Mradi wa FUNYUKI (Fuga Nyuki Kibiashara) ni mradi wa kuchangamkiwa na vijana wengi

PKMUSIBA

New Member
Joined
Dec 3, 2021
Posts
3
Reaction score
2
FUNYUKI Ni ufupisho wa neno FUga NYUki KIbiashara, mradi huu unaotekelezwa na kampuni ya TANZANIA INTERNATIONAL BEE yenye makao yake Dar es salaam ni mradi mkubwa wenye subtitle ya "The beekeeping hub of Africa"

Mradi una malengo makuu mawili:

1. Beekeeping transformation from local/primitive Beekeeping to modern beekeeping.

2. Kuhamasisha watanzania wengi hususani vijana kujikita kwenye sekta ya ufugaji wa nyuki Kama moja ya fursa za kiuchumi .

Mradi huu umewalenga makundi mawili:
1. Wafugaji wa nyuki ambao wapo tayari wanafuga kienyeji

2. Mtu yoyote ambae anatamani kuanza kufuga nyuki Ila hajui pa kuanzia.

Shabaha za mradi huu;
1. Madi unatarajia kuanzisha makundi ya nyuki yapatao 120,000 katika mikoa mitano ya Tanzania ambapo kwa Sasa tumeanza na mkoa wa Pwani (Bagamoyo)

2. Kukamirika kwa mradi tunatarajia kuzalisha Tani 2,500 za asali kwa mwaka.

3. Tunatarajia kuzalisha Tani 160 za chavua (Pollens) kwa mwaka
4. Tunatarajia kuzalisha Tani 60 za gundi ya nyuki (Propolis) kwa mwaka
5. Tunatarajia kuzalisha Tani 360 za Nta kwa mwaka
6. tunatarajia kutengeneza ajira za kudumu 500 za wataalamu wa nyuki nchini na ajira 1,200 zisizo za kudumu za vijana wenye ujuzi mbalimbali.

Utekelezaji wa mradi

Mradi huu wa kimkakati Ni mradi mkubwa kabisa Tanzania na East Africa kwa ujumla, utekelezaji wa mradi huu utakuwa Ni sehemu ya ufugaji nyuki kwa mlengo wa kibiashara ya mazao ya nyuki ndani na nje ya nchi.

Utekelezaji wa mradi huu unaenda sambamba na Mambo yafuatayo:

1. Uanzishwaji wa mashamba maalumu ya ufugaji wa nyuki na kilimo Cha organic (nyuki wanahitaji Maua kila Mara hivyo maeneo haya lazima yalimwe pia Ila kilimo kisichotumia madawa)

2. Uanzishwaji wa masoko maalumu ya mazao ya nyuki katika maeneo ya mradi, Kama tulivyo na Masoko ya samaki,nguo,n.k,vivyo hivyo mradi huu unaanzisha Masoko maalumu ya mazao sita ya nyuki kwa kila mkoa unapotekelezwa mradi.

3. Viwanda vya uchakataji wa mazao husika ya nyuki,katika maeneo ya mradi (shambani),Kuna viwanda cya uchakataji wa mazao ambayo yatakuwa yanavunwa kwa lengo la kurahisisha uongezaji wa thamani ya mazao ya nyuki kabla ya kwenda masokoni au kumfikia mteja.

Hatua za utekelezaji wa mradi

Mradi unaotekelezwa katika mikoa mitano nchini ambayo ni Pwani,tabora,simiyu,kigoma na Kagera.

Phase one: mradi unaotekelezwa mkoa wa Pwani kwa kuanzisha manzuki kwenye eneo lenye ukubwa wa hekari zisizopungua 250, na kila hekari tunatarajia kuwa na mizinga isiyopungu 70 ya kisasa.

Baada ya kukamirisha pwani mradi utaamua mkoa mwingine Hadi mikoa yote iliyolengwa kukamirika.

