Mradi wa SGR lot no 4, YAPI MERKEZ yaanza kufunga virago, inasemekana ni baada ya serikali kukosa fedha za kuwalipa

YAPI MERKEZ Hana fedha?. Au Serikali ya Tz ndio haina fedha ya kuwalipa Kwa wakati?.
Wewe umesema ni mdau kwenye hayo makampuni hivyo fatilia kwa ukaribu utapata majibu.

Serikali ingekuwa haina fedha ingesimamisha mradi jumla. Isingempa mtu mwingine aendelee nao.
 
Mama anaupiga mwingi anamwaga mabilioni kila sekta!
 
SGR imewashinda Yepi.....wametumia pesa zao zoote .....wanaona zinaishaaa tuuuu haealipwii
 
Wewe umesema ni mdau kwenye hayo makampuni hivyo fatilia kwa ukaribu utapata majibu.

Serikali ingekuwa haina fedha ingesimamisha mradi jumla. Isingempa mtu mwingine aendelee nao.
Nachokueleza serikali haiwalipi YAPI MERKEZI Kwa wakati ndio sababu kubwa yakukataa kuendelea na mradi, kama Serikali inaleta mkandarasi mpya hio nihabari nyingine ambayo mpaka Sasa haina uhakika.
 
Nachokueleza serikali haiwalipi YAPI MERKEZI Kwa wakati ndio sababu kubwa yakukataa kuendelea na mradi, kama Serikali inaleta mkandarasi mpya hio nihabari nyingine ambayo mpaka Sasa haina uhakika.

Analipwa Bila kukamilisha kazi?

Hiyo lot 4 kwanza imeleta shida sana namna alivyopewa. Bora kaiachia tu.

Subiri taarifa rasmi utapata. Mchina kachukua lot 4.
 
Hii Post ni kama imefitwa halafu imrudishwa ,
Maana notifications zote za like kwangu zimefutika😲
 
Analipwa Bila kukamilisha kazi?

Hiyo lot 4 kwanza imeleta shida sana namna alivyopewa. Bora kaiachia tu.

Subiri taarifa rasmi utapata. Mchina kachukua lot 4.
Analipwa Bila kukamilisha kazi?

Hiyo lot 4 kwanza imeleta shida sana namna alivyopewa. Bora kaiachia tu.

Subiri taarifa rasmi utapata. Mchina kachukua lot 4.
Ngoja tuendelee kusubili.
 
Tetesi ipi wakati naandika nikiwa site hapa BUKENE, nazungumza jambo nililo nauhakika nalo ,zaidi ya asilimia 99.99.

Hivyo hapo bukene umeambiwa ukapumzike nyumbani hadi watakapo kuita tena sio?
 
nawaambieni baada ya miaka 5 watu wataanza kung'oa mataluma ya reli vyuma chakavu. Sasa hivi watu wapo busy na uchawa kuelekea 2025.

Na bado tutasema tu, huu ni mwanzo.
 
kwenye siasa sisi tutasema watu wakapunzike Xmas na mwaka mpya makwao - tukutane Feb 15.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…