GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Aisee! Mkuu, nahisi unatokea Kanda ya Ziwa! Naweza kuipata wapi hiyo kitoweo?Ni hatari sana mkuu! Sisi tumewala sana wale wa porini tulikuwa tunawawinda! Ni ndege mmoja mtamu sana! Ulikuwa ukivifikisha nyumbani mnavikaanga baadaye mnaunga na maziwa fresh, ni hatari sana!