Mradi wa LNG: Tukicheza Vizuri wakati huu ni hakika Umasikini tutausahau Tanzania na Samia anaweza kuwa Rais Bora zaidi kuwahi kutokea Tanzania

Mradi wa LNG: Tukicheza Vizuri wakati huu ni hakika Umasikini tutausahau Tanzania na Samia anaweza kuwa Rais Bora zaidi kuwahi kutokea Tanzania

Nilidhani haya mambo ya kujisifia uwongo yalionekana na jiwe-!
Kumbe 😯😯😯

Top 10 African Countries Sitting on the Most Natural Gas​

  • Posted July 16, 2021
  • 9:00 am
bigstock-Gas-Storage-Tank-Oil-Storage-285036433-1536x863.jpg

Africa is a continent richly endowed with natural resources with almost half of its 55 countries known to have proven natural gas reserves. Across the entire continent, natural gas reserves amount to a total of more than 800 trillion cubic feet, with BP predicting that the production of natural gas in the continent will expand by 80% by 2035, contributing to rising Gross Domestic Profit (GDP), the emergence of middle-class consumers and increased market value. As a major source of wealth and energy in Africa, the development of oil and gas resources proves critical for economic growth and revenue expansion. The following list comprises the Top Ten Natural Gas Reserves in Africa by country:

NIGERIA – 206.53 TRILLION CUBIC FEET​

According to the Department of Petroleum Resources (DPR), Nigeria has proven gas deposits of 206.53 trillion cubic feet. Located in western Africa on the Gulf of Guinea, Nigeria is the most populous country in Africa and has a total area of 924,000km2 with a coastline of 853km. The country has the largest natural gas reserves on the continent and is the 12th largest producer of petroleum in the world. Nigeria’s oil sector comprises 20% of its GDP and 95% of foreign exchange earnings. The country’s biggest natural gas operator is the Nigerian Liquefied Natural Gas (LNG) Company.

ALGERIA – 159.1 TRILLION CUBIC FEET​

Algeria ranks 11th in the world, 2nd in Africa, in terms of proven natural gas reserves and accounts for approximately 2% of the world’s total reserves. Covering an area of around 2.4 million km2 with a coastline of 1,200km, Algeria is the largest country in Africa and the world’s sixth-largest gas exporter. Hydrocarbons are the country’s primary source of revenue, supplying a large amount of natural gas to Europe. Additionally, natural gas accounts for roughly 34 percent of the northern African country’s GDP with 80% of Algeria’s total hydrocarbon production operated by the state-owned oil company Sonatrach – the largest company in Africa.

SENEGAL – 120 TRILLION CUBIC FEET​

Major discoveries made in Senegal since 2014 have made the west-African country an attractive destination for oil exploration companies. The Grand Tortue Ahmeyin (GTA) gas field development alone holds proven natural gas reserves of 100 trillion cubic feet, which is expected to lead to massive gas production in Senegal and Mauritania over the next decade. The $4.8 gas project is set to produce 2.5 million tons of LNG annually and 70 million cubic feet of natural gas within its first phase. The GTA discovery is the deepest offshore gas field in Africa, lying beneath waters over 2km deep. Another major gas field in Senegal, the Yakaar-Teranga field, has proven natural gas reserves of 15-20 trillion cubic feet and will start production in 2023 or 2024.

MOZAMBIQUE – 100 TRILLION CUBIC FEET​

Mozambique holds roughly 100 trillion cubic feet of proven natural gas reserves, accounting for approximately 1% of the world’s total. The country’s proven gas reserves are able to meet 1,545.7 times its annual consumption, meaning the southern-African country has 1,500 years of gas left. Most of the country’s natural gas exploration occurs in Areas 1 and 4 of the 50,000km2 Rovuma Basin, which is operated in by Total S.A., U.S.-based ExxonMobil, and Japan’s Mitsui.

EGYPT – 77.2 TRILLION CUBIC FEET​

According to the International Trade Administration’s 2021 Energy Resource Guide, the transcontinental north-African country has proven natural gas reserves of approximately 77.2 trillion cubic feet. Egypt has one of the most developed economies in the Middle East and Africa and is the largest consumer of oil and natural gas on the continent. As the fifth largest holder of proven natural gas reserves in Africa, the country has emerged as a lucrative destination for Liquified Natural Gas and natural gas pipeline imports.

