Mradi wa Stieglers: Mwarabu anaharibu mradi hana utaalam wala ujuzi wa kujenga bwawa, italeta hasara kubwa kwa taifa na ubora hafifu

Kuna watu humu wanaongea kwa uchungu bila kuangalia hoja. Ila ukichunguza utakuta wana mbegu kali sana za udini.
Wao wakisikia Mwarabu wanaona ni sawa sawa tu na kutaja dini fulani.
 
Tuache utopolo lisemwalo laweza kuwapo, kufika eneo la mradi na kuongea na wafanyakazi haina gharama, anaebisha awe na facts, huyu mdau ni whistle blower tu pia ni wajibu na haki yake kuwasilisha hili jambo kwa maslahi mapana, wahusika wajipange na mkuu ajue hujuma ni popote pale kwa chochote na wakati wowote, beware all the time.
 
Swali kwako, wewe fani yako ni ipi labda, hadi uweze kuona kwamba hawajui kazi? Kumbuka Mwendokasi wakati inajengwa mlisema hivyo hivyo leo hii ni success story, watu wanatoka ng'ambo kuja kujifunza kuhusu mwendo kasi yetu, hivyo wewe una utaalamu gani uliosomea usije kuwa unataka kuleta ubishani wa Simba vs Yanga, Diamond vs Kiba, wakati hakuna kitu unajua kuhusu Dam construction, ...
Hivi mwendokasi unauita mradi umefanikiwa
Kweli wewe ni andazi

Ova
 
Naongea kama mwananchi na kushauri kuwa kumwendekeza huyu mwarabu wa Egypt's ni hasara kwa taifa na uharibifu wa mradi na uasili wake wa stiegler's gorge unapotea kwa sababu zifuatazo.

1. Hawa waarabu wa Misri kutoka Elsewedy electric na Arab contractors kutoka Misri hawana utaalamu wowote wa ujenzi wa bwawa kubwa kama la mwalimu nyerere wanatembelea nyota ya mchina waliyempa almost 90% ya mradi. Huyu mwarabu hata idea ya mining kwa manpower aliyokuja nao ni zero kabisa. Wazawa ndio wanaowafundisha kazi hawa wanaojiita maengener toka misri.

Ulipuaji wa miamba inafanyika kama vile hakuna site plani ya kujua kazi inatokea hapa inaenda kule wao kila siku wanakuja na plan mpya yaani haijulikani kesho itafanyika kazi gani.

2. Walio wengi wanahusika security kuhakikisha nani kaingia site, katoka na nini na kuandaa vibali pia administration na accomodation ambapo nadhani hii kazi wazawa kupitia suma jkt wanaweza kuifanya.

3. Wafanyakazi wengi wazawa mikataba yao na maslai yao sio mazuri na mahusioano kati ya mwarabu na mtanzania yako kibaguzi utadhani enzi za utumwa, wana mentality za kitumwa sana na kutomjali mwafrika.

4. Kazi inayoonekana inafanyika anafanya mchina toka kampuni ya Sinohydro akiwa na kampuni zake kama CBRC ndio wanafanya kazi na unaona kazi ya mchina inatoka hapa kwenda kule na sio mwarabu ambaye kama kama dalali.

5. Uongozi wa tanesco kama mwenye mradi pamoja na teku inaonekana hakuna umakini na ufatiliaji either wanajua na wasafikisha ila hakuna maamuzi au kuna kuwindana na uwoga kutoka juu.

Ushauri wangu

1. Kama hakuto athiri napendekeza huu mradi angepewa mchina utaisha kwa wakati ila huyu mwarabu hasara iliyo mbele ni kubwa sana katika pesa na wakati.
Pumba tupu
 
Tangu lini mwarabu akawa na akili ya kufanya project zinazohitaji akili kubwa, mambo mengine yapo wazi kabisa.....hata huko kwao pamoja na utajiri wa mafuta mambo ya kitaalamu na hata project za utafiti na uchimbaji mafuta wanafanya watu kutoka nje...
 
Kuna watu humu wanaongea kwa uchungu bila kuangalia hoja. Ila ukichunguza utakuta wana mbegu kali sana za udini.
Wao wakisikia Mwarabu wanaona ni sawa sawa tu na kutaja dini fulani.
Duh
 
Naongea kama mwananchi na kushauri kuwa kumwendekeza huyu mwarabu wa Egypt's ni hasara kwa taifa na uharibifu wa mradi na uasili wake wa stiegler's gorge unapotea kwa sababu zifuatazo.

1. Hawa waarabu wa Misri kutoka Elsewedy electric na Arab contractors kutoka Misri hawana utaalamu wowote wa ujenzi wa bwawa kubwa kama la mwalimu nyerere wanatembelea nyota ya mchina waliyempa almost 90% ya mradi. Huyu mwarabu hata idea ya mining kwa manpower aliyokuja nao ni zero kabisa. Wazawa ndio wanaowafundisha kazi hawa wanaojiita maengener toka misri.

Ulipuaji wa miamba inafanyika kama vile hakuna site plani ya kujua kazi inatokea hapa inaenda kule wao kila siku wanakuja na plan mpya yaani haijulikani kesho itafanyika kazi gani.

2. Walio wengi wanahusika security kuhakikisha nani kaingia site, katoka na nini na kuandaa vibali pia administration na accomodation ambapo nadhani hii kazi wazawa kupitia suma jkt wanaweza kuifanya.

