NICK2275
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 3,930
- 920
Una haki ya kujiita mjinga..huo sio mradi waku implement kabsaSio 99.
Ni 50.mazungumzo yapo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una haki ya kujiita mjinga..huo sio mradi waku implement kabsaSio 99.
Ni 50.mazungumzo yapo.
Nyinyi mlilishwa matango pori na mwendazake, mkakubali ku-swallow a line, hook and the sinker without questions asked - mna zero kwenye issue moja tu eti wachina hawati kulipa kodi for almost half a century - kuna ukweli gani kwenye madai hayo na ni kodi gani wanayo isema hapa?Yaani unatetea miaka 50 ya China kulitawala eneo letu Mbegani Bagamoyo bila kujua wanalalaje, wanaamkaje na wanafanya nini hapo, siyo??
Mkuu, Kwani kuna shida, ni vyema sasa Mkataba huo ukawekwa mezani ili kuondoa utataNyinyi mlilishwa matango pori na mwendazake, mkakubali ku-swallow a line, hook and the sinker without questions asked - mna zero kwenye issue moja tu eti wachina hawati kulipa kodi for almost half a century - kuna ukweli gani kwenye madai hayo na ni kodi gani wanayo isema hapa?
Yaani Watanzania tunakubali kopoteza mradi mkubwa wa aina yake barani Afrika, mradi ambao ungehusu mpaka ujenzi wa viwanda vya kisasa pamoja na high technology village kwa ajili ya utafiti na uundaji wa mashine na products nyingi za teknolojia mpya - badala ya kuchangamukia fulsa sisi tunajiingiza kwenye malumbano yasio na tija kwa Taifa letu, wenye uhitaji ni sisi sio Wachina tukiwazenguwa wanakwenda kuwekeza kwingine kwa nini wapoteze muda wao watu ambao hawajui wanataka nini hasa - kaeni na pori lenu la Mbegani likiwa dormant tuone lita generate revenue kiasi gani likiwa halitumiki.
Hiyo gesi asilia sisi tunapata nini? Kama hatupati kitu Kuna haja gani ya kuwapa na bandari?Magufuli ameshaondoka! Tutaurudisha tu ule mradi. Kodi itakayo patikana, itatumika kuboreshea huduma mbalimbali za kijamii. Mtake msitake. Ccm ni ile ile.
Mbona gesi asili mmewapa! Iweje muwanyime hiyo Bandari?
Acha ujinga mkuu wewe unafikir mchina akiwa anabandar kubwa Alafu huruhusiw kumuhoji unahis atakunyima kod tu?Sasa hivi hiyo kodi ya bandari ya bagamoyo inakusanywa?
Kama jibu ni hakuna kodi inayokusanywa kwa sababu hiyo bandari haipo kwann ni tatizo kodi isipokuwepo kwa miaka kadhaa bandari ikiwepo?
Tukitumia pesa zetu za ndani tutajenga kwa muda gani na zitarudi baada ya miaka mingapi? Itakuwa ni miaka michache kuliko wakijenga wachina na pesa zao?
Hakuna aina nyingine za kodi na mapato yasiyo ya moja kwa moja yatakayotokana na bandari kama ajira(PAYE), indirect tax? Witholding tax etc?
Ikitokea Kenya wakachukua huo mradi bandari ya dar itakuwa salama?
Unahis unawashinda akil wachinaWengi tumejikita kwenye miaka 50 sijui 99... hatujui kua miaka n namba tu cha msingi katika huo muda tutapoteza kiasi gani na tutaingiza kiasi gani..... kutochukua kodi pia inaweza tumika akili mbadala mfano ukaacha kuchukua kodi ukapandisha ushuru wa barabara (Roadtolls)..... na mwisho ukawa hujachukua kodi ila umehamishia goli kwenye ushuru wa barabara..... cha msingi hapa ni kwamba huu mkataba usisainiwe gizani...... mkataba uwekwe wazi..... yasifanyike yale mambo ya Barick na Hayati...... Unaficha mikataba alaf unawaaminisha Wananchi mkataba unafaida..... kwann usiuweke hadharani wenye Nchi yao wajue.... Tusiamin cha kuambiwa bali tujionee kwa macho...... kwa kusema miaka 100 na tusikusanye kodj hiyo haitoshi kwangu Kuukataa au kuukubali huu mradi... bali nahitaji kuujua huo mkataba zaidi.....
Alafu ujenzi ukiisha?sijui nilini tutaelimika kutoka kwenye huo wehu wakushikiwa maskio kifala ivo,
kwanza ujenzi wa mradi utacost dollar billion 10, means zaid ya trillion 23 zaujenzi zitaingia kwenye mzungo wetu wahela kupitia ajira zitakazopatikana kutokana naujenzi huo, mfano manunuzi ya cement nondo navifaa vingine vyaujenzi. ajira nyingi sana itapatikana wakat waujenzi nanyingi zaid baada ya ujenzi kukamilika, serikali watakusanya kodi PAYE kwaviwanda vitakavouza material za ujenzi na zawatu wakatakaokua wameajiriwa
sawa tutakosa ushuru waforodha vip tozo nyingine ambazo tutapata zinaweza kuanyingi kias gani kwaukubwa wahio bandari??
imagine labda currency itakayokua inatumika kwenye kutolea mizigo nahuduma zote kwa hyo bandar kwa nchizote 8 itakua ni tsh itaimarisha shilingi yetu kias gani??
Tugeujadiri upya ili uboreshwe kwa maslahi mapana ya taifa letu.Tuwekee hapa huo ukweli tuujue
Hayo ni maswali mambo ya ujinga mkuu si majibu. Kwangu Majibu ya hayo maswali ndo yataonyesha kama mradi una maana au ni wa kipuuzi. Hayo majibu unayo au unataka tujibizane kiporojo porojo? Kama umeusoma mkataba ukaona tutapoteza naomba unipe hayo majibu ya maswali niliyouliza.Acha ujinga mkuu wewe unafikir mchina akiwa anabandar kubwa Alafu huruhusiw kumuhoji unahis atakunyima kod tu?
Apo jua Kuna Rasilimali ZETU nyingi zitaibwa pia Bandari yetu ya Dar itabid iwe kama Ile ya tanga mana itakua haifanyi chochote cha maana
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Shida ni Mchinaaa. Badilosheni mkandarasi.Umeambiwa mazungumzo yapo
Mbona mna WIVU na bagamoyo?
Congole Sana wapuuzi mnoMtutolee upuuzi
Shida ni Mchinaaa. Badilosheni mkandarasi.
Wachina siyo watu wazuri kabisa
China kama China ndio anataka Eneo la bagamoyoShida ni Mchinaaa. Badilosheni mkandarasi.
Wachina siyo watu wazuri kabisa