TANZANIA – 57.54 TRILLION CUBIC FEET​

Tanzania’s proven natural gas reserves are 57 trillion cubic feet, according to the Ministry of Energy. The Ministry estimates that around 70% of the country’s reserves are recoverable with approximately 50 trillion cubic feet far offshore in the Indian Ocean. From its three major oil fields – Songo Songo Island, Mnazi Bay, and Kiliwani North – Tanzania has a total annual production of 110 billion cubic feet of natural gas. The majority of these discoveries have been found in three blocks, with 22 trillion cubic feet of gas found in place at Block 2, and with Blocks 1 and 4 totaling around 25.4 trillion cubic feet in place. 10 trillion cubic feet of proven natural gas reserves have been found in several smaller fields throughout the country, with Mnazi Bay containing 5 trillion cubic feet and Songo Songo Island with 551 billion.

LIBYA – 53.1 TRILLION CUBIC FEET​

Hata the African report wanasema kuwa Tanzania ni nchi ya 6 Africa kwa kuwa na hifadhi kubwa ya Gesi

Point yao ni namna Samia anavyotumia diplomasia ya uchumi na mahusiano yake mazuri ya ulaya katika kukamata hii fursa
 
Hata wa gesi enzi za kikwete walisema ukianza uzalishaji hakutakua na tatizo la umeme na nchi itapata faida za madola mengi mpaka waitu tukawa na matuamaini ya maisha mazuli.
Lakini mpaka sasa tuna ugulia maumivu ya maisha magumu.

Hii ndo tanzania ndugu.
Sasa kwani wakati wa JK kuna gesi yoyote ambayo ilianza kuzalishwa ukiacha ile ambayo ilishaanza kuzalishwa kitambo ambayo iligundulika tangu enzi za Nyerere?
 
Mi mpaka leo sijui kwanini Magufuli aliacha ule mradi wa kuzalisha gas... Tatizo kila rais anaekuja anataka kuanzisha miradi ya legacy yake
Hapana Magufuli hakuacha , wanasema mazungumzo yalikuwa yanaandaliwa
 
Mkuu mleta uzi inaonekana kuna deal kaliotea ana uhakika wa kupata mlo walau kwa mwezi mzima ndiyo maana kaamua kuandika insha.
Hakuna dili wala nini. Mimi ni Mtanzania mzalendo kama Watanzania wengine wazalendo tunaopenda maendeleo ya nchi yetu
 
Acha kuongea nadharia, Samia alikuwa Ulaya wiki hii iliyopita, Mkuu wa Kampuni ya Shell kaongea na shirika kubwa la habari la Ulaya Reutres juzi na kasema juu ya maendeleo ya mazungumzo na serikali ya Tanzania

Wachambuzi wa nje wameona hilo na wanaliongelea wewe endelea tu kudhani ni siri
Hivi tunaongelea nini hapa !!!!

I Qoute.... ad verbatim "Samia says Russia / Ukraine tension an Opportunity for Gas Sales"

Sasa wewe unadhani that is diplomatically ?

Je hawezi kufurahia kimya kimya na kuuza kimya kimya (though its a pipe dream) and an America has a stake to play (has plenty of natural gas as well)
 
Tanzania hii ama nyingine..kwa CCM hii ama nyingine?

Bomba la gesi la mtwara lipo tupu; mtu akaja kasema gesi yote ishauzwa tumepigwa akatuamninisha kuwekeza ma billions ya dola tena ya kukopa kujenga tanki la umeme wa maji, technologia ya karne ya 18 duniani kisa tu eti ni bei rahisi, bomba la Gesi linapata kutu.

Kuna chuma kinazagaa nchi nzima lakini hatuna mkakati wowote wa maana wa kuchimba na kuwauzia wahitaji..kwa sasa tunanunua ma tani kwa matani ya chuma kwa ajili ya ujenzi wa reli hii ya umeme, sasa ndugu sijui kipi kingeanza kwanza uchimbaji wa chuma ama ujenzi wa reli inayomia mamilioni ya tani ya chuma.

