GeniSys101
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 1,229
- 1,465
Mda si mrefu mjadala unahamia kwa wajukuu wa waarabau na wajukuu wa wayahudiItakuwa umehubiriwa kanisani leo. Nawe mbio ukaleta humu bila utafiti.
Hivi mwendokasi unauita mradi umefanikiwaSwali kwako, wewe fani yako ni ipi labda, hadi uweze kuona kwamba hawajui kazi? Kumbuka Mwendokasi wakati inajengwa mlisema hivyo hivyo leo hii ni success story, watu wanatoka ng'ambo kuja kujifunza kuhusu mwendo kasi yetu, hivyo wewe una utaalamu gani uliosomea usije kuwa unataka kuleta ubishani wa Simba vs Yanga, Diamond vs Kiba, wakati hakuna kitu unajua kuhusu Dam construction, ...
Unazidi kujidhihirisha wewe ni boyaTangia lini maji yakadhibitiwa?
Pumba tupuNaongea kama mwananchi na kushauri kuwa kumwendekeza huyu mwarabu wa Egypt's ni hasara kwa taifa na uharibifu wa mradi na uasili wake wa stiegler's gorge unapotea kwa sababu zifuatazo.
1. Hawa waarabu wa Misri kutoka Elsewedy electric na Arab contractors kutoka Misri hawana utaalamu wowote wa ujenzi wa bwawa kubwa kama la mwalimu nyerere wanatembelea nyota ya mchina waliyempa almost 90% ya mradi. Huyu mwarabu hata idea ya mining kwa manpower aliyokuja nao ni zero kabisa. Wazawa ndio wanaowafundisha kazi hawa wanaojiita maengener toka misri.
Ulipuaji wa miamba inafanyika kama vile hakuna site plani ya kujua kazi inatokea hapa inaenda kule wao kila siku wanakuja na plan mpya yaani haijulikani kesho itafanyika kazi gani.
2. Walio wengi wanahusika security kuhakikisha nani kaingia site, katoka na nini na kuandaa vibali pia administration na accomodation ambapo nadhani hii kazi wazawa kupitia suma jkt wanaweza kuifanya.
3. Wafanyakazi wengi wazawa mikataba yao na maslai yao sio mazuri na mahusioano kati ya mwarabu na mtanzania yako kibaguzi utadhani enzi za utumwa, wana mentality za kitumwa sana na kutomjali mwafrika.
4. Kazi inayoonekana inafanyika anafanya mchina toka kampuni ya Sinohydro akiwa na kampuni zake kama CBRC ndio wanafanya kazi na unaona kazi ya mchina inatoka hapa kwenda kule na sio mwarabu ambaye kama kama dalali.
5. Uongozi wa tanesco kama mwenye mradi pamoja na teku inaonekana hakuna umakini na ufatiliaji either wanajua na wasafikisha ila hakuna maamuzi au kuna kuwindana na uwoga kutoka juu.
Ushauri wangu
1. Kama hakuto athiri napendekeza huu mradi angepewa mchina utaisha kwa wakati ila huyu mwarabu hasara iliyo mbele ni kubwa sana katika pesa na wakati.
Hivi mwendokasi unauita mradi umefanikiwa
Kweli wewe ni andazi
Ova
Tuache siasa hapa. Wahusika wasikie. Hiki ni kingo'ra.Naongea kama mwananchi na kushauri kuwa kumwendekeza huyu mwarabu wa Egypt's ni hasara kwa taifa na uharibifu wa mradi na uasili wake wa stiegler's gorge unapotea kwa sababu zifuatazo.
1. Hawa waarabu wa Misri kutoka Elsewedy electric na Arab contractors kutoka Misri hawana utaalamu wowote wa ujenzi wa bwawa kubwa kama la mwalimu nyerere wanatembelea nyota ya mchina waliyempa almost 90% ya mradi. Huyu mwarabu hata idea ya mining kwa manpower aliyokuja nao ni zero kabisa. Wazawa ndio wanaowafundisha kazi hawa wanaojiita maengener toka misri.
Ulipuaji wa miamba inafanyika kama vile hakuna site plani ya kujua kazi inatokea hapa inaenda kule wao kila siku wanakuja na plan mpya yaani haijulikani kesho itafanyika kazi gani.
2. Walio wengi wanahusika security kuhakikisha nani kaingia site, katoka na nini na kuandaa vibali pia administration na accomodation ambapo nadhani hii kazi wazawa kupitia suma jkt wanaweza kuifanya.
3. Wafanyakazi wengi wazawa mikataba yao na maslai yao sio mazuri na mahusioano kati ya mwarabu na mtanzania yako kibaguzi utadhani enzi za utumwa, wana mentality za kitumwa sana na kutomjali mwafrika.
4. Kazi inayoonekana inafanyika anafanya mchina toka kampuni ya Sinohydro akiwa na kampuni zake kama CBRC ndio wanafanya kazi na unaona kazi ya mchina inatoka hapa kwenda kule na sio mwarabu ambaye kama kama dalali.
5. Uongozi wa tanesco kama mwenye mradi pamoja na teku inaonekana hakuna umakini na ufatiliaji either wanajua na wasafikisha ila hakuna maamuzi au kuna kuwindana na uwoga kutoka juu.
