Mradi wa LNG: Tukicheza Vizuri wakati huu ni hakika Umasikini tutausahau Tanzania na Samia anaweza kuwa Rais Bora zaidi kuwahi kutokea Tanzania

Mradi wa LNG: Tukicheza Vizuri wakati huu ni hakika Umasikini tutausahau Tanzania na Samia anaweza kuwa Rais Bora zaidi kuwahi kutokea Tanzania

Nimekusoma ulichoandika mpaka pale uliposema nchi yetu ina siasa nzuri, huu upofu wa makusudi unaojitia unajidanganya mwenyewe, ni kama unajitekenya na kucheka peke yako.

Kuhusu hiyo LNG mtazipata wapi $30mil zinazohitajika kwenye huo mradi?

Kwa utoto ulioandika hapa, vipi kuhusu Nyerere Dam ndio pesa imeshachezewa pale kwa hiyo iachwe ipotee?

Kama hiyo ndio akili yenu, kwanini nisiamini mnataka kuanzisha mradi mpya wa LNG ili nanyi mpate nafasi ya upigaji ili kama ikitokea msipoukamilisha kama wa Nyerere Dam muwe mmeshaiba mnachotaka?

Naona umejaza uzi wako na yanayotokea ulaya kama vile hao wazungu wanatupenda sana sisi, unajidanganya tu, kwenye maslahi hakuna taifa litakalokubali kuwa nyuma ya lingine hata kama kila siku mtaenda kwao miaka kumi mfululizo.

Tusidanganyane, sharti mradi wa Nyerere Dam ukamilike kwanza kama kweli mnataka kuokoa pesa za walipakodi masikini wa Tanzania, badala ya kujitutumua na miradi mipya ya bei ghali ambayo hamuwezi kuikamilisha wenyewe, huu ujinga wa kujiona wajanja kwasababu mnakopesheka utaangamiza vizazi vya hili taifa.

LNG si ni mradi wa kuiprocess gas’s kupata products mbali mbali zaidi zaidi ni kuisafisha na kuondoa takataka na kuivadilisja form kuwa liquid ili iweze kuwa stored kwenye mitungi kama LPG does LNG and LPG rings a bell in your head? LNG has nothing to do with uzalishaji wa umeme Tafiti kwanza kabla haujakosoa, leo hii gas ya kupikia tunaagiza nje na inakuja kwa Meli ila kwa mradi wa LNG gas itakuwa inatoka lindi kuja nyumbani kwako ikiwa kwenye mtungi
 
Nimekusoma ulichoandika mpaka pale uliposema nchi yetu ina siasa nzuri, huu upofu wa makusudi unaojitia unajidanganya mwenyewe, ni kama unajitekenya na kucheka peke yako.
Kama ni 30Mus$ mbona ni pesa kidogo Sana hyo mkuuu...kwani bombardier moja sio hela nyingi kuliko hyo...kama ndivyo kwa nn tusiache kununua ndege tukaelekeza hzo hela kwenye huo mradi. I la si inasemekana gesi ni ya mchina kwa Sasa na hata tukianzisha huo mradi tutakuwa tunanunua gesi kutoka kwa mchina..
 
Tanzania ni mbali sana kusafirisha Gesi mpaka Ulaya, Ulaya target yao ni Ukraine ambapo ni karibu gharama itakua ndogo ya usafirishaji
Ukraine nae anategemea Gesi ya Urusi. Kwa hali ilivyo sasa hakuna namna ni lazima watoke nje ya Urusi maana Urusi anaonekana anatumia kibuli cha kuwa na Gesi kuwa bully na kujiongeza zaidi kimamlaka. Ndo mana shift yao imekuja Tanzania kwa sasa
 
LNG si ni mradi wa kuiprocess gas’s kupata products mbali mbali zaidi zaidi ni kuisafisha na kuondoa takataka na kuivadilisja form kuwa liquid ili iweze kuwa stored kwenye mitungi kama LPG does LNG and LPG rings a bell in your head? LNG has nothing to do with uzalishaji wa umeme Tafiti kwanza kabla haujakosoa, leo hii gas ya kupikia tunaagiza nje na inakuja kwa Meli ila kwa mradi wa LNG gas itakuwa inatoka lindi kuja nyumbani kwako ikiwa kwenye mtungi
Kakalia kulalamika tu huyo achana nae. Hajui lofoten juu ya LNG
 
