Mradi wa Bandari Bagamoyo bila uwazi wa ubovu wa mkataba, ni usaliti wa Bandari zilizopo

Rais kasema mazungumzo yanaanza tuiamin serikali wataweka wazi manufaa na usalama wa nchi kuhusu ujenzi wa bandari ya bagamoyo. Tungojee matokeo.
Tatizo ni historia mbaya ya serikali ya CCM kwenye hii mikataba, kule kwenye madini waliharibu sana.
 
Naona kama rais mwanamke amepata akili kuliko wa-tz wote! Hii ndo hali ya kawaida kwa viongozi wa kiafrika. Wakipata madaraka tu, wanaamini wana akili kuliko wengine wote, hata ktk hali ya rais wetu anayefahamu wazi ana urais wa urithi.

Rais anaelekea kujifanya kuwa ni rais wa mageuzi ktk kila kitu, hata mambo ambayo yana mifano mibovu kwa nchi zingine. Badala ya kuanzisha miradi na mipango mizuri ya kwake, yeye amekuwa ni mtu wa kufufua yaliyokataliwa na taifa hili. Tunakubali bandari, mkataba ni upi?
Tuleteeni mkataba wa SGR na Mwalimu Nerere Hydro Power ndiyo mhoji wa Bandari ya Bagamoyo, Mwendazake aliukataa wa Bagamoyo akaanzisha yake apige hela
 
Hii Bandari ina maana Hayati alitudanganya?.

kwa maslahi mapana ya Taifa mikataba iwekwe wazi
Kwa nchi nzima itakua haina maana.,

Labda Kwa Wizara,Wakuu wa Taasisi za Uwajibikaji nchini na Wadau wa muhimu
Kwani alisema nini kuhusu uwepo wa Korona nchini
 
Tuleteeni mkatabwa wa SGR na Mwalimu Nerere Hydro Power ndiyo mhoji wa Bandari ya Bagamoyo,Mwendazake aliukataa wa Bagamoyo akaanzisha yake apige hela
Mkuu, unachotetea kinatoka moyoni kweli?

Au ndiyo wale ambapo hufurahia mwanzo wa jambo na mwishoni mnakuwa wakali na kuzigeuka akili zenu
 
Mmmmhhhh??? Kwetu sisi raia wa kawaida ambao hatujui huo mkataba inabidi mtufafanulie sintofahamu zilizokuwepo hadi kuwekwa kapuni na sasa kutolewa kapuni. Mkituelewesha cc hatuna shida hasa mambo haya: 1. Mkataba original ulisainiwa lini na nani (pre-signoff)? Je, ulifanyika uhakiki na kujiridhisha (Feasibility study/due diligence)? Tume ya watu wangapi ilihusika? Ulipaswa kuanza lini na kwa nini uliwekwa kapuni, zilikuwa sababu za kisiasa au uzalendo? 2. Mkataba ni wa miaka mingapi? Gharama ya mradi wote ni sh ngapi? 3. Pay back (Return on Investiment- (ROI) ni miaka mingapi? 4. Risk assessment. Je, ni kweli bandari nyingine (Dar, Mtwara, Tanga nk) inabidi zisiendelezwe? Nini faida na madhara (Pro and Cons)? Je, hakuna mwingiliano na objectives za SGR na bandari ya Dar? 5. Je, ni kweli kwamba mapato yote ya bandari yatasimawia na mchina (no revenue visibility)? 6. Je kuna project kama hii ilishanyika na Mchina hapa Africa ikawa na matokeo chanya au hii ya Tz ndo ya kwanza? 7. Na hoja nyingine kutoka kwa wadau wengine kama zipo. Nafikiri iundwe tume kama ilivyokuwa tume ya KATIBA, ikiwa na wawakilishi kutoka sehemu mbalimbali wakiwemo na vyama vya upinzani wafanye uchambuzi kisha waje na majibu.
 