3. Wafanyakazi wengi wazawa mikataba yao na maslai yao sio mazuri na mahusioano kati ya mwarabu na mtanzania yako kibaguzi utadhani enzi za utumwa, wana mentality za kitumwa sana na kutomjali mwafrika.

4. Kazi inayoonekana inafanyika anafanya mchina toka kampuni ya Sinohydro akiwa na kampuni zake kama CBRC ndio wanafanya kazi na unaona kazi ya mchina inatoka hapa kwenda kule na sio mwarabu ambaye kama kama dalali.

5. Uongozi wa tanesco kama mwenye mradi pamoja na teku inaonekana hakuna umakini na ufatiliaji either wanajua na wasafikisha ila hakuna maamuzi au kuna kuwindana na uwoga kutoka juu.

Ushauri wangu

1. Kama hakuto athiri napendekeza huu mradi angepewa mchina utaisha kwa wakati ila huyu mwarabu hasara iliyo mbele ni kubwa sana katika pesa na wakati.
Tuache siasa hapa. Wahusika wasikie. Hiki ni kingo'ra.
 
Asante sana manake kuna mambo ya hovyo mno awamu hii na yanafichwa kama corona. Ukweli utajulikana tu na watu wataumbuka sana.
 
Wale wengine wa Morocco walituahidi Kiwanja cha mpira cha nyota tano...tupo tunasubiri.
 
Naongea kama mwananchi na kushauri kuwa kumwendekeza huyu mwarabu wa Egypt's ni hasara kwa taifa na uharibifu wa mradi na uasili wake wa stiegler's gorge unapotea kwa sababu zifuatazo.

1. Hawa waarabu wa Misri kutoka Elsewedy electric na Arab contractors kutoka Misri hawana utaalamu wowote wa ujenzi wa bwawa kubwa kama la mwalimu nyerere wanatembelea nyota ya mchina waliyempa almost 90% ya mradi. Huyu mwarabu hata idea ya mining kwa manpower aliyokuja nao ni zero kabisa. Wazawa ndio wanaowafundisha kazi hawa wanaojiita maengener toka misri.

Ulipuaji wa miamba inafanyika kama vile hakuna site plani ya kujua kazi inatokea hapa inaenda kule wao kila siku wanakuja na plan mpya yaani haijulikani kesho itafanyika kazi gani.

2. Walio wengi wanahusika security kuhakikisha nani kaingia site, katoka na nini na kuandaa vibali pia administration na accomodation ambapo nadhani hii kazi wazawa kupitia suma jkt wanaweza kuifanya.

3. Wafanyakazi wengi wazawa mikataba yao na maslai yao sio mazuri na mahusioano kati ya mwarabu na mtanzania yako kibaguzi utadhani enzi za utumwa, wana mentality za kitumwa sana na kutomjali mwafrika.

4. Kazi inayoonekana inafanyika anafanya mchina toka kampuni ya Sinohydro akiwa na kampuni zake kama CBRC ndio wanafanya kazi na unaona kazi ya mchina inatoka hapa kwenda kule na sio mwarabu ambaye kama kama dalali.

5. Uongozi wa tanesco kama mwenye mradi pamoja na teku inaonekana hakuna umakini na ufatiliaji either wanajua na wasafikisha ila hakuna maamuzi au kuna kuwindana na uwoga kutoka juu.

Ushauri wangu
1. Kama hakuto athiri napendekeza huu mradi angepewa mchina utaisha kwa wakati ila huyu mwarabu hasara iliyo mbele ni kubwa sana katika pesa na wakati.

MKuu usichokijua ni kuwa Mwarabu ndio katukopesha hapo, kwahiyo vumilia tu.
 
Kajenge wewe basi ambayo kufunga solar tu nyumban kwenu umeshindwa wazaz wako wa nahangaika na umesomea mutu ya ajabu sana wewe unakuja kucrash kitu ambacho huna ujuz nacho
 
Swali kwako, wewe fani yako ni ipi labda, hadi uweze kuona kwamba hawajui kazi? Kumbuka Mwendokasi wakati inajengwa mlisema hivyo hivyo leo hii ni success story, watu wanatoka ng'ambo kuja kujifunza kuhusu mwendo kasi yetu, hivyo wewe una utaalamu gani uliosomea usije kuwa unataka kuleta ubishani wa Simba vs Yanga, Diamond vs Kiba, wakati hakuna kitu unajua kuhusu Dam construction, ...
What???😂😂😂😂😂😂
Hell of a kind! You must be kidding
 
Mradi kama huo mteja yeyote atangazi tender kama sandakalawe na mkataba upewi tu bila ya maelezo ya work break down structure, scope of work, muda wa kila task, quality yake ya ujenzi, usimamizi, report za progress etc with project management. Hizi ndio sababu mteja anajua mradi umefikia asilimia ngapi kwa sababu ana yardstick za kupima na kukagua walizokubaliana na contractor.

Vyote ivyo vina consequences kwenye mkataba contractor ukichelewa kufikia milestone kuna penalties, alikadhalika mteja ukivunja mkataba wakati contractor anatimiza wajibu wake ndani ya muda kwa quality mlizokubaliana kuna penalties.

Ni majungu ya kitoto kutoka kwa mtu ambae ni uninformed, but then unajiuliza hivi mtu anaweza soma engineering mpaka anamaliza aja cover ata ka module cha project management ya fani yake.
 
Back
Top Bottom