Hivi ww upo tanzania au nje ya tanzania .unaambiwa hii gesi inayochibwa tanzania sio ya tanzania ni ya viongozi wachache na wawekezaji.taifa ganzania halina chake hapo umasikini ni wetu milele
Weka ushahidi kuwa sio ya Tanzania. Au upon chato huko umeshalishwa matango pori unakuja kuropoka humu
 
Kwa iyo unapingana na wachambuzi mahiri The African Report?

Unaonekana hata Elimu yako ni mashaka, kuna uhusiano gani kati ya LNG na Umeme au Bwawa la Nyerere?

Nani kakwambia LNG inatumia pesa za serikali?
Punguza uchawa.

Hao wachambuzi mahiri wakati wa uchambuzi wao waliangalia hali yetu kama taifa kiuchumi? au wao ndio watawapa $30 milion zinazohitajika? wakiwapa mkopo unadhani hapatakuwa na masharti?

Ungekuwa na akili timamu ungeangalia huo uchambuzi then ufikirie na mahitaji yetu kama taifa kwa sasa, then uangalie best option kwetu; sio unakurupuka tu na "uchambuzi mahiri" bila kutafakari hali yetu kiuchumi na mahitaji kwa sasa, uache mawazo ya kitumwa.

Kwanza tuna mradi ambao haujakamilika, ambao bado unahitaji fedha ambazo tunaokoteza, iweje tuuache huo tukimbilie mwingine ambao nao pesa zake hatuna?! huu ni ujinga.

Kama unakiri serikali haina pesa za huo mradi unaonesha dhahiri ulivyodumazwa kifikra na mawazo finyu ya kukopesheka kama ndio sifa yenu kuu.
 
Punguza uchawa.

Hao wachambuzi mahiri wakati wa uchambuzi wao waliangalia hali yetu kama taifa kiuchumi? au wao ndio watawapa $30 milion zinazohitajika? wakiwapa mkopo unadhani hapatakuwa na masharti?

Kama unakiri serikali haina pesa za huo mradi unaonesha ulivyodumazwa kifikra na mawazo finyu ya kukopesheka.
Nadhani hii mada ni kubwa sana kwako

Endelea tu na hekaya za #freeMbowe. Hii mada imekuzidi sana uwezo
 
Tumekuwa tukijipa moyo na miradi na ugunduzi mbalimbali wa resources lakini mpka leo sijaona unafuu zaidi ya Ugumu wa maisha, Mpka leo umeme hauko stable, Gesi imejaa lakini bado mnapandisha kodi, Nilizani nishati ikigundulika basi maisha yatakuwa maraisi zaidi lakini ni kinyume na hivyo.

Ile Gesi ile amini ya kwamba Watanzania wangekuwa na maisha mazuri kuwahi kutokea, lakini utazani haipo.
 
Kama ni 30Mus$ mbona ni pesa kidogo Sana hyo mkuuu...kwani bombardier moja sio hela nyingi kuliko hyo...kama ndivyo kwa nn tusiache kununua ndege tukaelekeza hzo hela kwenye huo mradi. I la si inasemekana gesi ni ya mchina kwa Sasa na hata tukianzisha huo mradi tutakuwa tunanunua gesi kutoka kwa mchina..
Aliyekwambia Gesi ya mchina mfuate na mpige kibao

Ndo mana African Report wamesema Tanzania na Samia hawajasema Xi jiping au China
 
Tumekuwa tukijipa moyo na miradi na ugunduzi mbalimbali wa resources lakini mpka leo sijaona unafuu zaidi ya Ugumu wa maisha, Mpka leo umeme hauko stable, Gesi imejaa lakini bado mnapandisha kodi, Nilizani nishati ikigundulika basi maisha yatakuwa maraisi zaidi lakini ni kinyume na hivyo. Ile Gesi ile amini ya kwamba Watanzania wangekuwa na maisha mazuri kuwahi kutokea, lakini utazani haipo.
Gesi ipo lakini hatukuwai kuwa na mradi wa LNG ambao kwa Gesi hapa ndo faida ya ipo.
 