Waliporudishiwa hela akina Mbowe something fishy was coming! Duh hii nchi kuna watu ni professional! Kuna mtu ana swali?
Mibavicha ina shangilia tu huku inaliwa
 
Tunataka Miradi mingi katika taifa letu, Lakini tunataka miradi ambayo kiukweli italeta ukombozi wa maisha ya wananchi

Mradi wa Bandari ya Bagamoyo, ni mradi mkubwa na unaumhimu wake, Lakini kwa nini usiwe wazi?

kwa nini tunadhani JPM pamoja na aliyekuwa mgombea Uraisi kupitia Chadema 2015 mh EL wamekuwa waongo kuukataa huu mradi kwamba hauna manufaa yoyote kwa nchi yetu?

Kuanzisha mradi wa Bandari Bagamoyo bila kuwepo uwazi wa mkataba uliotiliwa mashaka na viongozi mbalimbali wa nchi hii, ni uhujumu uchumi mkubwa na kuziua bandari zetu ambazo ni tegemeo kubwa la uchumi wetu

Hivi, Tanzania ni lini tutafahamu kwamba, uwingi wa miradi na sifa ya kuwepo wawekezaji wengi wasio na faida haituongezei chochote zaidi ya kutufanya tuwe taifa tegemezi na lisiloweza kujikomboa na umasikini..!

Kuwa na uwingi wa miradi haina maana kwamba umasikini ndiyo basi tena, Isipokuwa ni kuwa miradi yenye tija

Mungu ibariki Tanzania na Mungu bariki viongozi wetu
Mirandi kama bagamoyo hauna tatizo kama unavyofikiri maana muwekezaji anaweka hela zake mwenyewe.
Fitna za jpm ni kukosa 10% ktk huo mradi.
Anapenda aonekane yy ndo kafanya kila kitu ndo maana anasifia mloganzira na viwanda vya pwani eti ni yeye ameleta wawekezaji.
Hakuq na lolote zaidi ya kutunyanyasa watanzania
 
Sawa mkuu, utambue kibiashara inauwa bandari zetu zote ambazo tunazitegemea kama sehemu ya kitegsuchumi wa nchi yetu?

Embu jiilize, Kutoka Bandari ya Dar hadi Mbegani Bagamoyo ni kama kilomita 68 tu hivi,

lakini pia kama ni lazima tuwe na bandari hiyo, kwa nini kusiwepo na uwekezaji ambao unatoa faida kwa nchi, Kama yale aliyosemaJPM na Lowassa ni ya kweli, basi taifa letu iko siku Mungu atalitaka na ataona aliwapa watu wasiojielewa na hawana faida
 
Naona kama rais mwanamke amepata akili kuliko wa-tz wote! Hii ndo hali ya kawaida kwa viongozi wa kiafrika. Wakipata madaraka tu, wanaamini wana akili kuliko wengine wote, hata ktk hali ya rais wetu anayefahamu wazi ana urais wa urithi.

Rais anaelekea kujifanya kuwa ni rais wa mageuzi ktk kila kitu, hata mambo ambayo yana mifano mibovu kwa nchi zingine. Badala ya kuanzisha miradi na mipango mizuri ya kwake, yeye amekuwa ni mtu wa kufufua yaliyokataliwa na taifa hili. Tunakubali bandari, mkataba ni upi?
Kukataa mradi wa bagamoyo ilikua na lengo baya kwa mtangulizi wa jpm pia kwanini hilo hulioni unaona tu la mama kutaka majadiliano ili hali mwendazake aliukataa.
Mshale kwa nguruwe..........
 
Tuleteeni mkatabwa wa SGR na Mwalimu Nerere Hydro Power ndiyo mhoji wa Bandari ya Bagamoyo,Mwendazake aliukataa wa Bagamoyo akaanzisha yake apige hela
Unachoshindwa kuelewa ni kwamba Sgr na bwawa la umeme ni miradi ya Tanzania inamilikiwa na Tanzania asilimia 100 wale wamepewa tenda ya kujenga tu. Lakini bandari ya bagamoyo watajenga wao na kundesha wao ndo hapo wadau wanaomba mikataba.
 