Kifupi kwanza sasa hivi tunajipanga kwa 2025, ni miaka 2 tu imebakia..hayo masuala yako ya Gesi miminika unayosema hayapo kwanza itamiminikia baharini kabla ya kufika Ulaya.
Tuna Bomba la Gesi la mtwara ila hatujawai kuwa na mradi wa LNG. Kinachofanyika sasa ni kufanya mradi wa LNG. kwa lugha nyepesi ni kuongezea thamani gesi ili iwe kwenye kimiminika na kuuzwa kwa thamani ya juu zaidi
 
Kama ni 30Mus$ mbona ni pesa kidogo Sana hyo mkuuu...kwani bombardier moja sio hela nyingi kuliko hyo...kama ndivyo kwa nn tusiache kununua ndege tukaelekeza hzo hela kwenye huo mradi. I la si inasemekana gesi ni ya mchina kwa Sasa na hata tukianzisha huo mradi tutakuwa tunanunua gesi kutoka kwa mchina..
Sio 30Million ni $30 Billion, na hiyo kazi kwa sasa inaendelea.
 
Hivi tunaongelea nini hapa !!!!

I Qoute.... ad verbatim "Samia says Russia / Ukraine tension an Opportunity for Gas Sales"

Sasa wewe unadhani that is diplomatically ?

Je hawezi kufurahia kimya kimya na kuuza kimya kimya (though its a pipe dream) and an America has a stake to play (has plenty of natural gas as well)
Kwa taarifa yako hifadhi ya Gesi ya Marekani tu haimtoshi kwa matumizi ya muda mrefu. Ndo mana wenzetu kila siku ni kuchangamkia fursa
 
Ikiwa mradi mkubwa huo unaweza kuwekezwa nchini serikali isisahau pia kujikita Gesi nyingine itumike kuzalisha Umeme mwingi wa kuwezesha kuwavutia matajiri na makampuni makubwa wawekeze kwenye nyanja ya viwanda vizito ,hasa cya magari,and various mashines!

Hapo uchumi wa TANZANIA utapaa speed ya kutisha.

Na yanawezekana ikiwa rais atasaidiwa kwa dhati na Wasaidizi wake Bila kuachana wananchi wote.
 
Sasa kwani wakati wa JK kuna gesi yoyote ambayo ilianza kuzalishwa ukiacha ile ambayo ilishaanza kuzalishwa kitambo ambayo iligundulika tangu enzi za Nyerere?
Ufahamu na uelewa na changamoto kuu kwa Watanzania. Wengi mradi wa bomba la Gesi kipindi cha JK ndo wanachukulia kama LNG
 
Ufahamu na uelewa na changamoto kuu kwa Watanzania. Wengi mradi wa bomba la Gesi kipindi cha JK ndo wanachukulia kama LNG
Na tatizo wanatia pamba masikioni na hawataki kuelewa...

Hawa wanadhani LNG Plant inalenga "kuua" legacy ya JPM kwenye JNHPP kumbe ni miradi miwili tofauti!

Kwahiyo wanaleta mambo ya legacy kwenye serious issues!
 
Sasa kama sio kazi ndogo, kwanini unawaza mama Samia anaweza leoleo kufanikisha na hela zikaanza kuingia sasaiv, jambo ambalo limeshindikana zaidi ya miaka 10?
Umesoma mada kila kipengele na kuelewa? Au kuona jina Samia tu umechanganyikiwa?
 
Na tatizo wanatia pamba masikioni na hawataki kuelewa...

Hawa wanadhani LNG Plant inalenga "kuua" legacy ya JPM kwenye JNHPP kumbe ni miradi miwili tofauti!

Kwahiyo wanaleta mambo ya legacy kwenye serious issues!
Haha kweli kabisa! Nadhani wakielewa wataacha kelele au wanaweza kuendeleza tu kelele kwa kuwa hawataki Mama wa watu aonekane anafanya vizuri kumzidi aliyemtangulia
 
Amani iwe nanyi wadau,

Hali ya bara ya ulaya na Asia sio nzuri kwa sasa, Urusi anaonesha ubabe wa waziwazi kwa kuanza kurudisha maeneo ya uliokuwa Umoja wa nchi za kisovieti.

Wiki hii imeanza kwa moto baada ya Rais Putin kutangaza kuyatambua maeneo ya Donesk na Luhansk kuwa nchi huru ikiwa ni harakati za kutwaa majimbo haya kutoka nchi ya Ukraine.

