Mradi wa Bagamoyo: Hujuma Tanzania na ushindi kwa Kenya na Rwanda

Mradi wa Bagamoyo: Hujuma Tanzania na ushindi kwa Kenya na Rwanda

Unaona huyu unayempigia debe ni jeuri kisasi cha kutumia maneno makali kumkaripia mtanzania mwenzetu tena mteuliwa wa rais? ( rejea kutoka citizen paper: The investor— China Merchants Port holdings Company Limited, also asked Tanzania Ports Authority (TPA) director general Deusdedit Kakoko to keep off the plan).
Anaanza kuonyesha jeuri namna hii wakati watu bado wako kwenye majadiliano. Je hawa wakipewa huo mradi si watatuparua kwa makucha? Kwa nini asitumie njia nzuri ku-address concern zake badala ya kutumia maneno makali hivyo kwa mteuliwa wa rais?
Jeuri ipi aliyoionesha?! Kusema kwamba hizo habari ni fake ndo ujeuri?! Kama kwa mujibu wa uelewa wake hiyo habari sio sahihi ulitarajia aseme vipi?!

Au kusema Kakoko aache kusambaza uzushi kwako wewe ni tusi?! Again, kama wao hawajapokea hayo Kakoko anayosema wamemwambia Investor ama akubaliane na conditions mpya 5 au wasepe; kumbe ulitarajia nini zaidi ?!

Btw, tangu lini serikali zetu hizi zikawa zinaweka hadharani vipengele vya mikataba kama Kakoko anavyotaka kuuaminisha umma?

Kwamba "kwanini Mchina asitumie njia mzuri ku-address concern zake", huyo Kakoko aliyesema "...the Investor had been told to accept five revised conditions of the contract or leave"

Kwako ni lugha mzuri hiyo?! Ni lugha ya kibiashara hiyo?!
 
Ndiyo shida ya kudandia gari kwa mbele.
Jibu swali wewe... kuna hoja gani pale uliyokua umetoa?! Halafu nyie watu hii phrase "...kudandia gari kwa mbele" sijui ndo mmeisikia sasa... manake mnaitumia hata pasipo husika!!
 
Hili la wakenya kukimbia watu wengi ukiwaambia humu watakubishia kwasababu akili ziko kisiasa, Wale jamaa hata IQ ziko sawa kwa watu au mtu mmoja mmoja hili nafikiri hata kwenye basics kwa maana ya msingi mzuri wa elimu kwao uko sawa..

Uwekezaji mkubwa kwa maendeleo ya jumla kama Taifa na uwekezaji mdogomdogo kwa watu wakawaida jamaa wako vizuri ndio maana hata ni rahisi sana kupata matajiri weusi wengi Kenya ambao biashara zao zipo kisasa kuliko huku kwetu ambapo utajiri unaambatana na uchawi na too much robbing..

Ukweli ni kwamba tuna matatizo mengi ambayo ni ya msingi kabisa Tanzania nayanahitaji suluhu za uhakika kabla ya kuendea mambo mengine makubwa....
Nakubaliana na wewe ndugu.
Hili jambo ni very sensitive na nafikiri ni wakati sasa kama taifa tukalijadili na kulitafutia majibu ya uhakika. Ni sasa na sio badae.

Kuna muda naiona kiu ya Magufuli kwa Tanzania anayoitaka ila naona kabisa hawezi kutibu kiu yake kwa sababu msaada anaotakiwa kuupata wa kimawazo naona hawezi kuupata kwa watu wanaomzunguka.

Magufuli na mawazo yake mazuri anaitaji watu wenye exposure kubwa sana ya dunia inaendaje hasa kwenye uwekezaji na biashara. Naamini akipata watu hawa tutafika mbali sana kama taifa.

Rwanda na Kenya they mean business kwenye uwekezaji mdogo na mkubwa na naona siku si nyingi tutaanza tena kuwaonea wivu na kuwasema vibaya kama kawaida yetu.

Yanayosemwa hapa juu ya Bandari ya Lamu ni kidogo tu na nilikuwa kule siku si nyingi. Kiukweli ni kwamba ukifika utaona kabisa kuwa jamaa wamejiandaa kudominate soko la biashara ukanda huu.

Jambo lingine la aibu ni kwamba Hata iyo bandari ya Dar tunayoing’ng’ania ndo kwanza ina beth13 na ndo wanajenga zingine 3 kufikia 16 wakati wenzetu kwa bandari ya Mombasa tu wana beth 22 na wanaongeza nyingine 4 kufikia 26. Kwa kifupi tu Kenya anatuacha kila kukicha.

