Mradi wa SGR umeendeshwa vibaya na utalitia Taifa hasara kizazi hadi kizazi

Kilichotugharimu ni kuaminishwa kuwa wazungu ni mabepari kwa maana ya kutunyonya, wa China watatupa nafuu kimaisha, mkopo nafuuu, miaka mingi kulipa lakini vifaa vyao duni. Sisi hatukuliona hilo, badala yake tukakimbilia uchina. Wachina wameibukia kibiashara kwa mgongo wa wa waafrika. Soma zaidi "mwelekeo wa Mozambique between 1978-1984 VS tz, utajua maana ninachosema.
 
Lengo lilikuwa ukiendeshwa kws ufanisi daladala zingeondoka katikati ya jiji ili ibaki mwendokasi, na ndivyo mipango ya majiji makuu duniani.

kwan mwendokasi haiendeshwi kwa ufanisi? yaani vitu unavyoongea bora tu umeficha id
 
Hizi ndizo mojawapo sababu biashara za serikali huwa zinashindwa vibaya sana @Kalamu1
kwan mwendokasi haiendeshwi kwa ufanisi? yaani vitu unavyoongea bora tu umeficha id
 

BRT haipo kuleta faida direct, faida yake ipo indirect kwa maana Wananchi/watu wanafika maeneo ya kazi/biashara kwa wakati, Pili utendaji kazi unaongezeka ivyo serikali inapata faida kupitia uzalishaji wa wafanyakazi Na pia wafanyabiashara kuzalisha Na kulipa kodi. Kabla ya BRT kutoka Mbezi to Posta vice versa mtanzania alikuwa anapoteza masaa 5-6barabarani anafika sehemu ya uzalishaji kachoka hatari! BRT imespend around 400Billion lakin faida zake ni kubwa kiuchumi!
 
Watu walikuwa wanapoteza masaa mengi barabarani kwa sababu ya miondombinu mibovu inayosababisha msongamano sio kwa sababu hakukuwa na magari ya kuwafikisha kwenye biashara zao. Mradi wa BRT ulichofanya ni kuongeza tu barabara, mabasi yangeachwa yaendelee kuendeshwa na sekta binafsi na sio kuwafukuzia mbali hadi Max malipo.
 
Unalalamika sana kama mwajuma ndala ndefu
 
Bora
 
Wewe nazani ni Mmiliki wa molori

Nikushauri tu kuwa mbunifu na biashara yako itakuwa poa

Acha majungu kwa wenzako
Anaongea jambo la muhimu serikali sio wabunifu na hawawez competition si umeona kwenye airtavel wameua baadhi ya Makampuni yenye nguvu kama fastjet
Complain ya jamaa ina msingi isijekuwa wakalazimisha mizigo kupita kwenye reli na kuua biashara ya malori wakati watu wame invest billion of dollars
 
kujiendesha.Umeandika kuhusu SGR lakini sijaona facts kuthibitisha mradi utashindwa.
Fact kwako huwa ni kitu gani? Huoni suala la TAZARA alivyoliongelea na kuoanisha na SGR? Ndiyo fact yenyewe hiyo.
 
Ukiona mikataba ya wachina SGR Tazara na Urafiki utakuwa mpumbavu wa kuingia mkenge mkataba wa bandari ya bagamoyo...hizo lawama unazopeleka kwa serikali siyo sisi wala wazambia tunaweza kufanya chochote kuhusu hiyo reli.
 
Tatizo lipo kwa watendaji, wamekosa ubunifu...

Kuhusu reli, kuna matajiri wana magari yakusafirisha mizigo kibao, unadhani wataruhusu reli ifanye kazi...
 
Acha kuwasingizia Wachina kwa uzembe wa watawala wako. Miaka 50 wameshindwa vibaya sana kuendesha reli, sio TAZARA ya Wachina tu, bali ya Kati na inayaoelekea Kaskazini pia.
Ukiona mikataba ya wachina SGR Tazara na Urafiki utakuwa mpumbavu wa kuingia mkenge mkataba wa bandari ya bagamoyo...hizo lawama unazopeleka kwa serikali siyo sisi wala wazambia tunaweza kufanya chochote kuhusu hiyo reli.
 
Sehemu nyingine zote duniani zenye mifumo mizuri ya reli malori bado yanasafirisha mizigo kwa wingi sana. Acheni visingizio vya kitoto vya watu wenye akili ndogo.
Tatizo lipo kwa watendaji, wamekosa ubunifu...

Kuhusu reli, kuna matajiri wana magari yakusafirisha mizigo kibao, unadhani wataruhusu reli ifanye kazi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…