Haya yakiendelea inaonekana nchi za Marekani na Washirika wake wa Magharibi hasa NATO (Nchi za Ufaransa, Ujerumani, Uingereza na nyinginezo) hawataki vita zaidi ya kumdhoofisha Urusi kiuchumi ili afe kiuchumi

Njia kuu inayotumika na inayotarajia kutumika kwa sasa katika kumdhoofisha urusi kiuchumi ni kwa kuacha utegemezi wa gesi ya Urusi na ikumbukwe kuwa Urusi ndo nchi inayotegemewa hasa na nchi za Ulaya kwa usambazaji wa gesi

Kwa Ulaya Gesi ndo hitaji kuu la nishati kwa sababu ya Baridi kali ambayo inawafanya wategemee zaidi Gesi kwa ajiri ya kupikia na mahitaji mengine.

Jana usiku Kansela wa Ujerumani ametangaza kusitisha mpango wa Bomba la Gesi kutoka Urusi kuingia Ujerumani na kwenda nchi zingine za Ulaya huku Mataifa mengine ya Ulaya na Marekani wakiweka vikwazo vikali dhidi ya Rais Putin na mabenki yake.

Kwa sasa inaonekana nchi za Ulaya zimeanza kutupa macho kwa Tanzania kwa sababu ndo imeonekana kuwa nchi yenye siasa nzuri na yenye hifadhi kubwa ya Gesi ambayo wanaweza kuinunua na kuitumia baada ya kuachana na Urusi

Jarida Maarufu la kiuchunguzi The African Report limeandika makala hii jana

Baada ya kuona hali hii niliyoielezea hapo juu naona sasa Wazungu wako serious mradi wa LNG uanze haraka hapa Tanzania ili waachane na Urusi mazima.

Taarifa iliyotolewa na kampuni iliyo kwenye mazungumzo na Serikali ya Tanzania katika mradi huu ya Shell kuwa wako kwenye sehemu nzuri kimazungumzo na Tanzania kwa ajiri ya mradi wa LNG kuanza naona imekaa ki strategy zaidi kwa ajiri ya kuwatuliza wananchi wa Bara la ulaya ambao hadi sasa hofu yao kuu ni Maisha yatakuwaje bila Gesi ya Urusi?

Napenda kuipongeza serikali ya Tanzania kwa hatua waliyofikia kwenye mazungumzo ya uwekezaji mkubwa wa Gesi huko Lindi na Mtwara na napenda kuwahusia tu kikubwa ni kuwa hakikisheni tu nchi yetu inafaidika massively kiuchumi kutokana na huu mradi.

Kwa Rais Samia napenda kusema unaanza kusomeka kwenye ramani ya Dunia. LNG ndo main legacy yako, ukicheza vizuri hapa umaskini itakuwa historia Tanzania na utakumbukwa milele kama The best President ever to happen in Tanzania!

Muwe na siku njema!
View attachment 2128208

Kitu ambacho Watanzania wengi wamenyimwa ni uwezo wa kutabiri future na kuamini kile anachoambiwa bila mwenye kutafakari kwa undani(think critically) juu ya jambo husika.
Kitu kingine tulichopewa cha kijinga sana ni kukisifia kila anachokifanya kiongozi ambaye una maslahi naye kama vile undugu, ukabila, umkoa au amekuteua.
Ndio maana hii nchi hataenda popote.
 
Kwa taarifa yako hifadhi ya Gesi ya Marekani tu haimtoshi kwa matumizi ya muda mrefu. Ndo mana wenzetu kila siku ni kuchangamkia fursa
Kumbuka kuweka pipes infrastructure ni costly, ingawa Russia ina upper hand on that front sababu pipe tayari ipo..., kwahio the next big thing ni liquefied Natural Gas (kwahio who is one of the largest player in that sector) ?

Kitu ambacho Watanzania wengi wamenyimwa ni uwezo wa kutabiri future na kuamini kile anachoambiwa bila mwenye kutafakari kwa undani(think critically) juu ya jambo husika.
Kitu kingine tulichopewa cha kijinga sana ni kukisifia kila anachokifanya kiongozi ambaye una maslahi nay kama vile undugu, ukabila, umkoa au amekuteua.
Ndio maana hii nchi hataenda popote.
Inahusianaje na mada husika?
 
Back
Top Bottom