Mabadiriko mengine ni kwa Chama changu cha Mapinduzi. Wenzao wanaowaiga Chama cha ukombozi wa China walishabadirika kitambo hasa kwenye mtazamo wa kibiashara na kiuwekezaji, hawa ndo nao wanatakiwa kubadirika ili kuishauri serikali vizuri ila naona bado wako kwenye fikra za miaka ya70
 
Lazima kwako uone ni mahoka kwa sababu huelewi... na mbaya zaidi, huelewi kwamba huelewi!
Ehee. Wewe na Zitto ndiyo mnaelewa kuliko watanzania wengine wote. Ubongo wenu ni exceptional! Wengine hawawezi kuona mbali kama nyinyi. Hata rais na wanaomzunguka wote hawana uwezo kama ninyi!
 
Jibu swali wewe... kuna hoja gani pale uliyokua umetoa?! Halafu nyie watu hii phrase "...kudandia gari kwa mbele" sijui ndo mmeisikia sasa... manake mnaitumia hata pasipo husika!!

Fuatilia mjadala ulikotokea.
 
Mkuu Kichuguu !!

Kusema eti points nilizoleta zote ni speculations zangu itakuwa ni kunionea mzee!!! Hizo unazodai ni speculations zangu ni points zinatolewa na serikali na mawakala wao!!Waliosema kwamba Mchina ametaka land lease ya miaka 99 (speculations?), ni watu wa serikali na mawakala wao na sio mimi!! Binafsi nimehoji tu kwamba what's new hapo ikiwa sheria zenyewe ndivyo zinavyosema kwaamba kuna lease ya miaka 33, 66 au 99!

Waliosema Mchina anataka tusiendeleze bandari zetu ni watu wa serikali na mawakala wao! Hapo nami nikahoiji tu bandari zipi ambazo tumeambiwa tusiendeleze?!

Waliosema kwamba Mchina anataka serikali isikusanye kodi ni watu wa serikali na mawaka wao!!! Hapa nami nikahoji tangu lini kodi imekuwa sio mali ya serikali!!?

To make a long story short, kila nilichoandika nimehoji kile kinachosemwa na watu wa serikali na mawakala wao!!! Kwa maana nyingine, kama ni speculations, basi wanaoleta speculations ni wao, inclduing the Big Man Himself... Mr. President!!

Kwamba "Dola $10bn kutoka Oman na China haziji bure. No free lunch! ", I agree with you... na hakuna popote niliposema kwamba hao jamaa wanatoa bure hayo mapesa!!

Ninachokumbuka kusema kwamba, urejeshaji wao wa gharama utatokana na tozo mbalimbali... nikatoa mfano wa TPA!!

Hivi kuna anayetia shaka kwamba TPA wana pesa za kutosha?! Je, hizo pesa wanazipata kwa kusanya kodi?! The answer is NO... mapato yao ni non-tax revenues but still they're making a lot of money!!
Mkuu Chinge umejaribu kuhoji mambo mengi sana yenye mashiko. Kuna ndugu zetu ambao wapo tayari kusifia lolote. Kujadili nao jambo kama hili ni kazi ngumu na inahitaji watu wajuzi na wenye busara. Siku zote lengu la mfanyabiashara yoyote ni kupata faida. China hawapo tayari kufanya biashara ambayo mtaji wake ni mkubwa kiasi hicho bila kuangali risk zilizopo. Sisi kama taifa tunapata faida mara mbili,zipo za moja kwa moja na zipo zitakozotetwa na ile multiplier effect ya mradi husika. Lazima tujitahidi tufikie angalau win win situation na sio kulaumu mambo ya kawaida kama land leese wakati ni sheria zetu wenyewe. Kongole kwako mkuu
 