Faida za mradi huu kwa mshiriki
1. Mshiriki ataweza kupata Shamba maalumu kwa njia ya mkopo wa muda mrefu (miezi 20) wakati huo anafanya ufugaji wake wa nyuki kibiashara

2. Mshiriki atapata elimu ya kutosha juu ya ufugaji wa nyuki wenye tija kwa kufundisha kuvuna mazao yote sita ya nyuki (asali, nta, sumu ya nyuki, gundi ya nyuki, chavua na maziwa ya nyuki)

3. Mshiriki ataingizwa kwenye mfumo wa moja kwa moja wa kupatiwa Masoko ya mazao yake kabla ata ya kuyavuna.

4. Mshirki atapatiwa usimamizi wa 💯 katika kipindi chote cha mradi

5. Mshiriki atapatiwa vifaa na vitendea kazi vya ufugaji Kama mizinga ya nyuki kwa mkopo wa muda mrefu (miezi 20)

Namna ya kushiriki
Mshiriki atatakiwa kulipia 30% tu ya gharama za Shamba na mizinga atakayo.hitaji ,Kisha 70% ya Deni atalipia kidogo kidogo ndani ya miezi 20 .na pindi atakapomaliza Deni lake anapewa na hati miliki ya Shamba lake.

Gharama za shamba hekari moja ni 1.2m

Gharama ya mzinga mmoja wa kisasa ambao unavunwa mazao yote ya nyuki 150,000

Hivyo kujua unahitaji mtaji wa kiasi gani chukua gharama ya Shamba + gharama za mizinga (kulingana na idadi unayotaka)

Kuna mahitaji mengine ya vifaa vidogo vidogo Kama vile mitego ya kuvunia chavua,gundi,mavazi ya nyuki n.k. (hivi mshiriki atawajibika kununua)

Kabla ya kushiriki ni vyema kutembelea mradi Bagamoyo ambapo tayari mradi umeanza kufanyika, na hatua ya Sasa mashamba Kati hekari 250 zimebaki hekari zisizopungua 75, hivyo hekari hizi zikiisha tunaingia hatua ya pili ya uanzishwaji wa makundi ya nyuki.

Siku ya kutembelea mradi NI kila JUMAMOSI YA KILA WIKI, ambapo kwa Sasa tumebakiza wiki 3 tu mbele kukamirisha awamu ya kwanza.

Hivyo kwa wale ambao wako interested kujifunza na wanahitaji kushiriki katika mradi huu..una fursa ya Jumamosi hii kwenda site Bagamoyo kujifunza na kuchagua Shamba lako kwa ajili ya mradi huu.

Tupigie simu au tutembelee ofsini kwetu barabarani ya igesa road nyuma ya jengo refu la PSSSF Complex, tupigie simu namba 0688579858.

Email address: pkmusiba@yahoo.com.
 
KIbiashara,mradi huu unaotekelezwa na kampuni ya TANZANIA INTERNATIONAL BEE yenye makao yake Dar es salaam ni mradi mkubwa wenye subtitle ya "The beekeeping hub of Africa"

Mradi una malengo makuu mawili:
1.Beekeeping transformation from local/primitive Beekeeping to modern beekeeping.

2. Kuhamasisha watanzania wengi hususani vijana kujikita kwenye sekta ya ufugaji wa nyuki Kama moja ya fursa za kiuchumi .

Mradi huu umewalenga makundi mawili;

1.wafugaji wa nyuki ambao wapo tayari wanafuga kienyeji
2.mtu yoyote ambae anatamani kuanza kufuga nyuki Ila hajui pa kuanzia.

Shabaha za mradi huu;

1.mradi unatarajia kuanzisha makundi ya nyuki yapatao 120,000 katika mikoa mitano ya Tanzania ambapo kwa Sasa tumeanza na mkoa wa Pwani (Bagamoyo)

2.kukamirika kwa mradi tunatarajia kuzalisha Tani 2,500 za asali kwa mwaka.

