Mradi wa bandari ya Bagamoyo urejeshwe haraka sana

Mradi wa bandari ya Bagamoyo urejeshwe haraka sana

Hivi mlimwamini Magu kuhusu masharti ya huu mradi? Kumbe kuna watu walikuwa wanamwamini kiasi hiki?

Ukweli ni kwamba Magu ali exaggerate masharti terms za huu mradi. Tafuteni ukweli mtajua
Aseeee uwekeni mezani tuuone.

Mbona ninyi mnayajua mnataka tutumie vichwa vyenu kuukubari huu mradi?
Sote humu tunajua kusoma, tuwekeeni ili tuone na sisi kama unatija kwetu

Vinginevyo msijekuwa mmeshakunywa chai na wawekezaji aseeee
 
Hivi mlimwamini Magu kuhusu masharti ya huu mradi? Kumbe kuna watu walikuwa wanamwamini kiasi hiki?

Ukweli ni kwamba Magu ali exaggerate masharti terms za huu mradi. Tafuteni ukweli mtajua
Bila kutumia reference yoyote ya Magufuli, huu mradi jinsi wachina wanavyotumia nguvu kubwa sana kuufukuzia inaonyesha bila shaka ni ulaji mkubwa kwao. Tanzania itapata kitu kidogo sana. Huku ni kuuza nchi. Tunajua kina Ndungai wameahidiwa mamilioni ya fedha iwapo watafanikisha kupisha mradi. Hatutaki kuuza nchi yetu.
 
Wanao unga mkono huo mradi ni either hamnazo au watu wa Bagamoyo tu, sasa wameingia na wagogo wa Dodoma, the rest tunasema BIG NO kwa mradi wa Bagamoyo
Tusipokuwa makini na hivi vitu tutakuja kushtuka tumeshiriki kuwasaidia watu kupiga pesa

Wanaoukubali huu mradi si watu wa maeneo hayo, bali ni watu waliokula advance ya malipo endapo mradi utafanikiwa.
Kwa mitizamo michache utagundua watu hawautetei kwa maslahi ya umma lakini kwa mwenendo huu kuna kitu nyuma ya pazia.

Itoshe tuu kusema wameshakula pesa na waliahidi mchina atafanikiwa na asipofanikiwa watamlipa na hawako tayari
 
Bandari ijengwe ila mkataba ubadilishwe, tugawane hisa Tz 50%na China 50% baada ya miaka 25 Tz tuwe na 75%....
 
Back
Top Bottom