Hizi ni taarifa mbaya sana kwa Watanzania wenzetu, kaya zaid ya elfu 3 zinakosa ajira ya moja kwa moja baada ya mradi wa Tabora-Isaka, kusimama, na YAPI MERKEZ kuanza kulipa wafanyakazi wake stahiki zao.
Batch ya kwanza imelipwa Jumatatu iliyopita, batch ya pili majina yatatoka Jumatatu ya kesho kutwa, watu wameshaanza kurudi makwao.