Endeleeni kujidanganya kwamba Tanzania ndio gateway to East and Central Africa wakati kuwa gateway it means miundombinu!! Ni hivi viburi ya kizamani kama vile vya kusema gas haiozi ndiyo iliyomfanya Mkurugenzi wa Bandari, Kakoko aseme "our new terms ni hizi, they should accept it or leave"!China wanajua Tanzania ndio ufunguo Gateway to East, Central, Southern Africa and the whole Africa in General.
Or leave kwa sababu na mwenyewe anaamini Tanzania ndie gateway huku akisahau huwezi kuwa gateway kama huna miundombuni!
Mchina anaweza kujenga Lamu, akapiga railway network across the region na hatimae Lamu kuwa ndio Gateway!!
Kama unadhani just by geography, Tanzania tayari inastahili kuwa gateway to East and Central Africa; kwanini basi ni Jomo Kenyatta International Airport ndiyo inatambulika kama "gateway" na sio Julius Nyerere International Airport?!