ndoo kichwani, leo mradi mkubwa wa maji utakao maliza kabisa tatizo la maji jijini mbeya na viunga vyake umesainiwa mbele ya waziri wa maji Mh.Jumaa aweso huku mbunge wa jimbo hilo Dr.Tulia akidokeza kuwa ujenzi wa barabara ya njia nne kuanza muda mfupi ujao.
HONGERENI WANA MBEYA KWA KULETEWA MAENDELEO.

Mradi wa maji wa 17b sio mradi mkubwa, labda kama hujui mradi mkubwa maana yake ni nini.
 
Mradi wa maji wa 17b sio mradi mkubwa, labda kama hujui mradi mkubwa maana yake ni nini.
Sio mkubwa kivip hyo ni coverage ya sehemu ndogo..unafikiria mbeyu nzima Haina maji
 
Ungekuwa wa 50b+ wangalau. Mradi wa maji wa kiwango hicho sio mradi mkubwa tafadhali.
Mkuu ukubwa na udogo hutegemea na mtazamo wa mtu,lakini mimi naona huo ni mradi mkubwa kwa sababu tatizo maji kwenye jiji hilo na viunga vyake linakuwa historia.
 
17bilioni sio mradi mkubwa?

Atoe neno mkubwa aache neno mradi tu. 17b ni mradi mkubwa kwenye mji mdogo, na sio mji kama wa Mbeya. 17b ni hela nyingi kwenye mradi mwingine kama madarasa nk, sio wa maji. Huko Arusha kuna mradi mkubwa wa maji safi na maji taka, mradi ule ni 500b+, ule ndio mradi mkubwa. Huo mradi wa Mbeya wangalau ungevuka 50b hapo sawa.
 
Ama kweli ccm ni chama kichovu. Miaka 60+ ya Uhuru bado tunaongelea miradi ya maji na barabara?

Shubamiti!
 
Msiwe mnapenda kutumia hayo maneno ya Profesa Muhongo "tatizo la...litakuwa historia"
Mkuu ukubwa na udogo hutegemea na mtazamo wa mtu,lakini mimi naona huo ni mradi mkubwa kwa sababu tatizo maji kwenye jiji hilo na viunga vyake linakuwa historia.
 
Kwani chadema 30 yrs bila kuwa hata na kiwanja cha kujenga ofisi ya makao makuu ni afadhali?
60+ yrs ya ukusanyaji kodi halafu bado tunaimba wimbo wa maji, barabara, shule na madawati.

Chama siyo jengo wewe mhutu. Magari ya chadema nchi nzima yamenunuliwa kwa mavi yako? Kodi ya kupangisha ofisi nchi nzima inalipwa kwa mate yako?
 
Mkuu ukubwa na udogo hutegemea na mtazamo wa mtu,lakini mimi naona huo ni mradi mkubwa kwa sababu tatizo maji kwenye jiji hilo na viunga vyake linakuwa historia.
Hahahaaa, umeme kila siku tunaahidiwa utakuwa historia vipi wameweza? Usihadaike na wanasiasa
 
Katika harakati za Mh.rais Samia za kumtua mama ndoo kichwani, leo mradi mkubwa wa maji utakao maliza kabisa tatizo la maji jijini mbeya na viunga vyake umesainiwa mbele ya waziri wa maji Mh.Jumaa aweso huku mbunge wa jimbo hilo Dr.

Tulia akidokeza kuwa ujenzi wa barabara ya njia nne kuanza muda mfupi ujao.
HONGERENI WANA MBEYA KWA KULETEWA MAENDELEO.
Fanya editing wewe,mradi una bil.117.5 sio 17

Back
Top Bottom