RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 4,707
- 11,365
- Thread starter
- #61
Mbowe anahusika vipi na mada hii?. Kama kaenda au hajaenda ameathiri vipi uchumi wa nchi Kwa ujumla?.Mbowe amekwenda Hanangš
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbowe anahusika vipi na mada hii?. Kama kaenda au hajaenda ameathiri vipi uchumi wa nchi Kwa ujumla?.Mbowe amekwenda Hanangš
Uongo upi, unaweza thibitisha kama ni uongo?.huu uongo huwa mnautoa wapi
Wewe umesema ni mdau kwenye hayo makampuni hivyo fatilia kwa ukaribu utapata majibu.YAPI MERKEZ Hana fedha?. Au Serikali ya Tz ndio haina fedha ya kuwalipa Kwa wakati?.
Mama anaupiga mwingi anamwaga mabilioni kila sekta!Hizi ni taarifa mbaya sana kwa Watanzania wenzetu, kaya zaid ya elfu 3 zinakosa ajira ya moja kwa moja baada ya mradi wa Tabora-Isaka, kusimama, na YAPI MERKEZ kuanza kulipa wafanyakazi wake stahiki zao.
Batch ya kwanza imelipwa Jumatatu iliyopita, batch ya pili majina yatatoka Jumatatu ya kesho kutwa, watu wameshaanza kurudi makwao.
Kwani lazima aathiri uchumi wa nchi?š... ameathiri vipi uchumi wa nchi Kwa ujumla?.
Ina maana Lucas Mwaashambwa hajalipwa fedha ili aweke bundle?Ngoja waje chawa wa Mama
Nachokueleza serikali haiwalipi YAPI MERKEZI Kwa wakati ndio sababu kubwa yakukataa kuendelea na mradi, kama Serikali inaleta mkandarasi mpya hio nihabari nyingine ambayo mpaka Sasa haina uhakika.Wewe umesema ni mdau kwenye hayo makampuni hivyo fatilia kwa ukaribu utapata majibu.
Serikali ingekuwa haina fedha ingesimamisha mradi jumla. Isingempa mtu mwingine aendelee nao.
Nachokueleza serikali haiwalipi YAPI MERKEZI Kwa wakati ndio sababu kubwa yakukataa kuendelea na mradi, kama Serikali inaleta mkandarasi mpya hio nihabari nyingine ambayo mpaka Sasa haina uhakika.
Moderators wanafuta baadhi ya comments.Hii Post ni kama imefitwa halafu imrudishwa ,
Maana notifications zote za like kwangu zimefutikaš²
Analipwa Bila kukamilisha kazi?
Hiyo lot 4 kwanza imeleta shida sana namna alivyopewa. Bora kaiachia tu.
Subiri taarifa rasmi utapata. Mchina kachukua lot 4.
Ngoja tuendelee kusubili.Analipwa Bila kukamilisha kazi?
Hiyo lot 4 kwanza imeleta shida sana namna alivyopewa. Bora kaiachia tu.
Subiri taarifa rasmi utapata. Mchina kachukua lot 4.
Tetesi ipi wakati naandika nikiwa site hapa BUKENE, nazungumza jambo nililo nauhakika nalo ,zaidi ya asilimia 99.99.Weka jukwaa la tetesi.
Post za mughaka zote zimekuwa deleted, Kweli inashangaza sanaModerators wanafuta baadhi ya comments.
We msimb⬠Hii Sio tetesiWeka jukwaa la tetesi.
Tetesi ipi wakati naandika nikiwa site hapa BUKENE, nazungumza jambo nililo nauhakika nalo ,zaidi ya asilimia 99.99.
kwenye siasa sisi tutasema watu wakapunzike Xmas na mwaka mpya makwao - tukutane Feb 15.Hizi ni taarifa mbaya sana kwa Watanzania wenzetu, kaya zaid ya elfu 3 zinakosa ajira ya moja kwa moja baada ya mradi wa Tabora-Isaka, kusimama, na YAPI MERKEZ kuanza kulipa wafanyakazi wake stahiki zao.
Batch ya kwanza imelipwa Jumatatu iliyopita, batch ya pili majina yatatoka Jumatatu ya kesho kutwa, watu wameshaanza kurudi makwao.