3.Tunatarajia kuzalisha Tani 160 za chavua (Pollens) kwa mwaka
4.Tunatarajia kuzalisha Tani 60 za gundi ya nyuki (Propolis) kwa mwaka
5.Tunatarajia kuzalisha Tani 360 za Nta kwa mwaka
6.tunatarajia kutengeneza ajira za kudumu 500 za wataalamu wa nyuki nchini na ajira 1,200 zisizo za kudumu za vijana wenye ujuzi mbalimbali.

Utekelezaji wa mradi
Mradi huu wa kimkakati Ni mradi mkubwa kabisa Tanzania na East Africa kwa ujumla, utekelezaji wa mradi huu utakuwa Ni sehemu ya ufugaji nyuki kwa mlengo wa kibiashara ya mazao ya nyuki ndani na nje ya nchi.
Utekelezaji wa mradi huu unaenda sambamba na Mambo yafuatayo;
1.Uanzishwaji wa mashamba maalumu ya ufugaji wa nyuki na kilimo Cha organic (nyuki wanahitaji Maua kila Mara hivyo maeneo haya lazima yalimwe pia Ila kilimo kisichotumia madawa)
2.Uanzishwaji wa masoko maalumu ya mazao ya nyuki katika maeneo ya mradi, Kama tulivyo na Masoko ya samaki,nguo,n.k,vivyo hivyo mradi huu unaanzisha Masoko maalumu ya mazao sita ya nyuki kwa kila mkoa unapotekelezwa mradi .
3.viwanda vya uchakataji wa mazao husika ya nyuki,katika maeneo ya mradi (shambani),Kuna viwanda cya uchakataji wa mazao ambayo yatakuwa yanavunwa kwa lengo la kurahisisha uongezaji wa thamani ya mazao ya nyuki kabla ya kwenda masokoni au kumfikia mteja

Hatua za utekelezaji wa mradi

Mradi unaotekelezwa katika mikoa mitano nchini ambayo ni Pwani,tabora,simiyu,kigoma na Kagera.
Phase one: mradi unaotekelezwa mkoa wa Pwani kwa kuanzisha manzuki kwenye eneo lenye ukubwa wa hekari zisizopungua 250, na kila hekari tunatarajia kuwa na mizinga isiyopungu 70 ya kisasa
Baada ya kukamirisha pwani mradi utaamua mkoa mwingine Hadi mikoa yote iliyolengwa kukamirika..

Faida za mradi huu kwa mshiriki
1.mshiriki ataweza kupata Shamba maalumu kwa njia ya mkopo wa muda mrefu (miezi 20) wakati huo anafanya ufugaji wake wa nyuki kibiashara

2.mshiriki atapata elimu ya kutosha juu ya ufugaji wa nyuki wenye tija kwa kufundisha kuvuna mazao yote sita ya nyuki (asali,nta,sumu ya nyuki,gundi ya nyuki,chavua na maziwa ya nyuki)

3.mshiriki ataingizwa kwenye mfumo wa moja kwa moja wa kupatiwa Masoko ya mazao yake kabla ata ya kuyavuna.

4.Mshirki atapatiwa usimamizi wa 💯 katika kipindi chote Cha mradi
5.mshiriki atapatiwa vifaa na vitendea kazi vya ufugaji Kama mizinga ya nyuki kwa mkopo wa muda mrefu (miezi 20)

Namna ya kushiriki

Mshiriki atatakiwa kulipia 30% tu ya gharama za Shamba na mizinga atakayo.hitaji ,Kisha 70% ya Deni atalipia kidogo kidogo ndani ya miezi 20 .na pindi atakapomaliza Deni lake anapewa na hati miliki ya Shamba lake.
Gharama za shamba hekari moja ni 1.2m
Gharama ya mzinga mmoja wa kisasa ambao unavunwa mazao yote ya nyuki 150,000
Hivyo kujua unahitaji mtaji wa kiasi gani chukua gharama ya Shamba + gharama za mizinga (kulingana na idadi unayotaka)