Mkataba wa awali uwekwe hadharani kwanza uchambuliwe kabla ya mazungumzo
 
Naona kama rais mwanamke amepata akili kuliko wa-tz wote! Hii ndo hali ya kawaida kwa viongozi wa kiafrika. Wakipata madaraka tu, wanaamini wana akili kuliko wengine wote, hata ktk hali ya rais wetu anayefahamu wazi ana urais wa urithi.

Rais anaelekea kujifanya kuwa ni rais wa mageuzi ktk kila kitu, hata mambo ambayo yana mifano mibovu kwa nchi zingine. Badala ya kuanzisha miradi na mipango mizuri ya kwake, yeye amekuwa ni mtu wa kufufua yaliyokataliwa na taifa hili. Tunakubali bandari, mkataba ni upi?

Unavosema yamekataliwa na taifa una maanisha Mwendazake ndio Taifa au? Tuache siasa za chekechea haujaona iyo mikataba unashabikia, mama atafanya kilichp bora kwa Taifa watu hawawezi kulala njaa na kuna hela uko.
 
Unachoshindwa kuelewa ni kwamba Sgr na bwawa la umeme ni miradi ya Tanzania inamilikiwa na Tanzania asilimia 100 wale wamepewa tenda ya kujenga tu. Lakini bandari ya bagamoyo watajenga wao na kundesha wao ndo hapo wadau wanaomba mikataba.
Uongo wa Mwendazake ulikuingia vizuri unajua mradi wa Bwawa la Mwalimu ni mkopo toka benki za Egypt na mkandarasi ni Arab Contractor, nani anajua kwenye huomradi tutalipa bei gani?
 
Tunataka Miradi mingi katika taifa letu, Lakini tunataka miradi ambayo kiukweli italeta ukombozi wa maisha ya wananchi

Mradi wa Bandari ya Bagamoyo, ni mradi mkubwa na unaumhimu wake, Lakini kwa nini usiwe wazi?

kwa nini tunadhani JPM pamoja na aliyekuwa mgombea Uraisi kupitia Chadema 2015 mh EL wamekuwa waongo kuukataa huu mradi kwamba hauna manufaa yoyote kwa nchi yetu?

Kuanzisha mradi wa Bandari Bagamoyo bila kuwepo uwazi wa mkataba uliotiliwa mashaka na viongozi mbalimbali wa nchi hii, ni uhujumu uchumi mkubwa na kuziua bandari zetu ambazo ni tegemeo kubwa la uchumi wetu

Hivi, Tanzania ni lini tutafahamu kwamba, uwingi wa miradi na sifa ya kuwepo wawekezaji wengi wasio na faida haituongezei chochote zaidi ya kutufanya tuwe taifa tegemezi na lisiloweza kujikomboa na umasikini..!

Kuwa na uwingi wa miradi haina maana kwamba umasikini ndiyo basi tena, Isipokuwa ni kuwa miradi yenye tija

Mungu ibariki Tanzania na Mungu bariki viongozi wetu
Nimejipanga kuwa mpiga kampeni wa Upinzani, na hili ni halali yangu kwa sababu katiba hainizuii kuhama Chama!!

Kwa tunakokwenda, ni Dhahili sasa CCM wamepigwa upofu ili tupate ukombozi mwingine

Kuendelea kupuuza misingi bora ya aliyotuonyesha kidogo JPM hayati kwa kujali na kutetea maslahi ya nchi yetu pia kulinda kwa gharama zote rasilimali zetu, huu ni upofu kwa CCM ya sasa
 
Kwanini ile proposal ya kwanza isiwekwe hadharani tusisomee wenyewe? JPM atleast alipoint out vipengele vya kipigaji kusema ni kichaa pekee angeweza kukubali. Waliokuwa wanamshauri JPM wapo wapi? Mama kawatupa nje?

Mama Samia sijui anakuwa guided na nani? Hii ni hatari kwa usalama wa Nchi
Kama mtu alituaminisha miradi yote ni hela za ndani na deni la Taifa ninapaa tu huyo sio wakuamini ata kidogo.
 
Back
Top Bottom