Wengi tumejikita kwenye miaka 50 sijui 99... hatujui kua miaka n namba tu cha msingi katika huo muda tutapoteza kiasi gani na tutaingiza kiasi gani..... kutochukua kodi pia inaweza tumika akili mbadala mfano ukaacha kuchukua kodi ukapandisha ushuru wa barabara (Roadtolls)..... na mwisho ukawa hujachukua kodi ila umehamishia goli kwenye ushuru wa barabara..... cha msingi hapa ni kwamba huu mkataba usisainiwe gizani...... mkataba uwekwe wazi..... yasifanyike yale mambo ya Barick na Hayati...... Unaficha mikataba alaf unawaaminisha Wananchi mkataba unafaida..... kwann usiuweke hadharani wenye Nchi yao wajue.... Tusiamin cha kuambiwa bali tujionee kwa macho...... kwa kusema miaka 100 na tusikusanye kodj hiyo haitoshi kwangu Kuukataa au kuukubali huu mradi... bali nahitaji kuujua huo mkataba zaidi.....