Kuna mahitaji mengine ya vifaa vidogo vidogo Kama vile mitego ya kuvunia chavua,gundi,mavazi ya nyuki n.k. (hivi mshiriki atawajibika kununua)

Kabla ya kushiriki Ni vyema kutembelea mradi Bagamoyo ambapo tayari mradi umeanza kufanyika, na hatua ya Sasa mashamba Kati hekari 250 zimebaki hekari zisizopungua 75 ,hivyo hekari hizi zikiisha tunaingia hatua ya pili ya uanzishwaji wa makundi ya nyuki.

Siku ya kutembelea mradi NI kila JUMAMOSI YA KILA WIKI, ambapo kwa Sasa tumebakiza wiki 3 tu mbele kukamirisha awamu ya kwanza.

Hivyo kwa wale ambao wako interested kujifunza na wanahitaji kushiriki katika mradi huu..una fursa ya Jumamosi hii kwenda site Bagamoyo kujifunza na kuchagua Shamba lako kwa ajili ya mradi huu.
,,tupigie simu au tutembelee ofsini kwetu barabarani ya igesa road nyuma ya jengo refu la Psssf complex, tupigie simu namba 0688579858.
Email address: pkmusiba@yahoo.com.

IMG_20220327_220712_121.jpg
IMG_20220402_134636_281.jpg

IMG_20220325_170645_616.jpg
 
Hizo Model zisha testiwa sana Kenya na zilifeli, hizi ni Pyramid businesss acheni kuibia watu. Kama inalipa chukua Poli fugeni nyie hao nyuki.

Haya mambo ya kuja na gia za inalipa na unataka watu wajiunge ni wizi mtupu, hii haina tofauti na JATU sema wewe umejikita kwenye nyuki, ila mwisho wa siku watu watalia sema nchi hii wajinga hawatakaa waishe
 
labda ukamfaidishe mizengo pinda .maana ndio mwenye kibali hapa tanzania na mali asili hapa
 
Hizo Model zisha testiwa sana Kenya na zilifeli, hizi ni Pyramid businesss acheni kuibia watu. Kama inalipa chukua Poli fugeni nyie hao nyuki.

Haya mambo ya kuja na gia za inalipa na unataka watu wajiunge ni wizi mtupu, hii haina tofauti na JATU sema wewe umejikita kwenye nyuki, ila mwisho wa siku watu watalia sema nchi hii wajinga hawatakaa waishe
Ata kilimo Cha matikiti Kuna watu kina walipa na Kuna watu kinawaliza,,hivyo uko sawa na hiyo ndo biashara.
 
Watanzania wazuri sna kwa maandiko Tena mwandiko mzuri

Wapi jatu

Wapi namaingo

Wap wafugaj wa sungura

Wap mayai ya kware

Mr kuku je

Ni project chache sana Tanzania zimeonesha mafanikio Tena ukiniuliza hata mm sizijui bal nazijua nying zilzofeli

Ukiitwa kwenye fursa bongo jua mbongo ndio fursa yenyewe

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu kwenye Kware nakupinga sana, haikuwa ni utapeli, watu ndo hawakutumia akili, Mayai ya Kware Dunia nzima utakutana nayo SuperMarjet na masokoni, nyama yake ndo kabisa ni chakuka kitamu sana
 
Hizo Model zisha testiwa sana Kenya na zilifeli, hizi ni Pyramid businesss acheni kuibia watu. Kama inalipa chukua Poli fugeni nyie hao nyuki.

Haya mambo ya kuja na gia za inalipa na unataka watu wajiunge ni wizi mtupu, hii haina tofauti na JATU sema wewe umejikita kwenye nyuki, ila mwisho wa siku watu watalia sema nchi hii wajinga hawatakaa waishe
nimeiona njombe kwa jamaa yangu mmoja hivi, nikakauka, maana watz kwa mteremko hatujambo.
 