Fuatilia mjadala ulikotokea.
Real?! Anyway, mimi nilianzia kwa kuku-quote hiii post yako hapa:-
😁😂 So do you think Tanzania is going to get a free Arabian or Chinese cuisine?
Nikakuhoji--
Kwahiyo ukiambiwa kwamba mradi fulani una-operate under Build-Operate-Transfer, kwako hiyo ni sawa na Free Arabian Cuisine siyo?!
Wewe ukanijibu--
Bro if you don't understand the mechanics of PFI/PPP, it's better to keep quiet.
Malcom akakueleza--
Hicho kichwa siyo kiwango chako.
Huyo ni mchumi mbobezi.
Tafuta mwingine.
Nawe ukamjibu
Jibu swali, siyo kutoa majibu ya kinyonge hapa. Sitaki akili za kushikiwa. Kama huwezi kujibu, muite Zito aje kujibu hoja.
Ukam-quote Malcom kupitia comment iliyonihusisha mimi, ndipo nikaeleza:-
Look at this guy--👇👇👇
Hapo nikaweka post ya kwangu na ya Malcom, kisha nikakuhoji:-
Kuna hoja gani hapa umetoa uliyotaka kujibiwa?!👇👇👇
Hatimae ukadai--
Ndiyo shida ya kudandia gari kwa mbele.
NIkakueleza--
Jibu swali wewe... kuna hoja gani pale uliyokua umetoa?! Halafu nyie watu hii phrase "...kudandia gari kwa mbele" sijui ndo mmeisikia sasa... manake mnaitumia hata pasipo husika!!
Na nimehoji iliwa unafahamu ikiwa unafahamu maana ya kudandia gari kwa mbele, kwa sababu ukiangala huo mtiririko wa hizo posts, utaona hakuna nilipodandia!!!!
 
Real?! Anyway, mimi nilianzia kwa kuku-quote hiii post yako hapa:-Nikakuhoji--Wewe ukanijibu--
Malcom akakueleza--Nawe ukamjibuUkam-quote Malcom kupitia comment iliyonihusisha mimi, ndipo nikaeleza:-

Ha ha ha
I'm always not take the JF stuff into myself. I tend to forget and damp behind all the things I discussed.
Sorry I don't have time to go back to what we discussed.
 
Mkuu Chinge umejaribu kuhoji mambo mengi sana yenye mashiko. Kuna ndugu zetu ambao wapo tayari kusifia lolote. Kujadili nao jambo kama hili ni kazi ngumu na inahitaji watu wajuzi na wenye busara. Siku zote lengu la mfanyabiashara yoyote ni kupata faida. China hawapo tayari kufanya biashara ambayo mtaji wake ni mkubwa kiasi hicho bila kuangali risk zilizopo. Sisi kama taifa tunapata faida mara mbili,zipo za moja kwa moja na zipo zitakozotetwa na ile multiplier effect ya mradi husika. Lazima tujitahidi tufikie angalau win win situation na sio kulaumu mambo ya kawaida kama land leese wakati ni sheria zetu wenyewe. Kongole kwako mkuu
Man, mambo yote tuweke pembeni manake umegusia jambo la msingi sana!! Lau kama watu wangeelewa angalau concept ya hapo nilipo-paint with RED, basi hakuna ambae angeupinga huu mradi! Unfortunately, wengi hapa hata hiyo multiplier effect concept hawaifahamu, na hawapo tayari kujifunza!!!

Na hii multiplier effect ndo muhimu zaidi kwa mwananchi wa kawaida kwa sababu most likely, huwa ina-reflect moja kwa moja maisha yao pengine kuliko hata hizo kodi ambazo zinaweza kuishia kwenye mifuko ya walafi!!
 
Ili kulisaidia taifa mradi wowote ufanyiwe impact analysis,faida zikiwa nyingi kuliko hasara/kuliwa ni bora kuutekeleza.

-Biashara ya ndege nasikia mpaka urudishe faida ni zaidi ya miaka 50 sasa kweli miaka 50 ijayo hizo ndege zitakuwa zinatumika? Mbona mlimani city tumempa "mwekezaji" kwa miaka 99? Kwani hatufaidiki na uwepo wa Mcity?
 
Ha ha ha
I'm always not take the JF stuff into myself. I tend to forget and damp behind all the things I discussed.
Sorry I don't have time to go back to what we discussed.
WOW! I think that was intended to be a clever way of saying "I have lost a league" after realizing the one you believed he only jumped into a moving train, he already had an Executive Class Ticket.

Sorry man, huwa sikurupuki, so if you don't mind, stay blessed!!
 
Ehee. Wewe na Zitto ndiyo mnaelewa kuliko watanzania wengine wote. Ubongo wenu ni exceptional! Wengine hawawezi kuona mbali kama nyinyi. Hata rais na wanaomzunguka wote hawana uwezo kama ninyi!
Unamaanisha yule Rais aliyesema makinikia yaliyokuwa kwenye zile kontena 270 zinazoshikiliwa kule bandarini ndani yake kuna dhahabu inayoweza kujaa lori la tani 7 au unamaanisha rais yupi hasa?!!