Amani iwe nanyi wadau,

Hali ya bara ya ulaya na Asia sio nzuri kwa sasa, Urusi anaonesha ubabe wa waziwazi kwa kuanza kurudisha maeneo ya uliokuwa Umoja wa nchi za kisovieti.

Wiki hii imeanza kwa moto baada ya Rais Putin kutangaza kuyatambua maeneo ya Donesk na Luhansk kuwa nchi huru ikiwa ni harakati za kutwaa majimbo haya kutoka nchi ya Ukraine.

Haya yakiendelea inaonekana nchi za Marekani na Washirika wake wa Magharibi hasa NATO (Nchi za Ufaransa, Ujerumani, Uingereza na nyinginezo) hawataki vita zaidi ya kumdhoofisha Urusi kiuchumi ili afe kiuchumi

Njia kuu inayotumika na inayotarajia kutumika kwa sasa katika kumdhoofisha urusi kiuchumi ni kwa kuacha utegemezi wa gesi ya Urusi na ikumbukwe kuwa Urusi ndo nchi inayotegemewa hasa na nchi za Ulaya kwa usambazaji wa gesi

Kwa Ulaya Gesi ndo hitaji kuu la nishati kwa sababu ya Baridi kali ambayo inawafanya wategemee zaidi Gesi kwa ajiri ya kupikia na mahitaji mengine.

Jana usiku Kansela wa Ujerumani ametangaza kusitisha mpango wa Bomba la Gesi kutoka Urusi kuingia Ujerumani na kwenda nchi zingine za Ulaya huku Mataifa mengine ya Ulaya na Marekani wakiweka vikwazo vikali dhidi ya Rais Putin na mabenki yake.

Kwa sasa inaonekana nchi za Ulaya zimeanza kutupa macho kwa Tanzania kwa sababu ndo imeonekana kuwa nchi yenye siasa nzuri na yenye hifadhi kubwa ya Gesi ambayo wanaweza kuinunua na kuitumia baada ya kuachana na Urusi

Jarida Maarufu la kiuchunguzi The African Report limeandika makala hii jana

Baada ya kuona hali hii niliyoielezea hapo juu naona sasa Wazungu wako serious mradi wa LNG uanze haraka hapa Tanzania ili waachane na Urusi mazima.

Taarifa iliyotolewa na kampuni iliyo kwenye mazungumzo na Serikali ya Tanzania katika mradi huu ya Shell kuwa wako kwenye sehemu nzuri kimazungumzo na Tanzania kwa ajiri ya mradi wa LNG kuanza naona imekaa ki strategy zaidi kwa ajiri ya kuwatuliza wananchi wa Bara la ulaya ambao hadi sasa hofu yao kuu ni Maisha yatakuwaje bila Gesi ya Urusi?

Napenda kuipongeza serikali ya Tanzania kwa hatua waliyofikia kwenye mazungumzo ya uwekezaji mkubwa wa Gesi huko Lindi na Mtwara na napenda kuwahusia tu kikubwa ni kuwa hakikisheni tu nchi yetu inafaidika massively kiuchumi kutokana na huu mradi.

Kwa Rais Samia napenda kusema unaanza kusomeka kwenye ramani ya Dunia. LNG ndo main legacy yako, ukicheza vizuri hapa umaskini itakuwa historia Tanzania na utakumbukwa milele kama The best President ever to happen in Tanzania!