Ushauri wangu
1. Kama hakuto athiri napendekeza huu mradi angepewa mchina utaisha kwa wakati ila huyu mwarabu hasara iliyo mbele ni kubwa sana katika pesa na wakati.
Asante sana manake kuna mambo ya hovyo mno awamu hii na yanafichwa kama corona. Ukweli utajulikana tu na watu wataumbuka sana.Naongea kama mwananchi na kushauri kuwa kumwendekeza huyu mwarabu wa Egypt's ni hasara kwa taifa na uharibifu wa mradi na uasili wake wa stiegler's gorge unapotea kwa sababu zifuatazo.
1. Hawa waarabu wa Misri kutoka Elsewedy electric na Arab contractors kutoka Misri hawana utaalamu wowote wa ujenzi wa bwawa kubwa kama la mwalimu nyerere wanatembelea nyota ya mchina waliyempa almost 90% ya mradi. Huyu mwarabu hata idea ya mining kwa manpower aliyokuja nao ni zero kabisa. Wazawa ndio wanaowafundisha kazi hawa wanaojiita maengener toka misri.
Ulipuaji wa miamba inafanyika kama vile hakuna site plani ya kujua kazi inatokea hapa inaenda kule wao kila siku wanakuja na plan mpya yaani haijulikani kesho itafanyika kazi gani.
2. Walio wengi wanahusika security kuhakikisha nani kaingia site, katoka na nini na kuandaa vibali pia administration na accomodation ambapo nadhani hii kazi wazawa kupitia suma jkt wanaweza kuifanya.
3. Wafanyakazi wengi wazawa mikataba yao na maslai yao sio mazuri na mahusioano kati ya mwarabu na mtanzania yako kibaguzi utadhani enzi za utumwa, wana mentality za kitumwa sana na kutomjali mwafrika.
4. Kazi inayoonekana inafanyika anafanya mchina toka kampuni ya Sinohydro akiwa na kampuni zake kama CBRC ndio wanafanya kazi na unaona kazi ya mchina inatoka hapa kwenda kule na sio mwarabu ambaye kama kama dalali.
5. Uongozi wa tanesco kama mwenye mradi pamoja na teku inaonekana hakuna umakini na ufatiliaji either wanajua na wasafikisha ila hakuna maamuzi au kuna kuwindana na uwoga kutoka juu.
Ushauri wangu
1. Kama hakuto athiri napendekeza huu mradi angepewa mchina utaisha kwa wakati ila huyu mwarabu hasara iliyo mbele ni kubwa sana katika pesa na wakati.
Naongea kama mwananchi na kushauri kuwa kumwendekeza huyu mwarabu wa Egypt's ni hasara kwa taifa na uharibifu wa mradi na uasili wake wa stiegler's gorge unapotea kwa sababu zifuatazo.
1. Hawa waarabu wa Misri kutoka Elsewedy electric na Arab contractors kutoka Misri hawana utaalamu wowote wa ujenzi wa bwawa kubwa kama la mwalimu nyerere wanatembelea nyota ya mchina waliyempa almost 90% ya mradi. Huyu mwarabu hata idea ya mining kwa manpower aliyokuja nao ni zero kabisa. Wazawa ndio wanaowafundisha kazi hawa wanaojiita maengener toka misri.
Ulipuaji wa miamba inafanyika kama vile hakuna site plani ya kujua kazi inatokea hapa inaenda kule wao kila siku wanakuja na plan mpya yaani haijulikani kesho itafanyika kazi gani.
2. Walio wengi wanahusika security kuhakikisha nani kaingia site, katoka na nini na kuandaa vibali pia administration na accomodation ambapo nadhani hii kazi wazawa kupitia suma jkt wanaweza kuifanya.
3. Wafanyakazi wengi wazawa mikataba yao na maslai yao sio mazuri na mahusioano kati ya mwarabu na mtanzania yako kibaguzi utadhani enzi za utumwa, wana mentality za kitumwa sana na kutomjali mwafrika.
4. Kazi inayoonekana inafanyika anafanya mchina toka kampuni ya Sinohydro akiwa na kampuni zake kama CBRC ndio wanafanya kazi na unaona kazi ya mchina inatoka hapa kwenda kule na sio mwarabu ambaye kama kama dalali.
5. Uongozi wa tanesco kama mwenye mradi pamoja na teku inaonekana hakuna umakini na ufatiliaji either wanajua na wasafikisha ila hakuna maamuzi au kuna kuwindana na uwoga kutoka juu.
Ushauri wangu
1. Kama hakuto athiri napendekeza huu mradi angepewa mchina utaisha kwa wakati ila huyu mwarabu hasara iliyo mbele ni kubwa sana katika pesa na wakati.
What???ππππππSwali kwako, wewe fani yako ni ipi labda, hadi uweze kuona kwamba hawajui kazi? Kumbuka Mwendokasi wakati inajengwa mlisema hivyo hivyo leo hii ni success story, watu wanatoka ng'ambo kuja kujifunza kuhusu mwendo kasi yetu, hivyo wewe una utaalamu gani uliosomea usije kuwa unataka kuleta ubishani wa Simba vs Yanga, Diamond vs Kiba, wakati hakuna kitu unajua kuhusu Dam construction, ...