Jeuri ipi aliyoionesha?! Kusema kwamba hizo habari ni fake ndo ujeuri?! Kama kwa mujibu wa uelewa wake hiyo habari sio sahihi ulitarajia aseme vipi?!Unaona huyu unayempigia debe ni jeuri kisasi cha kutumia maneno makali kumkaripia mtanzania mwenzetu tena mteuliwa wa rais? ( rejea kutoka citizen paper: The investor— China Merchants Port holdings Company Limited, also asked Tanzania Ports Authority (TPA) director general Deusdedit Kakoko to keep off the plan).
Anaanza kuonyesha jeuri namna hii wakati watu bado wako kwenye majadiliano. Je hawa wakipewa huo mradi si watatuparua kwa makucha? Kwa nini asitumie njia nzuri ku-address concern zake badala ya kutumia maneno makali hivyo kwa mteuliwa wa rais?
Au kusema Kakoko aache kusambaza uzushi kwako wewe ni tusi?! Again, kama wao hawajapokea hayo Kakoko anayosema wamemwambia Investor ama akubaliane na conditions mpya 5 au wasepe; kumbe ulitarajia nini zaidi ?!
Btw, tangu lini serikali zetu hizi zikawa zinaweka hadharani vipengele vya mikataba kama Kakoko anavyotaka kuuaminisha umma?
Kwamba "kwanini Mchina asitumie njia mzuri ku-address concern zake", huyo Kakoko aliyesema "...the Investor had been told to accept five revised conditions of the contract or leave"
Kwako ni lugha mzuri hiyo?! Ni lugha ya kibiashara hiyo?!