Muwe na siku njema!
View attachment 2128208
Nilidhani haya mambo ya kujisifia uwongo yalionekana na jiwe-!
Kumbe 😯😯😯

Top 10 African Countries Sitting on the Most Natural Gas​

  • Posted July 16, 2021
  • 9:00 am
bigstock-Gas-Storage-Tank-Oil-Storage-285036433-1536x863.jpg

Africa is a continent richly endowed with natural resources with almost half of its 55 countries known to have proven natural gas reserves. Across the entire continent, natural gas reserves amount to a total of more than 800 trillion cubic feet, with BP predicting that the production of natural gas in the continent will expand by 80% by 2035, contributing to rising Gross Domestic Profit (GDP), the emergence of middle-class consumers and increased market value. As a major source of wealth and energy in Africa, the development of oil and gas resources proves critical for economic growth and revenue expansion. The following list comprises the Top Ten Natural Gas Reserves in Africa by country:

NIGERIA – 206.53 TRILLION CUBIC FEET​

According to the Department of Petroleum Resources (DPR), Nigeria has proven gas deposits of 206.53 trillion cubic feet. Located in western Africa on the Gulf of Guinea, Nigeria is the most populous country in Africa and has a total area of 924,000km2 with a coastline of 853km. The country has the largest natural gas reserves on the continent and is the 12th largest producer of petroleum in the world. Nigeria’s oil sector comprises 20% of its GDP and 95% of foreign exchange earnings. The country’s biggest natural gas operator is the Nigerian Liquefied Natural Gas (LNG) Company.

ALGERIA – 159.1 TRILLION CUBIC FEET​

Algeria ranks 11th in the world, 2nd in Africa, in terms of proven natural gas reserves and accounts for approximately 2% of the world’s total reserves. Covering an area of around 2.4 million km2 with a coastline of 1,200km, Algeria is the largest country in Africa and the world’s sixth-largest gas exporter. Hydrocarbons are the country’s primary source of revenue, supplying a large amount of natural gas to Europe. Additionally, natural gas accounts for roughly 34 percent of the northern African country’s GDP with 80% of Algeria’s total hydrocarbon production operated by the state-owned oil company Sonatrach – the largest company in Africa.

SENEGAL – 120 TRILLION CUBIC FEET​

Major discoveries made in Senegal since 2014 have made the west-African country an attractive destination for oil exploration companies. The Grand Tortue Ahmeyin (GTA) gas field development alone holds proven natural gas reserves of 100 trillion cubic feet, which is expected to lead to massive gas production in Senegal and Mauritania over the next decade. The $4.8 gas project is set to produce 2.5 million tons of LNG annually and 70 million cubic feet of natural gas within its first phase. The GTA discovery is the deepest offshore gas field in Africa, lying beneath waters over 2km deep. Another major gas field in Senegal, the Yakaar-Teranga field, has proven natural gas reserves of 15-20 trillion cubic feet and will start production in 2023 or 2024.

MOZAMBIQUE – 100 TRILLION CUBIC FEET​

Mozambique holds roughly 100 trillion cubic feet of proven natural gas reserves, accounting for approximately 1% of the world’s total. The country’s proven gas reserves are able to meet 1,545.7 times its annual consumption, meaning the southern-African country has 1,500 years of gas left. Most of the country’s natural gas exploration occurs in Areas 1 and 4 of the 50,000km2 Rovuma Basin, which is operated in by Total S.A., U.S.-based ExxonMobil, and Japan’s Mitsui.

EGYPT – 77.2 TRILLION CUBIC FEET​

According to the International Trade Administration’s 2021 Energy Resource Guide, the transcontinental north-African country has proven natural gas reserves of approximately 77.2 trillion cubic feet. Egypt has one of the most developed economies in the Middle East and Africa and is the largest consumer of oil and natural gas on the continent. As the fifth largest holder of proven natural gas reserves in Africa, the country has emerged as a lucrative destination for Liquified Natural Gas and natural gas pipeline imports.

TANZANIA – 57.54 TRILLION CUBIC FEET​

Tanzania’s proven natural gas reserves are 57 trillion cubic feet, according to the Ministry of Energy. The Ministry estimates that around 70% of the country’s reserves are recoverable with approximately 50 trillion cubic feet far offshore in the Indian Ocean. From its three major oil fields – Songo Songo Island, Mnazi Bay, and Kiliwani North – Tanzania has a total annual production of 110 billion cubic feet of natural gas. The majority of these discoveries have been found in three blocks, with 22 trillion cubic feet of gas found in place at Block 2, and with Blocks 1 and 4 totaling around 25.4 trillion cubic feet in place. 10 trillion cubic feet of proven natural gas reserves have been found in several smaller fields throughout the country, with Mnazi Bay containing 5 trillion cubic feet and Songo Songo Island with 551 billion.