Nilidhani baada ya DECI hii mambo itaisha...kumbe bado wajinga wengi wanazaliwa
 
Wazo zuri sana pongezi kweny.. niliwahi kufanya huu ufugaji lakini sikuwa na tips nzuri, mfano, namna ya kuwavutia nyuki kwenye mzinga mwisho wa siku nkabomoa yale majumba yake... Nlifeli wapi ndugu yangu
 
FUNYUKI Ni ufupisho wa neno FUga NYUki KIbiashara, mradi huu unaotekelezwa na kampuni ya TANZANIA INTERNATIONAL BEE yenye makao yake Dar es salaam ni mradi mkubwa wenye subtitle ya "The beekeeping hub of Africa"

Mradi una malengo makuu mawili:

1. Beekeeping transformation from local/primitive Beekeeping to modern beekeeping.

2. Kuhamasisha watanzania wengi hususani vijana kujikita kwenye sekta ya ufugaji wa nyuki Kama moja ya fursa za kiuchumi .

Mradi huu umewalenga makundi mawili:
1. Wafugaji wa nyuki ambao wapo tayari wanafuga kienyeji

2. Mtu yoyote ambae anatamani kuanza kufuga nyuki Ila hajui pa kuanzia.

Shabaha za mradi huu;
1. Madi unatarajia kuanzisha makundi ya nyuki yapatao 120,000 katika mikoa mitano ya Tanzania ambapo kwa Sasa tumeanza na mkoa wa Pwani (Bagamoyo)

2. Kukamirika kwa mradi tunatarajia kuzalisha Tani 2,500 za asali kwa mwaka.

3. Tunatarajia kuzalisha Tani 160 za chavua (Pollens) kwa mwaka
4. Tunatarajia kuzalisha Tani 60 za gundi ya nyuki (Propolis) kwa mwaka
5. Tunatarajia kuzalisha Tani 360 za Nta kwa mwaka
6. tunatarajia kutengeneza ajira za kudumu 500 za wataalamu wa nyuki nchini na ajira 1,200 zisizo za kudumu za vijana wenye ujuzi mbalimbali.

Utekelezaji wa mradi

Mradi huu wa kimkakati Ni mradi mkubwa kabisa Tanzania na East Africa kwa ujumla, utekelezaji wa mradi huu utakuwa Ni sehemu ya ufugaji nyuki kwa mlengo wa kibiashara ya mazao ya nyuki ndani na nje ya nchi.

Utekelezaji wa mradi huu unaenda sambamba na Mambo yafuatayo:

1. Uanzishwaji wa mashamba maalumu ya ufugaji wa nyuki na kilimo Cha organic (nyuki wanahitaji Maua kila Mara hivyo maeneo haya lazima yalimwe pia Ila kilimo kisichotumia madawa)

2. Uanzishwaji wa masoko maalumu ya mazao ya nyuki katika maeneo ya mradi, Kama tulivyo na Masoko ya samaki,nguo,n.k,vivyo hivyo mradi huu unaanzisha Masoko maalumu ya mazao sita ya nyuki kwa kila mkoa unapotekelezwa mradi.

3. Viwanda vya uchakataji wa mazao husika ya nyuki,katika maeneo ya mradi (shambani),Kuna viwanda cya uchakataji wa mazao ambayo yatakuwa yanavunwa kwa lengo la kurahisisha uongezaji wa thamani ya mazao ya nyuki kabla ya kwenda masokoni au kumfikia mteja.

Hatua za utekelezaji wa mradi

Mradi unaotekelezwa katika mikoa mitano nchini ambayo ni Pwani,tabora,simiyu,kigoma na Kagera.

Phase one: mradi unaotekelezwa mkoa wa Pwani kwa kuanzisha manzuki kwenye eneo lenye ukubwa wa hekari zisizopungua 250, na kila hekari tunatarajia kuwa na mizinga isiyopungu 70 ya kisasa.

