GoldDhahabu JF-Expert Member Joined Apr 29, 2023 Posts 7,189 Reaction score 10,375 Oct 14, 2023 #21 Manjagata said: Ni hatari sana mkuu! Sisi tumewala sana wale wa porini tulikuwa tunawawinda! Ni ndege mmoja mtamu sana! Ulikuwa ukivifikisha nyumbani mnavikaanga baadaye mnaunga na maziwa fresh, ni hatari sana! Click to expand... Aisee! Mkuu, nahisi unatokea Kanda ya Ziwa! Naweza kuipata wapi hiyo kitoweo?
Manjagata said: Ni hatari sana mkuu! Sisi tumewala sana wale wa porini tulikuwa tunawawinda! Ni ndege mmoja mtamu sana! Ulikuwa ukivifikisha nyumbani mnavikaanga baadaye mnaunga na maziwa fresh, ni hatari sana! Click to expand... Aisee! Mkuu, nahisi unatokea Kanda ya Ziwa! Naweza kuipata wapi hiyo kitoweo?