LIBYA – 53.1 TRILLION CUBIC FEET​

Tanzania hii ama nyingine..kwa CCM hii ama nyingine?

Bomba la gesi la mtwara lipo tupu; mtu akaja kasema gesi yote ishauzwa tumepigwa akatuamninisha kuwekeza ma billions ya dola tena ya kukopa kujenga tanki la umeme wa maji, technologia ya karne ya 18 duniani kisa tu eti ni bei rahisi, bomba la Gesi linapata kutu.

Kuna chuma kinazagaa nchi nzima lakini hatuna mkakati wowote wa maana wa kuchimba na kuwauzia wahitaji..kwa sasa tunanunua ma tani kwa matani ya chuma kwa ajili ya ujenzi wa reli hii ya umeme, sasa ndugu sijui kipi kingeanza kwanza uchimbaji wa chuma ama ujenzi wa reli inayomia mamilioni ya tani ya chuma.

Kifupi kwanza sasa hivi tunajipanga kwa 2025, ni miaka 2 tu imebakia..hayo masuala yako ya Gesi miminika unayosema hayapo kwanza itamiminikia baharini kabla ya kufika Ulaya.
 
Nimekusoma ulichoandika mpaka pale uliposema nchi yetu ina siasa nzuri, huu upofu wa makusudi unaojitia unajidanganya mwenyewe, ni kama unajitekenya na kucheka peke yako.

Kuhusu hiyo LNG mtazipata wapi $30mil zinazohitajika kwenye huo mradi?

Kwa utoto ulioandika hapa, vipi kuhusu Nyerere Dam ndio pesa imeshachezewa pale kwa hiyo iachwe ipotee?

Kama hiyo ndio akili yenu, kwanini nisiamini mnataka kuanzisha mradi mpya wa LNG ili nanyi mpate nafasi ya upigaji ili kama ikitokea msipoukamilisha kama wa Nyerere Dam muwe mmeshaiba mnachotaka?

Naona umejaza uzi wako na yanayotokea ulaya kama vile hao wazungu wanatupenda sana sisi, unajidanganya tu, kwenye maslahi hakuna taifa litakalokubali kuwa nyuma ya lingine hata kama kila siku mtaenda kwao miaka kumi mfululizo.

Tusidanganyane, sharti mradi wa Nyerere Dam ukamilike kwanza kama kweli mnataka kuokoa pesa za walipakodi masikini wa Tanzania, badala ya kujitutumua na miradi mipya ya bei ghali ambayo hamuwezi kuikamilisha wenyewe, huu ujinga wa kujiona wajanja kwasababu mnakopesheka utaangamiza vizazi vya hili taifa.
Kama ni 30Mus$ mbona ni pesa kidogo Sana hyo mkuuu...kwani bombardier moja sio hela nyingi kuliko hyo...kama ndivyo kwa nn tusiache kununua ndege tukaelekeza hzo hela kwenye huo mradi. I la si inasemekana gesi ni ya mchina kwa Sasa na hata tukianzisha huo mradi tutakuwa tunanunua gesi kutoka kwa mchina
Aliyekwambia Gesi ya mchina mfuate na mpige kibao

Ndo mana African Report wamesema Tanzania na Samia hawajasema Xi jiping au China
Poa mkuu ngoja nimfuate Sasa hv..
 
Amani iwe nanyi wadau,

Hali ya bara ya ulaya na Asia sio nzuri kwa sasa, Urusi anaonesha ubabe wa waziwazi kwa kuanza kurudisha maeneo ya uliokuwa Umoja wa nchi za kisovieti.
Kati ya mambo ya hovyo kabisa yaliyowahi kufanywa na marehemu Rais Magufuli, kiasi cha watu tunaoelewa kujiuliza kama kweli Rais alikuwa katika utimamu wa akili, ni kuhusu gas.

