Mradi wa LNG: Tukicheza Vizuri wakati huu ni hakika Umasikini tutausahau Tanzania na Samia anaweza kuwa Rais Bora zaidi kuwahi kutokea Tanzania

Hata the African report wanasema kuwa Tanzania ni nchi ya 6 Africa kwa kuwa na hifadhi kubwa ya Gesi

Point yao ni namna Samia anavyotumia diplomasia ya uchumi na mahusiano yake mazuri ya ulaya katika kukamata hii fursa
 
Sasa kwani wakati wa JK kuna gesi yoyote ambayo ilianza kuzalishwa ukiacha ile ambayo ilishaanza kuzalishwa kitambo ambayo iligundulika tangu enzi za Nyerere?
 
Mi mpaka leo sijui kwanini Magufuli aliacha ule mradi wa kuzalisha gas... Tatizo kila rais anaekuja anataka kuanzisha miradi ya legacy yake
Hapana Magufuli hakuacha , wanasema mazungumzo yalikuwa yanaandaliwa
 
Mkuu mleta uzi inaonekana kuna deal kaliotea ana uhakika wa kupata mlo walau kwa mwezi mzima ndiyo maana kaamua kuandika insha.
Hakuna dili wala nini. Mimi ni Mtanzania mzalendo kama Watanzania wengine wazalendo tunaopenda maendeleo ya nchi yetu
 
Hivi tunaongelea nini hapa !!!!

I Qoute.... ad verbatim "Samia says Russia / Ukraine tension an Opportunity for Gas Sales"

Sasa wewe unadhani that is diplomatically ?

Je hawezi kufurahia kimya kimya na kuuza kimya kimya (though its a pipe dream) and an America has a stake to play (has plenty of natural gas as well)
 
Tuna Bomba la Gesi la mtwara ila hatujawai kuwa na mradi wa LNG. Kinachofanyika sasa ni kufanya mradi wa LNG. kwa lugha nyepesi ni kuongezea thamani gesi ili iwe kwenye kimiminika na kuuzwa kwa thamani ya juu zaidi
 
Sio 30Million ni $30 Billion, na hiyo kazi kwa sasa inaendelea.
 
Kwa taarifa yako hifadhi ya Gesi ya Marekani tu haimtoshi kwa matumizi ya muda mrefu. Ndo mana wenzetu kila siku ni kuchangamkia fursa
 
Ikiwa mradi mkubwa huo unaweza kuwekezwa nchini serikali isisahau pia kujikita Gesi nyingine itumike kuzalisha Umeme mwingi wa kuwezesha kuwavutia matajiri na makampuni makubwa wawekeze kwenye nyanja ya viwanda vizito ,hasa cya magari,and various mashines!

Hapo uchumi wa TANZANIA utapaa speed ya kutisha.

Na yanawezekana ikiwa rais atasaidiwa kwa dhati na Wasaidizi wake Bila kuachana wananchi wote.
 
Sasa kwani wakati wa JK kuna gesi yoyote ambayo ilianza kuzalishwa ukiacha ile ambayo ilishaanza kuzalishwa kitambo ambayo iligundulika tangu enzi za Nyerere?
Ufahamu na uelewa na changamoto kuu kwa Watanzania. Wengi mradi wa bomba la Gesi kipindi cha JK ndo wanachukulia kama LNG
 
Ufahamu na uelewa na changamoto kuu kwa Watanzania. Wengi mradi wa bomba la Gesi kipindi cha JK ndo wanachukulia kama LNG
Na tatizo wanatia pamba masikioni na hawataki kuelewa...

Hawa wanadhani LNG Plant inalenga "kuua" legacy ya JPM kwenye JNHPP kumbe ni miradi miwili tofauti!

Kwahiyo wanaleta mambo ya legacy kwenye serious issues!
 
Sasa kama sio kazi ndogo, kwanini unawaza mama Samia anaweza leoleo kufanikisha na hela zikaanza kuingia sasaiv, jambo ambalo limeshindikana zaidi ya miaka 10?
Umesoma mada kila kipengele na kuelewa? Au kuona jina Samia tu umechanganyikiwa?
 
Na tatizo wanatia pamba masikioni na hawataki kuelewa...

Hawa wanadhani LNG Plant inalenga "kuua" legacy ya JPM kwenye JNHPP kumbe ni miradi miwili tofauti!

Kwahiyo wanaleta mambo ya legacy kwenye serious issues!
Haha kweli kabisa! Nadhani wakielewa wataacha kelele au wanaweza kuendeleza tu kelele kwa kuwa hawataki Mama wa watu aonekane anafanya vizuri kumzidi aliyemtangulia
 

Kitu ambacho Watanzania wengi wamenyimwa ni uwezo wa kutabiri future na kuamini kile anachoambiwa bila mwenye kutafakari kwa undani(think critically) juu ya jambo husika.
Kitu kingine tulichopewa cha kijinga sana ni kukisifia kila anachokifanya kiongozi ambaye una maslahi naye kama vile undugu, ukabila, umkoa au amekuteua.
Ndio maana hii nchi hataenda popote.
 
Kwa taarifa yako hifadhi ya Gesi ya Marekani tu haimtoshi kwa matumizi ya muda mrefu. Ndo mana wenzetu kila siku ni kuchangamkia fursa
Kumbuka kuweka pipes infrastructure ni costly, ingawa Russia ina upper hand on that front sababu pipe tayari ipo..., kwahio the next big thing ni liquefied Natural Gas (kwahio who is one of the largest player in that sector) ?

 
Inahusianaje na mada husika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…