Na hao Watanzania wana-include akina Profesa Orosso waliotuambia Acacia tunawadai Sh Trilioni 425; au ni Watanzania gani hasa?!

Au ni akina Profesa Mruma waliotoa takwimu zinazo-imply Tanzania ndie largest gold producer in Africa na tupo kwenye Top 3 ya Wazalishaji wakubwa wa dhahabu duniani 😀😀😀😂😂😂🤣🤣😅?!
 
Unamaanisha yule Rais aliyesema makinikia yaliyokuwa kwenye zile kontena 270 zinazoshikiliwa kule bandarini ndani yake kuna dhahabu inayoweza kujaa lori la tani 7 au unamaanisha rais yupi hasa?!!

Na hao Watanzania wana-include akina Profesa Orosso waliotuambia Acacia tunawadai Sh Trilioni 425; au ni Watanzania gani hasa?!

Au ni akina Profesa Mruma waliotoa takwimu zinazo-imply Tanzania ndie largest gold producer in Africa na tupo kwenye Top 3 ya Wazalishaji wakubwa wa dhahabu duniani 😀😀😀😂😂😂🤣🤣😅?!
Ha haa. katika kitu kilichowauma nyumbu ni hili suala la makinikia. Hawakutegemea kabisa kabisa mwisho ungekuwa kama ilivyokuwa. Poleni. Mpe na nyumbu mwenzako Zitto pole yake. Kusema Nyumbu sina maana ya kuwaitusi bali ni kuwa mnafuata mkumbo bila kufikiri... kama Zitto alivyoingizwa mjini na Kigogo eti Magufuli yuko hospital... Nasikia alikuwa ameshaandaa na part!
 
ruaharuaha,

He said the parties have sat through 15 rounds of negotiation meetings between March 2017 and July 2018, during which they agreed most of the commercial terms with only 9 items pending. He did not, however, indicate the current status of the sticking

Wamekubaliana sana kwenye vitu vingi ila hivi vipengele tisa ( 9 items).

Wavitaje basi, serikali ya JMT sio wajinga China sio wajinga.

Lazima uwe mwamba, usimamie maslahi ya Taifa.

China wanajua Tanzania ndio ufunguo Gateway to East, Central, Southern Africa and the whole Africa in General.

Nina uhakika watakubaliana kama Barrick deal. Matter of time.
I
Muhimu sana kujiamini, kusema ukweli, kutopelekeshwa na mtu Taifa lolote na kulinda rasilimali za Taifa.
 
@="Chige,

Serikali iseme uongo kwa mradi mkubwa kama huu ili ipate faida gani?

Mradi kama ungekuwa mzuri kihivyo ungeisaidia Tanzania, Serikali kupata a lot credit and goodwill and money.

Kwa hiyo unafikiri wote ni wajinga walioko serikalini?
 
Shida ya wanasiasa ndio hiyo, waliowengi wanaangalia maslai binafs. Anachopigania ZZT hapa ni maslai yake binafsi. Kama nchi tulishapitia mikataba mibovu ya madini kwa sababu ya haraka na tamaa za wachache. Nahic ZZT unataka turud huko.

Kwanza najiuliza hivi muheshimu unatetea kwa maslai ya nchi au yako binafs??., au pia hivi karibuni naona Azam 2 wanarusha sana documentary ya huu mradi sasa najiuliza nani analipia airtime ya hiyo documentary?

halafu ghafla kaja Zito na hoja zake. Sijui kesho atakuja nani!. Tukiacha unafiki mashart yaliyipo hayatufaidishi labda waboreshe. Ni bora kidogo tunachopata sasa kuliko kujengewa likubwa afu hatupaswi kujua nini kinapatikana
 
@="Chige,
Nadhani mkuu 'kichuguu' hakupata neno zuri la kulitumia alipojibu...kaangukia 'speculation' ambalo sio neno sahihi hapo.

Nadhani atakuwa amekuelewa kwa ufafanuzi huu.

Wakati mwingine tusiwe wepesi wa kutetea jambo, kwa sababu tu limesemwa na serikali; hasa serikali hii ambayo wanapata 'cue' zao zote toka kwa mkubwa wao, ambaye ndie mpotoshaji mkuu kuliko wote.
 
Back
Top Bottom