Mradi wa gas ya Tanzania, kama ungeendelezwa pale alipoachia Kikwete, umaskini wa Tanzania ungekuwa historia. Lakini Magufuli alivuruga kila kitu. Uwekezaji wa dola bilioni 30 ukapotea. Uwekezaji ule ukapelekwa Msumbiji. Wakawekeza dola bilioni 28, ukawa ndio uwekezaji wa pili kwa ukubwa Duniani.

Marehemu akawalisha uwongo, na ujinga wa hali ya juu, watu wasio na uelewa, eti gas ya Tanzania imeuzwa kwa Wachina wakati hakuna kampuni yoyote ya China inayomiliki kitalu hata kimoja cha utafiti gas, Tanzania. Lakini huyu bwana akaropoka hivyo, na wapo waliomwona ni shujaa. Na haikueleweka inakuwaje mtu mwenye akili timamu angeweza kuripoka maneno ya uwongo kiasi kile.

Nchi ya kwanza kwa utajiri Duniani, Qatar, utajiri wake unatokana na gas.

Gas ya Tanzania ingechimbwa na kujengewa LNG, mapato yako, ukilinganisha na mapato yatokanayo na mauzo ya dhahabu inayochimbwa kwa sasa, ya dhahabu ni sawa tone la maji katika Ziwa. Ndiyo maana Prof. Muhongo wakati ule alikuwa akisema kuwa, "Tunaongelea Tanzania ya uchumi wa gas". Naye Kikwete akasema, "mimi nitakuwa Rais wa mwisho kuongoza Tanzania maskini". Marehemu akaiporomosha Tanzania kwa kiwango ambacho hata tungempa mtu wa darasa la saba, awe Rais lakini awe msikivu, asingefanya uharibifu alioufanya marehemu kwenye uchumi wa Tanzania.

Rais Samia hawezi kuwa the best President, but is much better, na Tanzania inaweza kubadilika kabisa kipindi chake, alimradi awe msikivu, ajifunze, na watu wa kumfundisha, wapo. Hili suala la gas, ni time opportunity. Na kwenye hili, kama tunaongelea uchumi wa gas, Rais Samia alistahili kumpa uwaziri Prof. Muhongo, na siyo January. Sisemi haya kwa kumchukia January au kumpendelea Muhongo lakini kwa kuzingatia ukweli wa uelewa kwenye sekta hii, na ambacho kilikuwa kimefikiwa kabla ya marehemu kuvuruga kila kitu.
 
Gas ... wenzetu wanawezaje na sie tunashindwaje kwani ... kulikua na hope kubwa sanaa na Gas but tukaja sikia hatuna chetu na hatuwezi ata kupanga Bei yake !

Nani sasa wa kubutua aiokoe Tz ?
 
Nimekusoma ulichoandika mpaka pale uliposema nchi yetu ina siasa nzuri, huu upofu wa makusudi unaojitia unajidanganya mwenyewe, ni kama unajitekenya na kucheka peke yako.

Kuhusu hiyo LNG mtazipata wapi $30mil zinazohitajika kwenye huo mradi?

Kwa utoto ulioandika hapa, vipi kuhusu Nyerere Dam ndio pesa imeshachezewa pale kwa hiyo iachwe ipotee?

Kama hiyo ndio akili yenu, kwanini nisiamini mnataka kuanzisha mradi mpya wa LNG ili nanyi mpate nafasi ya upigaji ili kama ikitokea msipoukamilisha kama wa Nyerere Dam muwe mmeshaiba mnachotaka?

Naona umejaza uzi wako na yanayotokea ulaya kama vile hao wazungu wanatupenda sana sisi, unajidanganya tu, kwenye maslahi hakuna taifa litakalokubali kuwa nyuma ya lingine hata kama kila siku mtaenda kwao miaka kumi mfululizo.

Tusidanganyane, sharti mradi wa Nyerere Dam ukamilike kwanza kama kweli mnataka kuokoa pesa za walipakodi masikini wa Tanzania, badala ya kujitutumua na miradi mipya ya bei ghali ambayo hamuwezi kuikamilisha wenyewe, huu ujinga wa kujiona wajanja kwasababu mnakopesheka utaangamiza vizazi vya hili taifa.
Yaani unapenda sana kuhusisha Nyerere Dam na LNG Projects...