Baada ya kukamirisha pwani mradi utaamua mkoa mwingine Hadi mikoa yote iliyolengwa kukamirika.

Faida za mradi huu kwa mshiriki
1. Mshiriki ataweza kupata Shamba maalumu kwa njia ya mkopo wa muda mrefu (miezi 20) wakati huo anafanya ufugaji wake wa nyuki kibiashara

2. Mshiriki atapata elimu ya kutosha juu ya ufugaji wa nyuki wenye tija kwa kufundisha kuvuna mazao yote sita ya nyuki (asali, nta, sumu ya nyuki, gundi ya nyuki, chavua na maziwa ya nyuki)

3. Mshiriki ataingizwa kwenye mfumo wa moja kwa moja wa kupatiwa Masoko ya mazao yake kabla ata ya kuyavuna.

4. Mshirki atapatiwa usimamizi wa 💯 katika kipindi chote cha mradi

5. Mshiriki atapatiwa vifaa na vitendea kazi vya ufugaji Kama mizinga ya nyuki kwa mkopo wa muda mrefu (miezi 20)

Namna ya kushiriki
Mshiriki atatakiwa kulipia 30% tu ya gharama za Shamba na mizinga atakayo.hitaji ,Kisha 70% ya Deni atalipia kidogo kidogo ndani ya miezi 20 .na pindi atakapomaliza Deni lake anapewa na hati miliki ya Shamba lake.

Gharama za shamba hekari moja ni 1.2m

Gharama ya mzinga mmoja wa kisasa ambao unavunwa mazao yote ya nyuki 150,000

Hivyo kujua unahitaji mtaji wa kiasi gani chukua gharama ya Shamba + gharama za mizinga (kulingana na idadi unayotaka)

Kuna mahitaji mengine ya vifaa vidogo vidogo Kama vile mitego ya kuvunia chavua,gundi,mavazi ya nyuki n.k. (hivi mshiriki atawajibika kununua)

Kabla ya kushiriki ni vyema kutembelea mradi Bagamoyo ambapo tayari mradi umeanza kufanyika, na hatua ya Sasa mashamba Kati hekari 250 zimebaki hekari zisizopungua 75, hivyo hekari hizi zikiisha tunaingia hatua ya pili ya uanzishwaji wa makundi ya nyuki.

Siku ya kutembelea mradi NI kila JUMAMOSI YA KILA WIKI, ambapo kwa Sasa tumebakiza wiki 3 tu mbele kukamirisha awamu ya kwanza.

Hivyo kwa wale ambao wako interested kujifunza na wanahitaji kushiriki katika mradi huu..una fursa ya Jumamosi hii kwenda site Bagamoyo kujifunza na kuchagua Shamba lako kwa ajili ya mradi huu.

Tupigie simu au tutembelee ofsini kwetu barabarani ya igesa road nyuma ya jengo refu la PSSSF Complex, tupigie simu namba 0688579858.

Email address: pkmusiba@yahoo.com.
 
Mkuu kwenye Kware nakupinga sana, haikuwa ni utapeli, watu ndo hawakutumia akili, Mayai ya Kware Dunia nzima utakutana nayo SuperMarjet na masokoni, nyama yake ndo kabisa ni chakuka kitamu sana
Ka kware ukikakaanga bwana ukala na ugali hutasahau!
 
Kware? Nimeila nyama yake kama mara moja, miaka mingi iliyopita, lakini bado naikumbuka mpaka sasa. Sijui kama ilikuwa ni kwa sababu ya upishi au ndiyo asili yake! Kwa utamu ule, sina uhakika kama nilishaila nyama tamu kama hiyo. Ni tamu kuliko ninavyoweza kuielezea.
 
Ni hatari sana mkuu! Sisi tumewala sana wale wa porini tulikuwa tunawawinda! Ni ndege mmoja mtamu sana! Ulikuwa ukivifikisha nyumbani mnavikaanga baadaye mnaunga na maziwa fresh, ni hatari sana!
 
Back
Top Bottom