Narudia kukueleza kwa mara zaidi ya 5 leo kwamba: LNG PROJECT HAINA UHUSIANO WOWOTE NA JNHPP!!

JNHPP Project is just a piece of an iceberg in the ocean ukitaka kulinganisha na LNG Project!!

Wewe hapo umeandika $30 Million ambayo ni takribani Sh. 70 Billion.

Na hapa narudia tena... SIO $30 MILLION bali ni $30 BILLION...

$30 BILLION ni takribani Sh 70 TRILLION... Hii ni bajeti ya Tanzania kwa miaka 2 bila kuomba mkopo wala msaada!! Makusanyo ya TRA ya miaka 2 tunaweza kuyachoma moto na nchi ikaenda kwa hizo $30 BILLION...

Sasa ndo hapo unatakiwa kujiuliza kama kuna mwendawazimu anaweza kuwekeza TSh 70 TRILLION kwa ajili ya kuzalisha umeme!!!!

Na hapo ndipo pia unatakiwa kulinganisha JNHPP na LNG Project

Wakati JNHPP Project Cost ni roughly Sh 7 Trillion, LNG Plant PEKE YAKE ni 70 TRILLION... yaani mara 10 ya project mzima!

Ninaposema LNG PLANT PEKE YAKE ni kwa sababu hizo 70 Trillion ni kwa ajili ya ujenzi wa Plant na Miundombinu yake TU!!
Na hoja kwamba hizo Sh 30 Million zitatoka wapi... kwani migodi iliyopo Tanzania ni serikali ndiyo imeweka pesa zake?

Hivi una habari Gas Exploration (KUTAFUTA TU) kwa kisima kimoja deep sea kinaweza kuchukua zaidi ya Sh 50 Billion?!

And guess what... unapoingiza hizo 50 Billion za kutafuta unafanya hivyo only kwa kutumia seismic data, na kuna hata HAKUNA uhakika kwamba utakuta gesi but still watu wali-risk hizo billions ili kujiridhisha ikiwa eneo husika lina gas, na ikiwa gas iliyopo ni commercially viable!!

Sasa ikiwa watu waliingiza billions of TShs kutafuta, halafu unatarajia washindwe kuingiza hizo trillions ili hatimae waweze kuchimba hiyo gas?
 
Nimekusoma ulichoandika mpaka pale uliposema nchi yetu ina siasa nzuri, huu upofu wa makusudi unaojitia unajidanganya mwenyewe, ni kama unajitekenya na kucheka peke yako.

Kuhusu hiyo LNG mtazipata wapi $30mil zinazohitajika kwenye huo mradi?

Kwa utoto ulioandika hapa, vipi kuhusu Nyerere Dam ndio pesa imeshachezewa pale kwa hiyo iachwe ipotee?

Kama hiyo ndio akili yenu, kwanini nisiamini mnataka kuanzisha mradi mpya wa LNG ili nanyi mpate nafasi ya upigaji ili kama ikitokea msipoukamilisha kama wa Nyerere Dam muwe mmeshaiba mnachotaka?

Naona umejaza uzi wako na yanayotokea ulaya kama vile hao wazungu wanatupenda sana sisi, unajidanganya tu, kwenye maslahi hakuna taifa litakalokubali kuwa nyuma ya lingine hata kama kila siku mtaenda kwao miaka kumi mfululizo.

Tusidanganyane, sharti mradi wa Nyerere Dam ukamilike kwanza kama kweli mnataka kuokoa pesa za walipakodi masikini wa Tanzania, badala ya kujitutumua na miradi mipya ya bei ghali ambayo hamuwezi kuikamilisha wenyewe, huu ujinga wa kujiona wajanja kwasababu mnakopesheka utaangamiza vizazi vya hili taifa.
Mkuu mleta uzi inaonekana kuna deal kaliotea ana uhakika wa kupata mlo walau kwa mwezi mzima ndiyo maana kaamua kuandika insha.
 
Mi mpaka leo sijui kwanini Magufuli aliacha ule mradi wa kuzalisha gas... Tatizo kila rais anaekuja anataka kuanzisha miradi ya legacy yake
 
Back
Top Bottom